Serikali iko sahihi kutoruhusu lockdown kila ugonjwa wa kuua ukija Kuna wanaokufa na kuna wanaobaki sembuse corona?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,905
Migonjwa ya kuua kibao imeshatokea kiwe kipindupindu,malaria ,degedege ,ukimwi no lakini hiyo.migonjwa inaua lakini kina inaowrsa kuua na wengine wanabaki imeshindwa kuua wote sembuse corona?

Siku ya kifommtu Kama umeandikiwa kufa ikifika siku yako hata uvae barakoa kuikwepa corona isikuue waweza gongwa na daladala au bodaboda ukafa na kibarakoa chako ukiwa umevaa

Tuchukue tahadhali na kusikiliza wataalamu lakini sio tuogope corona Kama vile ndio ugonjwa wa kwanza kuua

Zimeua dengue lakini hazikuua watu wote kwa wengine zilikwaa kisiki Ebola iliua watu kibao lakini haikuua wote ikakwaa kisiki kwa wengine
Sembuse corona eti ooh tu ji lockdown kwani corona ndio ugonjwa wa kwanza kuua watu duniani?

Tuchukue tahadhali tahadhari lakini tusitishane

Heri mtu afe kwa corona kuliko afe njaa kwa lockdown .kuta njaa ni kujitakia lakini kufa kwa corona ni mambo ya mwenyezi Mungu siku ikifika aweza amua akuchukuaje akuchukue kwa ajali, kipindupindu au corona?

I don't fear corona I only fear God kiswahili siigopi corona hata kidogo namuogopa mwezi Mungu tu
 
Hakuna awamu ya hovyo Kama awamu hii, pale wajinga Kama wewe, Bia yetu, kipara kipya, etwege et all ndio ccm imeamua kuwatumia au mnajituma?

Hata kama Nchi imeamua kutokuweka lockdown kwanini isifuate kanuni na taratibu za kiafya? Miongozo inayotolewa na WHO?

Kutokuweka lockdown ndio kiwe kigezo chakutokutoa takwimu za wagonjwa au kuuelezea umma Nini kinaendelea Nchini kuhusu Corona!!, Tumeamua kufuata utaratibu wetu ambao tumeona unafaa ok sawa tumefanikiwa katika Hilo?

Ni heri ccm kuwa na wanachama 2m wenye akili kama kina January, kuliko kuwa na watu 10m wajinga Kama wewe.
 
Kma angejichanganya kutuwekea lockdown kungetokea ktu ambacho hakijawai kutokea tangu nchii hii kuumbwa.

Hawajamaa wanaweza kuongea chochote kwenye vyombo vya vyahabar naikawa fresh tu ila wakitupiga lockdown ni mwendo wa anarchy system. Nafikri tusiiombee lockddown haitambakiza mtu salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi mtanzania umuweke lockdown uwiii patachimbika Wala sio Siri na dunia itawajua watanzania kuwa watanzania Ni tofauti na watu wote duniani huko walikokuwa locked down na wakakubali Kama mabwege
 
Kwajinsi tulivo hakuna atakae kufa nanjaa akiwa ndani tutafia huko barabarani tukipigana napolis

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom