corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Usifanye Haya Unapovaa Barakoa

    KWA IMANI TUTASHINDA DHIDI YA CORONA
  2. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Bila kupeana makavu hatutoboi, kwako mzee baba

    Kwako Rais wetu mpendwa, jembe letu la ukweli, mzee baba, Dr. Magufuli. Protokali yote imezingatiwa. Mengi yameandikwa, shauri mbalimbali zimetolewa tangia kabla sana ya ugonjwa huu kuingia nchini takribani miezi miwili sasa. Ugonjwa uliopaswa kuzuiliwa kuingia, uliingia nchini. Pia ugonjwa...
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi Uingereza: Mama atemewa mate na mgonjwa wa Corona, afariki dunia!

    Coronavirus: Victoria ticket worker dies after being spat at Ticket office worker Belly Mujinga died of coronavirus in April A railway ticket office worker has...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Boris Johnson: Tujifunzeni kuishi na Corona tutakuwa nayo kwa muda mrefu

    .
  5. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Corona yaingia White House Marekani

    Wafanyakazi wa Ikulu ya White House wameagizwa kuvaa barakoa wakati wanapoingia jengo la ofisi zake zinazofahamika kama -West Wing, baada ya wasaidizi wawili kupatwa na virusi vya corona. Wafanyakazi wa White House wamesema kuwa wahudumu wote lazima wavae barakoa wakati wote isipokua wanapokua...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangalla asema Afya ni swala binafsi kila mtu apambanie afya yake, atoa dawa yake ya majani inayotibu Corona

    Waziri wa maliasili na utalii mh Kigwangalla amesema maisha ya mtu na afya yake ni maswala binafsi hivyo kila binadamu ana wajibu wa kuipambania afya yake yeye mwenyewe. Kadhalika Dr Kigwangalla ameonyesha aina fulani ya majani ya mitishamba yanayotibu Corona na kuwataka wananchi wayachangamkie...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kama mipakani COVID19 iko hivi, Tanzania yenyewe hali iko vipi?

    Habari Wakuu, Hali ya maambukizi ya corona hapa nchini kwa sasa haifahamiki zaidi ya sintofahamu tu huku watu wakiendelea kufanya shughuli zao kama kawaida Watanzania tuko njia panda sasa tusielewe hali ya nchi hii kwa vita ya covid19 mpaka kujiuliza maswali kama hali ya mipaka ya nchi iko...
  8. mimitungi

    JamiiForums Tanzania Kenya Kufanya Majaribio ya dawa mbili kutoka USA kwa ajili ya Corona

  9. K

    JamiiForums Tanzania Radio ya USA leo watajadili Serikali ya Tanzania kukataa(Denial) ukweli wa Corona

    Leo nasikiliza radio ya taifa (NPR) topic yao kubwa ni jinsi Serikali ya Tanzania kukataa ukweli kuhusu Corona na kutumia nguvu na vitisho kunyamazisha watu. Wanasema vilevile wataongelea mazishi ya usiku usiku. Nchi jirani kulalamika pia zitaongelewa kama Zambia kufunga mipaka na nchi nyingine...
  10. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madereva 9 Wakenya waliotokea Tanzania wagunduliwa kuwa na Corona. Visa vyafikia 700

    Jana tumeona ya Zambia, leo ya Wakenya tisa wameingia kutoka Tanzania wote wameathirika, duh! Bongo imekua vipi, hizo sera za kila kitu ruksa hata kusongamana kwenye vilabu kutawaponza sana. ======= Nine Kenyan truck drivers who arrived in the country from Tanzania are among 28 people who...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya nchi zilizoweka lockdown na kisha baada ya kuondoa, visa vya Corona vimeongezeka kwa kasi, inatufundisha nini juu ya busara za Rais wetu?

    Tumepata taarifa kupitia vyombo mbali mbali vya kimataifa juu ya nchi kadhaa zilizoweka total lockdown na baada ya uchumi kuyumba na njaa kuwa kali wakaamua kuondoa lockdown, kisha visa vya Corona vikashoot juu kwa kasi kwa mara nyingine tena, na sasa wanafikiria kurudisha tena lockdown. Nchi...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Corona: "Media tunakufa kizungu na tai shingoni!", asante Waziri Mwakyembe kutambua mchango wetu. Serikali/jamii please do something, tutakwisha

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kuizindua serikali na Jamii, kuikoa sekta ya media, katika hii vita ya janga la Corona, japo sisi waandishi wa habari ni wadau muhimu sana katika vita hii kama ilivyo kwa madakari, manesi na wauguzi, lakini kiukweli sisi waandishi wa habari, haswa ma freelances, na...
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Dar es salaam ikiweka lazima ya kuvaa miwani (clear glass) kama ilivyo kwa barakoa, basi tunaweza kuwa nchi ya kwanza kuishinda Corona

    Kuna vitu vingine ukikaa na kutafakari kwa kina, utagindua kwamba akili zetu huwa zinapenda kuigana, na ni akili chache huwa zinakuwa proactive kufanya jambo jipya na akili zingine huishia kuiga tu. Tunaambiwa hivi virusi vya Corona vinaambukiza kwa kupitia Pua, mdomo na macho,? hivyo siku moja...
  14. JM3

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa dereva wa Mkurugenzi msaidizi (Utawala) ofisi ya Makamu wa Rais, Bw Willhelmy Benard Kido afariki dunia

    TANZIA Kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais:Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais,Anasikitika kutangaza kifo Cha Bw. Willhelmy Bernard Kido
  15. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima Atoa Kali, Aomba Kibali Serikalini Kuponya Wagonjwa wa Corona Mahospitalini, kwa Kutumia Miujiza ya Nguvu za Mungu!

    .
  16. G Sam

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kwa miaka yote mitano sukari tu imemshinda

    Najiuliza ni nini tatizo? Rais Magufuli alipoingia ikulu mgogoro namba moja aliouanzisha ni sukari. Sukari ghafla ikapanda bei, ikapotea mitaani. Ilifikia hatua akatoa vitisho kuwa ataliruhusu jeshi likamate sukari iliyofichwa liigawe bure. Nakumbuka hii kauli wapiga zumari waliishangilia...
  17. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Naona wazee wa kudandia treni wameachia ya Corona sasa wamedandia ya sukari!

    Hiki kinachoendelea natumaini Jemedari Mkuu, Field Marshal atatoa kauli kuhusu huu uhuni wa sukari kama kipindi kile miezi sita ya mwanzo wakati anaingia madarakani. Hii si bure wapo wachochezi walio nyuma ya wafanyabiashara. Naona wazee wa kudandia sasa ndio imekuwa kwao ni habari ya mjini na...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Obama aanza kumlaumu Trump kwa kushindwa kulikabili janga la Corona. Asema Trump anaishughulikia Corona kama janga la machafuko

    Donald Trump, Rais wa Marekani BARACK Obama, Rais Mstaafu wa Marekani, amemtuhumu rais wa sasa Donald Trump kwamba ameshindwa kuukabili ugonjwa wa mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Amesema, mbinu anazotumia Trump kukabiliana na...
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yatangaza ongezeko la Wagonjwa 29 wa COVID19. Jumla ya visa visiwani humo yafikia 134 (Mei 07, 2020)

    Wizara ya Afya Zanzibar imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya 29 wa #COVID19 na kufanya idadi ya maambukizi visiwani humo kufikia 134. Wagonjwa wote waliotangazwa leo ni Watanzania Pamoja na ongezeko hilo, Wizara pia imesema wagonjwa wengine watano wamefariki dunia na 11 wamepona na kufanya...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Habari za corona katika picha

Back
Top Bottom