How to treat coronavirus symptoms at home
There is currently no specific treatment for coronavirus (COVID-19), but you can often ease the symptoms at home until you recover.
Treating a high temperature
If you have a high temperature, it can help to:
get lots of rest
drink plenty of fluids...
Cameroon, mchungaji aliedai anawweza kuponya corona afariki kwa corona.
Mchungaji Frakline Ndifor ambae anajulikana kama Nabii amerafiki baada ya kuugua corona alipoenda kuwaombea watu ambao wanasadikika kua walikua na corona.
----
Cape Town - A popular Cameroonian pastor has died less than a...
Viongozi wanaojitapa kuishinda Corona ni wale wale ambao kwenye kila tukio hujitokeza na kupiga makelele kweli huku wakitunisha vifua ila baadaye wanakuja kufeli vibaya sana wakati uhalisia unapojidhihirisha.
Wakati kwenye hili jambo la Corona tayari tumeacha siasa zitawale uhalisia, wameibuka...
Naibu Spika Dr Tulia leo ametambulisha kurejea bungeni kwa waziri wa afya mh Ummy Mwalimu ambaye alikuwa mstari wa mbele kuongoza mapambano dhidi ya Corona hadi kuudhibiti ugonjwa huo.
Bunge zima limempigia makofi ya furaha na kumshukuru kwa namna alivyotoa mchango mkubwa kumsaidia Jemedari...
Katika hospitali ya Elmhurst jimbo la New York nchini Marekani, mchana na usiku, madaktari na manesi wanajitolea kuokoa maisha ya wagonjwa wa COVID-19, ambao hofu za kuhuzunisha zinaonekana machoni mwao, lakini bado wanashindwa kumsaidia kila mmoja. Nje ya hospitali, friji kubwa zimepangwa kwa...
Hawa hapa wameanza kulia hovyo wenyewe tena barabarani kabisa.
=====
A section of Nyeri pastors and matatu operators held prayers for the nation seeking God’s intervention as Coronavirus spreads. Wearing gunny bags and carrying placards with messages of repentance, the group went praying on...
Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Kazungu amezungumza na vyombo vya habari ili kuweka mambo sawa. Balozi kazungu amesema...
Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza...
Haya nayo ni maajabu mengine yametokea huko Tarime hapo jana baada ya ndugu Chacha Heche aliyetakiwa kumdhamini kada wa Chadema mahakamani kupimwa joto la mwili likasoma nyuzi joto 37.1 kisha akaambiwa kuwa ana Corona na kuzuiwa kuingia ndani ya viunga vya mahakama.
Kada huyo alilazimika...
Staying during coronavirus
This page gives you guidance on how to stay safely in Tanzania as a visitor, if you are unable to return to the UK.
Everyone should comply with the measures put in place in Tanzania to limit the spread of coronavirus (COVID-19).
Moving around in Tanzania
The...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga amedai wapo madreva 19 wa Kenya waliothibitika kuwa na Corona lakini hawakuwakataa alimaanisha na Kenya waruhu madreva wetu bila kujali Hali zao kiafya waingie Kenya. Swali;
1. Walipimwa lini?
2. Walipimwa boda wakakaa kusubiri majibu kutoka dar?
3. Walipimwa lini kwa...
Heshima kwenu wanajamvi,
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe amekuwa mstari wa mbele kupigania taifa liingie katika kile kinachoitwa LOCKDOWN lugha ya Malkia.Ni wazi Mh Mbowe amepigana kweli kweli lakini pia ni vyema akafahamu kwamba policy ya LOCKDOW si popular miongoni mwa wanachi wengi wa...
Rais Magufuli ameshinda vita dhidi ya Corona. Ndio, ameishinda kisiasa. Lakini tufahamu kua Vita dhidi ya Corona sio Vita ya kisiasa. Ninasikitika sana matabibu hawajapewa nafasi kuzungumza hali halisi ya suala hili.
SIASA IMEVAA KOTI LA KITABIBU. Nafahamu wazi kuwa jukumu la kutangaza hali...
Hizi nchi kwa huu utawala hazitakuwa na mwisho mzuri. Ukiona hadi Raila analalamika basi shida ni lazima ipo kwa Rais wetu. Tumwambie ukweli.
Kwa takwimu hizi za madereva 51 kati 53 waliokutwa na Corona kwenye mpaka kati ya Kenya na Tanzania kuwa watanzania basi ni lazima jambo lifanyike. Na...
Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada itifaki yote imezingatiwa.
Hapo jana huko Chatto mheshimiwa akitujia mubashara tokea kanisani, mbona ametuachia mengi fikirishi? Yeye mwenyewe aliurejea ule usemi maarufu wa mzee wa msoga kuwa, "akili ya kuambiwa changanya na ya kwako."
Tokea Chatto...
Mbunge wa kinondoni mh Mtulia amelitangazia bunge kuwa ni kweli alipata maambukizi ya Covid 19 na sasa amepona na amewaomba wabunge wenzake wasimnyanyapae.
Mtulia amemshukuru sana mh Spika Ndugai kwa namna alivyomshughulikia wakati anaumwa.
Some Americans have shown disdain as to why Africans are not dying in large numbers as others are dying despite lack of full medical care. One of the guys who wanted Africans to die asked "why aren't these niggas dying too much. Is there something we don't do right?."
He is not the only one...
A COALITION of 62 countries are now supporting Australia's call for an independent probe to investigate the causes of the coronavirus pandemic that started in Wuhan, China.
But, Australian Prime Minister Scott Morrison has felt the wrath of Beijing, after China threatened to decimate his...
CORONA imekuja kudhihirisha namna Africa kwanini hatuendelei hata baada ya miaka 60 ya kupata Uhuru.
Africa inatafunwa na magonjwa mengi sana ambayo ilipaswa kuungana kupambana nayo. Adui namba moja wa east, cental, west na south Africa Ni malaria, ikifuatiwa kwa karibu na HIV, TB...
Sikatai kwa nchi hata Tanzania kutokuwa na msimamo na kukubali kuyumbishwa ndani na nje ya nchi. Ninachowaambia ni kwamba katika masuala ya mahusiano, ndani na nje ya nchi, tunapaswa tujue namna ya ku balance kati ya kuwa na msimamo, kutoyumbishwa na udiplomasia. Kuwa na msimamo haina maana...
Msemaji wa Simba ndugu Haji Manara amesema hayo kufuatia hotuba ya Rais Magufuli jana, Jumapili kwamba ataangalia mwenendo wa ugonjwa wa COVID-19 nchini katika wiki hii ili kuona kama anaweza kuruhusu vyuo kufunguliwa na shughuli za michezo kuendelea.
Manara amesema kuwa Simba imebakiza muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.