Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip Mpango, amewataka watumishi wa wizara hiyo kuchukua tahadhari zote kuhusu ugonjwa wa corona, licha ya kukiri kuwa Tanzania haina maambukizi ya virusi hivyo kwa sasa.
Dk Mpango alitoa kauli hiyo jana wakati akifungua mkutano wa baraza la wafanyakazi wa Wizara...
Askofu Gwajima ameonya waumini wake kwamba chanjo ya corona ni hatari, na kusisitiza hakuna haja ya kuchanja watanzania kwa sababu Tanzania hakuna corona. Askofu Gwajima amesema kilichopo hivi sasa ni hofu ya corona ambayo ina nguvu kuliko corona yenyewe.
Askofu Gwajima amesema kwamba chanjo ya...
Maaskofu wa KKKT waliokutana jijini Arusha wamewaomba maaskofu kutoka Kenya kuishauri serikali yao iige mbinu za Tanzania ili iweze kudhibiti Corona na hatimaye kuitokomeza.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Mwenyekiti wa Chadema kupitia twitter amesema " Tanzania Corona iko tele" na ameitaka serikali kuchukua tahadhari.
Kwa maana nyingine Freeman Mbowe anatuambia CHADEMA inachukua tahadhari zote za kupambana na Corona ikiwemo social distancing.
Na kwa maana hiyo vikao vya watu wengi kama Baraza...
Kumezuka katabia ka watu kutishia wananchi Kuwa Corona ipo Tanzania utadhani wao wanaumwa Corona au ndugu zao wamekufa kwa CORONA. Watu wamebeba mabango Kuwa serikali inawaficha wagonjwa wa corona. Ukiwauliza wewe unaumwa? Ndugu yako anaumwa hiyo corona? Rafiki yako amekufa kwa corona? Wanabaki...
Yetu macho
====
Alichokiandika Mbowe
Msimamo wa JPM na Serikali yake kuhusu #COVID19 ni aibu na jinai kubwa dhidi ya ubinadamu yenye athari kwa maisha & uchumi. Corona Tz ipo tele. Waso-hatia wanakufa. Woga & ukimya ni ujinga. Madaktari na wauguzi mna kiapo. Semeni ukweli. Kataeni uharamia...
Hali imeanza kurudi kule kule kwa kufungiana, wasafiri wanaotokea Tz na DR moja kwa moja hawaruhusiwi kuingia UK kisa ugonjwa wa corona.
===
UK bans passengers from Tanzania, Democratic Republic of Congo to control spread of COVID variant
(Reuters) - Britain is banning all arrivals from...
(Reuters) - Britain is banning all arrivals from Tanzania and Democratic Republic of Congo from Friday to stop the spread of the South Africa COVID-19 variant, transport secretary Grant Shapps said in a tweet on Thursday.
"All passengers from these countries except British & Irish Nationals and...
Watu wengi kwenye kambi ya upinzani wamekuwa wanadai kuwa Magufuli kabinya demokrasi ilihali huwa wanashiriki uchaguzi na ama wanashinda au wanashindwa kama ilivyo ada ya demokrasia. demokrasia haiana maana kuwa upinzani ndio ushinde tu.
Viongozi huwa hawapimwi kwa mambo ya kawaida bali yale...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig. Jen Mstaafu Emmanuel Maganga amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Milambo Mkoani Tabora usiku huu.
Brigedia Jenerali Mstaafu Emmanuel Maganga alistaafu mwezi Julai, mwaka 2020 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
Kabla sijaenda kwenye maswali zaidi niweke wazi kuwa, I have never bought any Conspiracy lakini najua attention ya dunia dhidi ya corona is greater than the real problem.
Corona kuwepo ni jambo moja, impact yake ni suala jingine, Idadi ya wanaopona ukilinganisha na wanaokufa inaoesha haja ya...
Shule ya kimataifa ya UWCEA Kampasi ya Moshi, Kaskazini mwa #Tanzania imesitisha mafunzo ya ana kwa ana kwa Wanafunzi kwa madai ya mmoja wa Wanafunzi kuthibitishwa kuwa na maambukizi ya Corona.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na tovuti ya Shule hiyo, Januari 18 Mwanafunzi huyo alithibitishwa...
Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa.
Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa.
Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
afya
barakoa
changamoto
chanjo
corona
covid
covid 19
covid-19
dunia
gani
kelele
maambukizi
magufuli
maisha
matibabu
rais
siasa
tanzania
ugonjwa
ukweli
upumuaji
uzalendo
viongozi
watanzania
wizara ya afya
Kupata permanent residence Marekani unatikwa kununua municipal bonds za dola kadhaa.
Serikali itoe uraia wa nchi mbili kwa yeyote atakayenunua long-term bond za serikali za dola milioni moja wapewe uraia haraka akishalipa tu tuchangamkie fursa.
Tanzania wazungu mamilionea wanakimbia corona...
Dunia nzima inajua ukitaka kwenda kutalii bila ya bughudha ya kushurutishwa kuvaa barakoa au mikwala mingine mingi. Dunia inajua kuna nchi moja tu iko mashariki ya Afrika ndiyo haina hayo mafua. Nayo ni Tanzania.
Nchi chache za Afrika zina wanasayansi wanaoweza kusoma vinasaba (RNA) vya virusi vya corona. South Africa, Nigeria na Kenya ni baadhi ya nchi chache Africa ambazo zina maabara ya kisasa na wanasayansi waliobobea wanaoweza kudecode RNA ya virusi vya corona. Wanasayansi wa Kenya wamegundua kuwa...
Waziri wa biashara Mh. Mwambe amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutokana na ongezeko la bei ya bidhaa hiyo kwenye soko la dunia.
Mwambe amesema bei kwenye soko la dunia imepanda kutokana na fakta mbalimbali kubwa ikiwa ni ugonjwa wa Corona.
Mwambe amesema kwa sasa kuna meli mbili za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.