Raia wa Uturuki wamehamishwa kutoka Ujerumani na Tanzania mapema Jumapili na kuwekwa chini ya kizuizi(karantin) cha siku 14 ili kupunguza kuenea kwa virusi vya corona.
Jumla ya Waturuki 157 kutoka Ujerumani wamepelekwa mkoa wa Kayseri na baadaye kupelekwa katika mabweni ya wanafunzi kwa ajili...
Juzikati ilitangazwa na Bakwata kuwa baraza la eid halitakuwepo kwa sababu za kuhofia mikusanyiko.
Sasa baada ya taarifa ya serikali kwamba Corona imepungua je baraza la Eid litakuwepo au msimamo bado ni ule ule?
HOTUBA YA MBUNGE FREEMAN MBOWE KWA UFUPI
Nimezungumza na Rais kwenye simu nimemuambia tafadhali shirikisha Jamii pana ya Watanzania ili jambo tulibebe wote, huu ni msiba na msiba haachiwi Mtu mmoja, kwa nia njema kabisa, tushirikiane kwa pamoja kwenye mapambano haya dhidi ya virusi vya corona...
Watu wasibweteke ni muhimu kuchukua tahadhari zote zinazoshauriwa
Inaonekana sasa kwa namna fulani yale yaliyosemwa mwanzoni kabisa kuhusu waafrika na corona pengine yana ukweli fulani. Kwamba virus vya corona vinaweza visiwaathiri waafrika sana kutokana na hali ya hewa Afrika na kinga mwili za...
Binafsi mimi ni mpinzani damu damu. Tokea mfumo wa vyama vingi uanze nimejikuta nikichukua mlengo wa kupenda upinzani. Uchaguzi wa 1995 japo nilikuwa mdogo lakini nilivutiwa sana na NCCR Mageuzi.
Kipindi cha akina Mrema, Mabere Marando, Prince Bagenda, Masumbuko Lamwai n.k. Baada ya NCCR...
Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kutuma salaam kwa Taifa leo Mei 17, 2020.
Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito.
Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao.
Inatarajiwa kuanzia mida ya saa sita na nusu mchana (12:30PM) ndipo atakuwa mubashara.
======...
Hili jambo limenishangaza sana ! wananchi wengi wamejiridhisha kwamba nchi yetu haipambani na corona kwa dhati kama nchi nyingine zote duniani , Tumeshuhudia pia juhudi za viongozi kutaka kuwaaminisha wananchi kwamba corona kwa Tanzania ni jambo jepesi tu .
Bali kinachoshangaza wananchi ni...
Dozens of people have defied social distancing advice to gather at a protest against the coronavirus lockdown in London's Hyde Park.
At least 19 people were arrested and several fines were issued as police off
The crowd had gathered at Speaker's Corner, holding placards with slogans like...
Unahitaji utulivu wa akili na umakini katika kufikiri ili kumuelewa Magufuli kelele za Covid-19: Hoja Sita!
Denis Mpagaze
___________________________
Katika kipindi hiki cha corona na propaganda za magharibi, tusipojipa muda wa kuusaka ukweli tutakuja kumuelewa Rais Magufuli akiishaoondoka...
Wagonjwa wote 187 walioambukizwa covid-19 katika kisiwa cha Faeroe kilichopo kaskazini mwa UK wamepona na hakuna aliyekufa. Faeroe ni nchi inayojitegemea sio sehemu ya UK.
Waziri mkuu wa Faero Bárður á Steig Nielsen awashukuru watu wake na kutaja siri ya ushindi huu:
1. Kufunga shughuli...
Akihojiwa na BBC Swahili Jana saa 12:30
Alisema unashangaa baadhi ya Marais Wa Afrika pamoja na ugonjwa huu Hatari, hawajulikani walipo, wamejificha na wananchi wao wanaokotwa wamekufa barabarani, maiti zao zimezagaa, halafu unashangaa viongozi hao wanajiita wacha Mungu. Wanasali kila jumapili...
Watanzania waliokwama nchini India na hatimaye serikali ya CCM kutuma ndege ya ATCL ikawachukue kuwarejesha nyumbani wamewasili salama.
Mara baada ya kuwasili wataalamu wa maabara kuu wamechukua sampuli zao ili kujiridhisha kama kweli hawana maambukizi ya Covid 19 na majibu yao watayapata...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imesema kuwa itafuatilia kwa karibu misaada yote inayotolewa kwa ajili ya kusaidia jitihada za kupamba na corona kuhakikisha hakuna vitendo vya rushwa.
Mkurugenzi Mkuu wa taasisi hiyo, Bregedia Jenerali John Mbungo, aliyasea hayo jana jijini...
Kwa muda sasa tangia ugonjwa wa Corona umeingia miye kama mdau katika maisha ya kawaida nimekuwa nikifuatilia mwelekeo wa ugonjwa na wa mada katika forums mbali mbali.
Kote mada trending zimeendelea (kama si zote) kuwa ni za kuhusiana na Corona.
Nadhani ni kwa sababu kama hizo ndiyo maana hata...
Watafiti wa Uingereza wamebaini kwamba watu wanaoishi katika mazingira duni nchini humo, wapo katika hatari zaidi kupata maambukizi ya COVID-19. Wakati, huko Brazil kumerekodiwa kiwango cha juu cha maambukizi.
Zaidi ya watu 307,000 wamekufa kwa COVID-19 duniani kote, wakati kumerekodiwa pia...
Rais Trump amesema kuwa iwe chanjo imepatikana au haijapatikana Marekani lazima ifunguliwe ili shughuli zirudi kama kawaida
Trump ameahidi pia kuwa mpaka mwisho wa mwaka huu chanjo ya ugonjwa huo itakuwa ipo tayari, ingawa wataalam wengi wana wasiwasi kama muda huo ni sahihi...
Madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Uganda, madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Kenya, madereva kutoka Tanzania wakutwa na corona Malawi, mara Zambia yani ukiwasikiliza majirani zetu kama uko nje ya Tanzania basi unaweza kuhisi Watanzania wote watakufa kumbe wapi! Watanzania tuko...
While many countries have bowed down and closed places of worship Tanzanians have refused
Many Tanzanians that I interviewed say that they worship God not Corona. We are not Corona worshipers
Habari!
Karibu ili kujuzwa na pia kupata taarifa (masasisho) mbalimbali ya kile kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) almaarufu kama "kirusi cha Wuhan" kutoka nchini China.
Katika uzi huu utapata kufahamu mambo mbalimbali hususani hali ya ongezeko na ukuaji, jitihada...
Kwa level ambayo dunia imefikia kwa sasa sio rahisi kuamini kwamba hadi sasa dunia imeshindwa kupata dawa au njia sahihi ya kuthibiti kirusi cha Corona. Ikumbukwe kuwa jamii ya kirusi hiki kipo tangu siku nyingi kitu kinacholeta ukweli kwamba tayari wanasayansi walikwishafanyia utafiti siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.