Tutammiss Donald Trump kwa mambo mazuri yake ikiwamo kupinga ushoga

Magharibi wana vituko kweli wakati huku kwetu wanawake wengi tu wanashindwa kutambulisha waume zao hadharani.
 
Kwa hiyo tumeruka kinyesi tumekanyaga mavi?

Hapo watetezi wengi wa haki za binadamu watapata kuungwa mkono sasa.
 
Chukwuemeka Takpo

Mkuu ujinga ni kutokujua kitu, siyo tusi

Nimekupa tu upana wa tatizo la ushoga, kuepusha sijui kumpongeza huyo Trump sijui kafanya nini

Kariakoo hapo na mitaa mingi ya hapo jijini mashoga wapo.

Nimesoma mnazi mmoja miaka ya 80s nilikuwa nawaona
 
Yoyote anayepigana na nature nature itamshinda. Kupigana na nature ni kupigana na MUNGU.
 
Back
Top Bottom