corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya na Tanzania zakubaliana kuwapima COVID19 Madereva wa Malori na kutosema utaifa wa walioathirika

    Kenya and Tanzania have struck a deal to make public data on the COVID-19 status of truck drivers without mentioning nationality of those who test positive. A statement signed by Transport Ministers James Macharia (Kenya) and Issack Kamwele (Tanzania) said the data will be submitted to the...
  2. Trubarg

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya watamani kuiga Tanzania: Wachoshwa na daily briefings za corona

    Muendelezo wakutaja positive cases kila siku saa tisa alasiri bila kutoa solutions kumeonekana kuwakera Sana Wakenya kiasi kwamba kuomba huo utaratibu usitishwe Kama Tanzania ilivyofanya. Nimeambatanisha screen shorts na video ambayo ukiangalia comments zake asilimia zaidi ya 90 wanataka...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Virusi vya corona: Rais wa Tanzania anasema wagonjwa wanapungua, je yuko sahihi?

    Ukitaka kuwafurahisha wajinga, wape habari nzuri kuhusu habari mbaya, hata kama si ukweli na baada ya kuwarubuni wakuamini wewe tu. Je, ni kweli maambukizi ya corona yamepungua Tanzania? Na Peter Mwai na Christopher GilesBBC Reality Check Ibada ikiendelea kanisani Tanzania - waumini wakiwa...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Marekani kupepea nusu mlingoti kwa siku 3 kuomboleza waliokufa kwa Corona

    Rais wa Marekani Donald Trump ametoa amri ya bendera ya nchi hiyo kushushwa nusu mlingoti kwa siku tatu mfululizo, kuomboleza vifo vya Wamarekani waliokufa kutokana na virusi vya corona. Trump ameamrisha hatua hiyo, baada ya idadi ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa COVID-19 kukaribia 100,000...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Polepole: Corona imekwisha na Chadema imesambaratika na kuishiwa pumzi

    Siasa ni sayansi. Hatimaye Corona inaelekea kutokomezwa hapa nchini na kilichobaki ni wananchi kuchukua tahadhari ya kawaida tu ili kujikinga. Kadhalika Chadema nayo ndio imesambaratika kinachosubiriwa bunge livunjwe na makamanda wagawane mbao. Ni kama nyoka aliyekatwa kichwa........hana...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Corona ni Mtihani, Jee Ummy Mwalimu Amepasi Mtihani?. Mnaonaje Ampokee Majaaliwa as PM, na Majaliwa Ampokee Magufuli?.

    Wanabodi, Nmemsikiliza Waziri Ummy Mwalimu akizungumzia changamoto za uwaziri wake kwenye Janga la Corona. Kwanza naomba kukiri, kwa vile Waziri huyu ni mwanamke, na jinsi alivyo, muonekano wake wa sura, shape, macho yale, kaumbo portable fulani, ukijumlisha ni Tanga line, hivyo mwanzo...
  7. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane Kuchagua Jibu lililo sahihi tu hapa kuhusiana na CORONA kufanyiwa Mzaha nchini Tanzania tafadhali

    Je, Tanzania haina wasiwasi / hofu na CORONA kama nchi zingine hivyo imeamua kufanya yafuatayo...? A. Kutokuweka Mkazo wowote wa Curfew ( Lock down ) ili Waathirike wengi Uchaguzi usifanyike 2020 B. Kuruhusu Kundi la Waelewa na Wanaohoji Mitandaoni Form Six na Vyuo warudi ili wazingatie Elimu...
  8. Hata Sina kinyongo

    JamiiForums Tanzania Kwa nia njema tu nawauliza CHADEMA na wengine mnaotaka lockdown: Kwanini msiwashawishi wanachama wenu wakae ndani hadi Corona iishe!?

    Mbowe na Zitto na wengineo mara zote wamekuwa wakitaka mamlaka za nchi ziitishe lockdown ya nchi nzima ili kuepuka uenezwaji wa janga la corona.Jambo jema. Lakini mimi nina wazo tofauti nataka kuwashauli kwa nini endapo serikali imegoma kuitisha lockdown wao wasiwashawishi wanachama wao wabakie...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

    Karibu Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi. Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake. ===== Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
  10. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumekataa kufa njaa na corona tunapambana nayo

    Corona ilipoingia duniani iliwaambia watu wafanye uchaguzi wako tayari kufa kwa corona au njaa? Waliochangua njaa wakaji-lockdown ili wasife kwa corona, wafe njaa. Watanzania tukasema No; kufa njaa ni kujitakia. Tukifa njaa hata Mungu atatuona wajinga ndio maana hatuku-lockdown watu wala...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Janga la Corona limempaisha Rais Magufuli kisiasa

    Namna ambavyo Rais magufuri amejipambanua kukabiliana na janga la corona ni dhahiri amekonga nyoyo za walio wengi na hii imepelekea kupata uungwaji mkono na maelfu ya watanzania wakiwemo wa vyama vya upinzani. Kitendo cha Rais Magufuli kutokubaliana na agenda ya kujifungia (LOCK DOWN) ambayo...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Kufungua vyuo ni kuwajaribia vijana wetu na kuwamaliza waalimu vyuoni

    Kama kweli Rais kadhamiria kufungua vyuo bila kuangalia hali halisi ya ugonjwa huu, basi waalimu vyuoni jiandaeni. Taarifa tunazofahamu ni kwamba Vijana wanapambana na ugonjwa huu vizuri zaidi kuliko wazee. Madarasa ya vyuo vyetu ni kama kambi za wakimbizi. wanafunzi hujaa hadi pomoni na...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Trump asema Marekani kuwa na wagonjwa wengi wa Corona ni heshima ya kwamba vipimo vyetu viko vizuri

    Rais Donald Trump amesema ni '' ni heshima '' kuwa Marekani ina idadi kubwa ya maambukizi ya virusi vya corona duniani. ''Ninalitazama suala hili kama heshima fulani, kama jambo zuri kwasababu inamaanisha kuwa vipimo vyetu viko vizuri,'' alieleza akiwa Ikulu ya Marekani. Marekani ina watu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mapambano ya Corona yatekwa na wanasiasa kila mtu sasa ni msemaji na hii yote imesababishwa na Chadema

    Sasa utaratibu wa taarifa na elimu kuhusu Corona ni kama vile umevurugika kwa sababu kila mwenye msuli anaongea na kutoa lawama kwa " mchawi" wake. Alianza KUB Mbowe na wabunge wa Chadema kwenda karantini ilhali bungeni kuko shwari na maisha yanaendelea. Sasa wamekuja wakuu wa mikoa huko...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wakati tunajiandaa na beach party Dar - Kuna device ya metre 2 social distance imezindiliwa huko ambako corona bado ni tishio

    Ni Beeper unaivaa shingoni, anaekukaribia zaidi ya metre mbili Inaanza ku beep mpaka huyo mtu asogee. Sasa wale madomo zege walikuwa na kazi kubwa mwanzo, hii social distance itawapa wakati mgumu kidogo. Coronavimebadilisha sana utaratibu wa maisha. Binadamu tulikuwa tunajali sana muda katika...
  16. mimitungi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madereva Watanzania wana Corona zaidi ya Kenya? Siasa au Ukweli?

    Inawezekana vipi Tanzania kuwa na maambukizi mengi kiasi hiki na bado watu wakawa wazima? Je, no mbinu za kibiashara? Au mabeberu wapo kazini?
  17. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

    Akiwa katika ujenzi wa daraja la Tanzanite, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wakazi wake kufanya fujo za hali ya juu ikiwepo kupiga kelele kwa nguvu zote na watu kwenda beach kama ishara ya kumpongeza Rais kwa kuishinda COVID 19. Pia Makonda amewataka watu wote waliokimbià...
  18. imhotep

    JamiiForums Tanzania Kama uongozi wetu uko imara hivi basi corona haina chance

  19. B

    JamiiForums Tanzania "Kuishi na Corona" kunavyopotoshwa Tanzania

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Itifaki yote imezingatiwa. Shirika la afya Ulimwenguni (WHO), limekuwa likitoa tathmini, mapendekezo na kauli mbalimbali likionya na kushauri kwenye jitihada za kukabiliana na ugonjwa huu hatari. Kwa bahati mbaya sana hapa nchini kwetu kumekuwa na...
Back
Top Bottom