Salaam Wana JF.
Nianze andiko hili kwa kurejea usemi huu usemao "Africa consumes what it does not produce and produces what it does not consume" Kuna mantiki pana juu ya usemi huu na kinachoendelea kwa sasa dhidi ya chanjo ya Covid 19, Rais wa Tanzania ameibua mjadala mpana ndani na nje ya...
Mabibi na mabwana tumwogope mola aliyetuumba sisi na wote wanaoitwa binadamu. Misahafu ya kikristo inatambua:
"Kumpenda jirani yako kama nafsi yako."
kuwa ndiyo amri iliyo kuu.
Hivi tutajibu nini Akhera sisi kwa udhalimu tunaowatendea wengine?
Leo tumefikia mahali pa kutumia nguvu...
Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya Corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo.
Watanzania wengi wamemuelewa Rais na wanachukua tahadhari na pia wameelewa msimamo wa Rais kuhusu chanjo ya Corona. Ila...
JE, KUNA HAJA YA RAIS MAGUFULI KUWA NA HOFU NA MASHAKA JUU YA CHANJO YA CORONA?
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Dunia kwa sasa ipo katika mjadala mkubwa kuhusiana na janga la Corona na chanjo zake. Nadharia mbalimbali zimezuka ama zingine zilikuwepo na zimepata nguvu katika kipindi hiki cha janga...
Wakuu Salaam,
Kutokana na Wimbi la Pili la Corona, Wananchi Wameanza kuchukua Tahadhari wenyewe kwa hiari yao sababu wanajua kujali afya na jukumu la mtu mwenyewe kulingana na anavyojipenda. Hivyo wananchi wameanza kufanya kazoezi, Kuvaa Vitambaa vinavyofunika Pua na Mdomo ikiwemo kufuata...
Taasisi ya Haki za Binadamu, Tanzania Human Rights-Foundation (TAHURI) imetoa tamko la kuwataka Watanzania kuungana pamoja katika vita dhidi ya Shirika la Afya Duniani, WHO na Rais Magufuli huku likiwataka wananchi kumuunga mkono Rais wao.
Akiongea na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam...
Shirika la Afya Duniani WHO linajiandaa kutoa cheti au kadi ya chanjo ya Corona (Covid-19 vaccination certificate) itakayotumika dunia nzima, na huwezi kusafiri au kupata VISA kama hautakuwa umechanjwa. Kwa sasa chanjo inayotakiwa ili usafiri au ukienda kuomba VISA ni chanjo ya homa ya manjano...
Hili gazeti limechapisha kauli ya Magufuli kuhusu ugonjwa wa Corona na chanjo ya ugonjwa huu.
Gazeti limenukuu kauli za Magufuli kama zilivyo na hapa ndio kuna sehemu wamenukuu Magufuli akiongelea chanjo ya cancer kitu ambacho, kwa maoni yangu, kinamuweka Magufuli katika mtazamo hasi kwani...
China imeanza kutumia aina mpya ya kuchukua sampuli za kipimo Cha Corona kupitia sehemu ya haja kubwa.
Mamlaka zinasema aina hii ya kipimo ni ya kuaminika zaidi na haraka.
Kipimo hiki kinahusisha kuingizwa kwa kifaa maalumu chenye pamba kama sentimita 1 ama 2 katika njia ya haja kubwa kisha...
Mabibi na mabwana katikati ya misukosuko na gonjwa hili lililotukalia vibaya mno hasa sisi wenye migogoro yoyote mingine ya kiafya, wale wenzetu na sisi wenye umri 50+, pia wale wafanyao shughuli zao kwenye mazingira yenye hatari zaidi, kwa hakika ina fikirisha sana.
Ikumbukwe kuwa hata huko...
Siku moja baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kutaka wizara ya afya kutokukimbilia chanjo ya Corona, Shirika la Afya Duniani WHO imeitaka nchi hiyo kujiandaa na chanjo ya Corona kama mataifa mengine duniani.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao, mkuu wa WHO...
Wakati serikali imekuwa ikisisitiza kuwa Corona haipo nchini, Wananchi wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii kuelezana hali ilivyo juu ya ugonjwa huu na imefika hatua hata Kanisa Katoliki limeshituka na kutoa tamko la kutahadharisha jamii juu ya uwepo wa ugonjwa huu.
Hali hii inadhihirisha...
Chama cha NCCR-Mageuzi tunapenda kuweka msisitizo wa taarifa tuliyoitoa tarehe 16 Januari 2021 katika kikao chetu cha halmashauri kuu ya Taifa. Taarifa inayohusu Ugonjwa wa Virusi vya Korona-19 (UVIKO-19).
NCCR-Mageuzi tunawaomba watanzania kuongeza mbinu za kujikinga kwa kiwango kisichopungua...
Kwa sasa kinachoendelea ni utambulisho wa viongozi ikiwemo wizara na idara za serikali. Waliokuwepo kwa uchache ni Dkt. Damass Ndumbaro, Medadi Kalemani ambae ni mbunge mwenyeji na waziri wa nishati, Dotto Biteko ambae ni waziri wa madini, Elias Kwandikwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga...
Sasa ni dhahiri Wananchi wa Tanzania wamekomaa kimawazo na kiakili , nimepita maeneo kadhaa ya jiji la Dar es Salaam , liliwemo eneo korofi la Kariakoo nimeshuhudia hatua kadhaa za kujilinda na maambukizi zikichukuliwa na wananchi wenyewe huku wakihamasishana kujifanyia usafi wa mikono kwa maji...
Askofu mkuu wa jimbo katoliki la Dar es Salaam amewasihi waumini kufuata taratibu za kisayansi kupambana na corona.
Askofu ameomba tusaidiane na Mungu kupambana na corona.
Askofu amesisitiza kuwa corona bado ipo na kuwasihi waumini waendelee kuvaa baracoa, kunawa mikono na maji tiririka pamoja...
Kama umesoma historia ya nchi hii hasa katika mapambano au vita vya kupigana na mkoloni, bila shaka utakuwa umesoma na habari ya Mzee Kinjekitile Ngwale, kiongozi alieongoza watu wake katika kupambana na mkoloni ingawa alinyongwa na wakoloni wa kijerumani mwaka 1905 na kuacha vita ya maji...
Katika hali ambayo isiyo ya kawaida kwa sisi wasikilizaji wa BBC kipindi cha jioni. Radio Free wamekata ghafla matangazo ya BBC wakati Padre akielezea juu ya tahadhari ya Corona. Katika mahojiano hayo, Padre alisema kuwa kipindi cha nyuma wao kama viongozi wa dini walikuwa wakiitwa mara chache...
Ukisikia utapeli kwenye dini njoo Tanzania.
Nilichojifunza kwenye Corona Tanzaia viongozi wengi wa dini kubwa za Kikristo hawamwamini Mungu wanaamini sayansi na sio Mungu wanayemsingizia kuwa aliwaita wamtumikie.
Kuamini Mungu kuwa aweza Saidia vita dhidi ya Corona kumebaki Kwa waumini wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.