Hao Madreva 19 wa Kenya waliothibitika kuwa na Corona waliruhusiwa kuingia nchini?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Mkuu wa Mkoa wa Tanga amedai wapo madreva 19 wa Kenya waliothibitika kuwa na Corona lakini hawakuwakataa alimaanisha na Kenya waruhu madreva wetu bila kujali Hali zao kiafya waingie Kenya. Swali;
1. Walipimwa lini?
2. Walipimwa boda wakakaa kusubiri majibu kutoka dar?
3. Walipimwa lini kwa sababu maabara yetu imefungwa?
4. Mpaka wa horohoro unapima corona au wanapima Joto?
 
Mkuu wa mkoa ya Tanga ametangaza kufunga kuingia kwa magari makubwa kutoka kenya kupitia mipaka iliyopo kwenye mkoa wa Tanga kufuatia madereva 13 kutoka Kenya kukutwa na corona.

Je, takwimu hizi za corona ambazo kwa sasa zimesimamishwa kitaifa yeye amezipata wapi? Na pia kama takwimu za corona kwa madereva wa nchi jirani zinatolewa kwa haraka, nini kinakwamisha takwimu za ndani za maambukizi ya covid-19 kitaifa zisitolewe?
 
Sio 13 ni 15.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muoshwa uoshwa kwani wake watz 53 waliokamatwa 'eti wamevuka mpaka kinyemela' na kuambiwa wana corona wamepimwa saa ngapi na mpaka majibu kutangazwa kwa haraka kiasi kile?
 
Back
Top Bottom