Mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulia (CCM) apona ugonjwa wa Corona

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,875
141,809
Mbunge wa kinondoni mh Mtulia amelitangazia bunge kuwa ni kweli alipata maambukizi ya Covid 19 na sasa amepona na amewaomba wabunge wenzake wasimnyanyapae.

Mtulia amemshukuru sana mh Spika Ndugai kwa namna alivyomshughulikia wakati anaumwa.

20200518_175249_rmscr-1.jpg
 
General Ulimwengu yuko sahihi.Ni kwa hura za Meko na Ndugai tu ndio maana Tanzania haiangamii.

Mungu huyu ni wa kumwogopa sana.Labda kama ni mungu mwingine.Ila Mungu anasikia na maombi ya waovu kama Magufuli na Ndugai.

Lakini tuna mazuzu wanaamini Kila anachosema magufuli ni sauti ya Mungu,anachosema Mbowe au Lissi au Zitto ni sauti ya shetani.Kwa hakika tujue namna Mungu anavyofanya kazi na kujibu,wala hutopata shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walifanya Siri, lakini kitambo JF members tulishajua. Tumamtakia kila la heri kwa kupona na pia aungane na sisi Watanzania wenzake kwenye mapambano! maana hiyo kitu ikikuzidi tu nguvu, ndiyo basi tena.
 
Mbunge wa kinondoni mh Mtulia amelitangazia bunge kuwa ni kweli alipata maambukizi ya Covid 19 na sasa amepona na amewaomba wabunge wenzake wasimnyanyapae.

Mtulia amemshukuru sana mh Spika Ndugai kwa namna alivyomshughulikia wakati anaumwa.

Source Star tv!
Kasema walikuwa wawili tu. Tuko vizuri na hakuna kifo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
General Ulimwengu yuko sahihi.Ni kwa hura za Meko na Ndugai tu ndio maana Tanzania haiangamii.
Mungu huyu ni wa kumwogopa sana.Labda kama ni mungu mwingine.Ila Mungu anasikia na maombi ya waovu kama Magufuli na Ndugai.Lakini tuna mazuzu wanaamini Kila anachosema magufuli ni sauti ya Mungu,anachosema Mbowe au Lissi au Zitto ni sauti ya shetani.Kwa hakika tujue namna Mungu anavyofanya kazi na kujibu,wala hutopata shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachokipanda macccm watakivuna wani dei
 
Habari hii ni kwa mujibu wa tweet hii ya Jamii Forums:

NEWS FLASH: Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia (CCM) amesema amepona ugonjwa wa corona baada ya kuugua na kulazwa huko Mkonze jijini Dodoma
 
Back
Top Bottom