Wakati tunaambiwa visa vya corona vimepungua, watalii wameambiwa na Uingereza kuwa visa vinaongezeka

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
Staying during coronavirus
This page gives you guidance on how to stay safely in Tanzania as a visitor, if you are unable to return to the UK.

Everyone should comply with the measures put in place in Tanzania to limit the spread of coronavirus (COVID-19).

Moving around in Tanzania
The government has also banned public gatherings, closed schools and universities, and suspended sporting competitions. The majority of hotels, bars and restaurants have closed voluntarily, though many restaurants still offer take away service.

Visas
The Tanzanian Authorities have announced that they will extend the length of visa validity by 1 month free of charge for people who are unable to leave Tanzania due to coronavirus.

Health
Due to a rise in the number of coronavirus cases in Tanzania, medical facilities and personnel are under strain throughout the country. The availability of treatment for non-coronavirus-related illnesses, particularly for non-urgent care, has been adversely impacted.

For contact details for English speaking doctors visit our list of healthcare providers.

Your emotional and mental wellbeing is important. Read guidance on how to look after your mental wellbeing and mental health.

View Health for further details on healthcare in Tanzania.

See also the guidance on healthcare if you’re waiting to return to the UK.
 
Visa vimepunguwa? Vimeongezeka? Maabara si inahakikiwa kwa zaidi ya week sasa?
 
Tusiwe wachawi hizo ni general precaution watalii watakuja kwa wingi, risk kupata maambukizi hotel na katika vivutio ni ndogo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana ya kuwa na mabalozi kwenye nchi husika. Ni ngumu balozi kushauri watu kutembelea sehemu si salama, ni Ngumu, tena hii ya kupuuzia duh!
 
Tusifikie hali ya italy maana tunapoelekea sio pazuri

Tunapambana na ukimwi kwa ngono zembe


Imeisha hiyoo
 
Nchi kama China na Korea kasikazini wangefanya hivi,ndio ningeshangaa

Sio hao waingeleza.
 
Sasa hili tangazo si lilipostiwa siku za mwanzo baada ya hii outbreak ya corona kutokea??? Na haionyeshi hali ilivyo baada ya j2 hii
 
Back
Top Bottom