corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Siku ya Afrika: Rais Magufuli ang'ara, UN yazitaka nchi tajiri kusamehe madeni kwa nchi za Afrika ili ziweze kupambana na Corona

    Leo ni siku ya Afrika. Katika maadhimisho ya siku ya Afrika Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amelipongeza bara la Afrika kwa siku hii na kwa namna wanavyopambana na Corona. Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa...
  2. Gentleman96

    Kwa nilichoshuhudia coco beach nadhani hakuna corona Dar

    Leo ni siku ya PILI watu waki enjoy siku kuu ya Eid! Nimetembea hadi coco beach kwenye PARTE AFTER PARTE YA MKOA LEO, nilifika pale mida ya saa kumi jioni nikiwa nataka kuona kwa macho kama ni kweli watu wana enjoy bila hofu! Nimeshuhudia watu weeeengi kabisa watoto kwa watu wazima, watanzania...
  3. beth

    Afrika Kusini: Rais Ramaphosa asema mlipuko wa Corona utakuwa mbaya zaidi nchini humo

    Rais wa Afrika Kusini ametehadharisha kuwa hali ya mlipuko wa virusi vya corona inaelekea kuwa mbaya zaidi, wakati akitangaza kulegeza masharti ya kubaki nyumbani. Cyril Ramaphosa amesema zaidi ya watu 22,000 wamerekodiwa kuwa na maambukizi juma lililopita. Pamoja na hayo , rais amesema kuwa...
  4. Zanzibar-ASP

    CORONA: Bila mikakati mipya, Utalii Tanzania huenda ukashindwa kuinuka?

    Kuna mambo kadhaa ya kufahamu kwa kina kabla ya kujadili hili. Kwanza tuukubali ukweli huu kuwa, kusambaa kwa Corona duniani ndio kuliko pelekea kusimama kwa shughuli za utalii hapa Tanzania. Sio mtu, watu au mamlaka fulani iliyoamuru kusitisha shughuli za utalii hapa Tanzania. Watalii wenyewe...
  5. Jaji Mfawidhi

    Ubalozi wa Marekani wasisitiza maambukizi ya Corona jijini Dar yameshika kasi. Wadai Hospitali zimeelemewa!

    Baada ya serikali hapo jana siku ya Iddi kutangaza kubakiwa na wagonjwa wachache kabisa wa COVID19, kupitia kwa PM Majaliwa, Ubalozi wa Inmi Patterson amewatahadharisha raia wa Marekani waliopo Tanzania. Balozi huyo, amesema hivi: 'Mahospitali mengi Dar es salaam yamelemewa na wagonjwa, nafasi...
  6. M

    Rais Magufuli tuionyeshe kuwa Corona imedhibitiwa Tanzania

    Mkuu Mheshimiwa Raisi wetu John Pombe Magifuli Nakuomba tuionyeshe dunia tumedhibiti korona kwa njia zifuatazo:- 1. Uongozi wako umetoa dira kwa kuondoa hofu kwa Wananchi wako na korona imekuwa kitu cha kawaida. Zaidi ya yote ni kumtegemea mungu katika kila jambo. 2. Ugunduzi wa dawa lishe...
  7. J

    Waziri Mkuu Majaliwa: Corona imepungua Dar na Wagonjwa waliolazwa Wamepungua

    Akiongea baada ya swala ya Eid jijini Dodoma, Waziri Mkuu Mh. Majaliwa amesema idadi ya wagonjwa wa Corona imepungua sana nchini. Amesema hadi leo asubuhi taarifa alizonazo hospitali nyingi hazina wagonjwa na chache zilizobaki wagonjwa wamepungua sana. Kwa mfano Amana mgonjwa 1, Mloganzila 1...
  8. M

    Mwanasiasa atabiri Watanzania Mil. 1 watakufa kwa Corona, Mkuu wa Wilaya Gairo amjibu, amwambia ataanza yeye

    Korona itathibitisha upumbavu wetu, kuna wajinga wanaofikiri hatuna korona imeisha. Mwanasiasa atabiri Watanzania Mil. 1 watakufa kwa Corona / Apewa jibu hili ===== Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Siriel Mchembe, amewataka viongozi wa dini wilayani Gairo kuiombea Wilaya hiyo na Taifa, dhidi ya...
  9. Sky Eclat

    Uelewa wa maambukizi ya corona Tanzania ni mdogo

    Misongamano ni mikubwa na wanaovaa barakoa ni wachache sana. Kilichoshindikana hapa ni kuwa uelewa wa watu ni mdogo au serikali haijatoa elimu ya kutosha kwa jamii? Video ni mbadala wa nguo Kariakoo leo 24/05/2020
  10. Nazgur

    Rais Magufuli aonesha uwezo mkubwa kwenye janga la Corona duniani

    Toka lilipoingia janga hili raisi alitoa msimamo kuwa watu waendelee ka kazi ila wachukue tahadali kwa kufuata mashrti yaliyowekwa na wizara ya afya. Pili, akasema hii ni vita hivyo tutmie kila siraha kupambana na huu ugonjwa, tutmie pia maombi na dawa za asili na kupiga nyungu ili kuutokomeza...
  11. MK254

    Msafara wa kuilaani Israel ambao hufanywa kila mwaka Iran, wasitishwa kisa corona

    Kila mwaka maelfu ya wa-Iran hujitokeza kwenye msafara na kupandisha mzuka huku wakifoka dhidi ya Israel, hutembea kwenye msafara wakijipiga vifua, ila mwaka huu imekua balaa, kirusi cha corona kimetuliza mizuka yote duniani. ============== Virus Lockdown Forces Iran Into Its First Virtual...
  12. B

    Corona: Machine rahisi za kupima zilivyoleta mapinduzi ya ugonjwa Italy

    Moja kwa moja kwenye mada itifaki yote imezingatiwa. Ninaandika uzi huu nikiwa ninafahamu kuwa Corona imetangazwa kuwa imedhibitiwa Tanzania, pasipokuwapo na takwimu zozote rasmi za kimaabara hadharani. Ninaandika uzi huu nikiwa ninafahamu mafanikio haya makubwa ambayo Tanzania imeyapata...
  13. Sky Eclat

    Kipanya: Tafsiri ya ugonjwa wa corona katika sekta ya utalii

    Utalii sasa hivi umekuwa haramu kwa wengi
  14. Cannabis

    BASATA: Shughuli za wasanii hazijaruhusiwa kwa sababu ya janga la ugonjwa wa Corona

    Katibu Mtendaji anawakumbusha Wasanii na wadau wote wa Sanaa kuwa shughuli za Sanaa bado hazijaruhusiwa rasmi kuendelea kufanyika kutokana na janga la ugonjwa wa CORONA. Amesema hayo huku wakazi wa mkoa wa Dar es Salaam wakijiandaa na sherehe za kuiaga Corona nchini Tanzania zitakazoambatana...
  15. chiembe

    Ushauri: Serikali iiagize BAKWATA itangaze kesho Eid El Fitr ili watanzania washerehekee pamoja na sherehe za kuiaga Corona

    Sherehe za kuiaga corona nchini Tanzania zinafanyika kesho jumapili Nashauri vyombo vya dola viiagize Bakwata pia itangaze kesho Eid El Fitr ili wananchi wakiwa wanasherehekea Eid, pia wanapiga pilau la kuiaga corona Pia hii itafanya masheikh misikitini kupiga dua za kumshukuru Mungu, na...
  16. YEHODAYA

    Marais wengi Afrika wanasubiri wazungu watafute dawa ya Corona, wamuige Rais Magufuli

    Marais wengi wa Afrika wajinga Corona imevamia nchi zao ambayo haina dawa badala ya kutafuta dawa wako tu wana lovkdown watu wao wakati dawa hawana. Wanakodoa tu mimacho kwa wanasayansi Wazungu wagundue dawa!!!! Rais Magufuli akaona asisubiri wazungu yeye kama Rais anatakiwa atafute ufumbuzi...
  17. wanzagitalewa

    Huduma ya pesa kwa njia ya simu inavyoweza kutusaidia kupunguza maambuki ya Corona

    Homa ya corona imetikisa kila kona ya dunia hivi sasa. Tanzania nako si kisiwa kwani napo visa vya maambukizi vilianza kupatikana kuanzia mwezi Machi. Katika nyakati za changamoto hii ni lazima kuhakikisha sote tunashirikiana ili kuzuia kuenea kwa maambukizi ya kirusi cha homa hii. Tumeona...
  18. MK254

    Kenya na Tanzania zakubaliana kuwapima COVID19 Madereva wa Malori na kutosema utaifa wa walioathirika

    Kenya and Tanzania have struck a deal to make public data on the COVID-19 status of truck drivers without mentioning nationality of those who test positive. A statement signed by Transport Ministers James Macharia (Kenya) and Issack Kamwele (Tanzania) said the data will be submitted to the...
  19. Trubarg

    Kenya watamani kuiga Tanzania: Wachoshwa na daily briefings za corona

    Muendelezo wakutaja positive cases kila siku saa tisa alasiri bila kutoa solutions kumeonekana kuwakera Sana Wakenya kiasi kwamba kuomba huo utaratibu usitishwe Kama Tanzania ilivyofanya. Nimeambatanisha screen shorts na video ambayo ukiangalia comments zake asilimia zaidi ya 90 wanataka...
Back
Top Bottom