kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,313
- 12,613
CORONA imekuja kudhihirisha namna Africa kwanini hatuendelei hata baada ya miaka 60 ya kupata Uhuru.
Africa inatafunwa na magonjwa mengi sana ambayo ilipaswa kuungana kupambana nayo. Adui namba moja wa east, cental, west na south Africa Ni malaria, ikifuatiwa kwa karibu na HIV, TB, kipindupindu, vifo vya akina mama na watoto. Afrika haina mbinu ya pamoja ya kupambana na magonjwa haya ingawa inagharimu maisha ya watu wetu kwa miaka mingi sana kuliko CORONA.
CORONA kwakuwa inagharimu maisha ya wakoloni wetu wa zamani basi Africa imeyasahau magonjwa yake yote ikakimbilia hukohuko kwenye CORONA ili kulia pamoja na mataifa makubwa. Tukakopi strategy zao za kupambana na CORONA bila kukopi background na context zao.
Waafrika hawakuhangaika na compare and contrast kati ya Africa na mataifa makubwa kwenye CORONA, waafrika wakageuka madodoki wakazoa kila kitu Cha ulaya, Marekani na Asia bila kujali difference ya weather, economical, social, psychological, Development, behavior and political environment ya Kati ya Africa na mataifa hayo. Hii ilisababisha viongozi wa kiafrika kupitisha kwa nguvu vitu vyenye umbo la pembe nne vipite kwenye tundu la duara/round. Tukashuhudia Askari wakipiga watu risasi watu wao walioshindwa kujifungia ndani kama wenzao wazungu wa Marekani ambao walitengenezewa mazingira ya kutosha ya lockdown.
Viongozi wa Africa walifanya hivyo kuwafurahisha wakopeshaji na watoa misaada wao huku wakisubiri kuona what next kutoka kwa wazungu. Walishikwa na woga uliopitiliza wa kufa na kunyimwa misaada na kufukuza wawekezaji wa kizungu.
Sasa Wazungu wameshindwa lockdown wanataka kutoka nje kuokoa uchumi wao bila kujali CORONA ipo au hakuna, bila shaka na waafrika wetu nao watashindwa kuendelea na lockdown pia bila kujali CORONA ipo au haipo.
kwa Mara ya kwanza Tanzania chini ya JPM itaiongoza dunia kwenye kupambana na CORONA. Tanzania itaingia kwenye vitabu vya dunia kwenye vita dhidi ya CORONA baada ya kunusa ubaya wa kufungia ndani wakulima wasiende kulima, wafanyakazi wasiende kazini, wachuuzi wasichuuze, wafanyabiashara wasiuze, wavuvi wasivue, wafugaji wasiende kuchunga mifugo yao ife njaa, bodaboda walale ndani bila kupewa njia nyingine mbadala ya kupata ugali, mama ntilie walale ndani, nk. Huu kwavyovyote vile ungekuwa upuzi sawa na upuzi mwingine.
Kwavyovyote vile, Kama magonjwa mengine CORONA pia ilipaswa kuua baadhi yetu Kama yanavyofanya magonjwa mengine Kama malaria, HIV, kisukari, moyo, cancer, ajali ambayo yanaingia na kuua hata watu wale walioko ikulu. Kwanini iwe ajabu mtu kufa kwa corona lakini isiwe ajabu mtu kufa kwa Malaria?
Tanzania tunapaswa kuonyesha dunia kuwa hata michezo, shule na vyuo vyetu vinaweza kuendelea huku tukiendelea na distancing, barakoa, sanitizers, kunawa mikono na kupiga nyungu Kama tunavyofanya kwa HIV, kipindupindu, typhoid, Malaria, nk
Wazungu ni zamu yao kuiga Tanzania mwaka huu.