Bunge lampongeza waziri Ummy Mwalimu kwa kusimamia vizuri mapambano dhidi ya Corona na kuudhibiti

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,607
141,429
Naibu Spika Dr Tulia leo ametambulisha kurejea bungeni kwa waziri wa afya mh Ummy Mwalimu ambaye alikuwa mstari wa mbele kuongoza mapambano dhidi ya Corona hadi kuudhibiti ugonjwa huo.

Bunge zima limempigia makofi ya furaha na kumshukuru kwa namna alivyotoa mchango mkubwa kumsaidia Jemedari mkuu Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona.

Source Star tv!
 
Lichama la ccm ni outdated kabisa. Linategemea ujinga wa watu, propaganda na ubabe tu kutawala.

Eti amedhibiti corona! Ni kwenye movie au?
 
Kwa bidii waliyonayo CCM kupongezana unaweza sema nchi imeshakuwa ya maziwa na asali.

Matatizo yetu yapo palepale, bado shuleni hakuna vitabu, hospitali bado hazijitoshelezi, bado tunabanana kwenye daladala, bado watanzania wengi wanashindia mlo mmoja na Corona haijaisha kama ilivyoisha Mauritius.

Watanzania wamezoea shida kiasi kwamba kuziongelea ni kosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wabunge kupiga makofi na vigeregere ni kawaida yao, wa namsifia kwa lipi?
Naibu Spika Dr Tulia leo ametambulisha kurejea bungeni kwa waziri wa afya mh Ummy Mwalimu ambaye alikuwa mstari wa mbele kuongoza mapambano dhidi ya Corona hadi kuudhibiti ugonjwa huo.

Bunge zima limempigia makofi ya furaha na kumshukuru kwa namna alivyotoa mchango mkubwa kumsaidia Jemedari mkuu Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona.

Source Star tv!

In God we Trust
 
Back
Top Bottom