corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Hospitali ya Agakhan yasema haijazidiwa na wagonjwa wa Corona, yataka wajawazito kuhudhuria Kliniki

    Hospitali ya Aga Khan imesema siyo kweli kwamba wodi zake zimejaa wagonjwa wa Corona bali wapo wagonjwa wenye matatizo mbalimbali. Mtendaji mkuu wa hospitali hiyo amemwambia Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Mchembe kwamba akina mama wajawazito wameacha kwenda Kliniki kufuatia uvumi huo na...
  2. B

    Corona: Tusidanganyane hatuko sawa sote mbele ya ugonjwa huu

    Mabibi na mabwana na tuambizane ukweli tu, kwani haisaidii kuukimbia ukweli. Pia msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Hongera Dar kwa kuanza kutupia barakoa kujaribu kujihami na kuwahami wengine japo kwa jitihada binafsi. Inatia moyo kwani mmedhihirisha "kifaranga hafunzwi kuchakura!" Ninaamini...
  3. MSAGA SUMU

    JPM anaona mbali anaposema hakuna corona

  4. Kipenzi Changu

    Balozi wa Tanzania aliyechanjwa Corona Israel arejeshwe nyumbani mara moja

    Amekiuka msimamo wa nchi anaweza kutuletea corona ya ajabu-ajabu. Kazi ipo mwaka huu.
  5. Analogia Malenga

    China: Watu 80 mbaroni kwa kutengeneza chanjo feki ya COVID -19

    Watu 80 wanashikiliwa na polisi nchini China kwa kutengeneza dawa inayofanana na chanjo ya COVID19 ambayo ni maji yenye chumvichumvi tu. Hadi sasa katika jimbo la Jiangsu na Shandong chanjo feki zaidi ya 3,000 zimekatwa. Polisi hawajaweza kusema ni chanjo kiasi gani zimeuzwa. Sinopharm ni...
  6. chrome

    Corona: Wahudumu wa maabara Kenya watishia kugoma

    Sekta ya afya nchini Kenya inakabiliwa na msukusuko kutokana na mfululizo wa migomo ya wahudumu wa afya katikati ya janga la virusi vya corona. Muungano wa wahudumu wa maabara nchini Kenya umetoa muda wa hadi Januari 4 mwaka unaokuja kwa serikali kushughulikia madai yao au wajiunge na wauguzi...
  7. chrome

    Utafiti: Corona imeathiri uwezo wa wanaume kuzalisha

    TAFITI mpya umeonyesha kuwa Covid-19 inaweza kufanya wanaume kukosa uwezo wa kuzalisha.Wanasayansi wanasema kwamba wanaume wanaoambukizwa virusi hivyo wanaweza kukosa kuzalisha kwa muda. Kwenye utafiti wao wanasayansi walilinganisha ubora wa shahawa za wanaume walioambukizwa na wasioambukizwa...
  8. Patriot

    Corona Ilianzia China, mbona hawapapatikii Chanjo za US na Ulaya? Tujifunze jambo

    Tunajadili kwa jazba na wengine kuchochea na kutaka waletewe chanjo. Hii ni hisia mbaya za kuamini dunia ina matatizo hata kama sisi hali siyo mbaya kiasi hicho. Swali langu kuu ambalo linanipa taabu, ni kwa nini China ambako tunaambiwa ndo chanzo cha Corona hatujaisikia ikikimbilia chanjo kama...
  9. J

    Kama kweli Corona imerudi tutaisikia bungeni kwenye mkusanyiko wa nchi nzima!

    Nakumbuka ile Corona ya awamu ya kwanza ni mbunge Mtulia ndiye aliyetupa uhakika kuwa ipo na tukaambiwa ametoka nayo jimboni kwake Kinondoni. Ukifanya sampling bunge ndio chombo pekee kinachobeba watu kutoka pande zote za nchi hii bara na visiwani. Lakini wabunge ndio watu pekee ambao hukaa...
  10. maganjwa

    Nadhani hatuna shida kubwa kwa kiwango cha kutangazwa kuwa Tanzania ina maambukizi makubwa sana ya corona

    Hoja yangu ni hii kweli corona ipo na Rais amesema na amekiri. Lakini kusema sisi ni nchi hatari si kweli maana hakuna anaweza kuficha vifo vya watu wote, tupo hapa tunatembea na tuna ndugu zetu na marafiki zetu lakini tatizo siyo kubwa kiasi hicho. Pili gonjwa hili ni hatari kweli lakini kwa...
  11. Analogia Malenga

    Tanzania yasema haina mpango kupokea chanjo za Covid19

    Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa haina mpango wa kupokea chanjo ya Covid19 ambayo imekuwa ikiripotiwa kuwepo na kutumika katika mataifa mengine. Hayo yamesemwa leo Jumatatu Februari Mosi, 2021 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima wakati...
  12. YEHODAYA

    Waziri Gwajima afafanua dawa ya asili ya Corona (NIMRCAF), waweza itengeneza mwenyewe nyumbani

    Waziri wa Afya Dk Gwajima azindua dawa ya Asili ya Corona waweza itengeneza mwenyewe nyumbani MCHANGANIKO WA DAWA LISHE NA MITI DAWA KWA AJILI YA TIBA YA KORONA Namna ya kuandaa DAWA LISHE Mahitaji: 1 Tangawizi ya urefu wa kidolegumba chako vipande 5 2 Kitunguu swaumu punje 10 3 Pilipili...
  13. S

    WanaCCM hawamuelewi Rais anasema kwenye maono gani, wao ni kupiga makofi tu

    Ilikuwa mnafanya siri na kuudanganya umma leo Mwenyezi Mungu amewaadhiri vibaya sana sana hamna pa kujificha. Tena si kuudanganya umma wa Watanzania bali kuidanganya dunia nzima. Mnacheza na Mwenyezi Mungu atu dua zetu zimekubaliwa. Mmekwiba kura sawa tumepotezea, lakini kumsingizia Mwenyezi...
  14. Kipenzi Changu

    Tanzania na Corona: Ujumbe wa Masoud Kipanya

  15. Erythrocyte

    Maalim Seif awashukuru watanzania kwa kumuombea, awaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya Corona

  16. Roving Journalist

    Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

    TAARIFA KWA UMMA Maalim Seif Apumzishwa Baada ya Kupata Maambukizi ya Covid 19 Chama cha ACT Wazalendo kinawajuilisha wanachama wake, Wazanzibari, pamoja na umma wa Watanzania, kuwa Mwenyekiti wake wa Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe, Bi Awena, pamoja na Wasaidizi wake kadhaa wa karibu...
  17. J

    KKKT Sinza wachukua tahadhari ya Corona waanza na maji tiririka na social distancing ibadani!

    Ni jambo jema. Kinga ni bora kuliko tiba. Niwapongeze sana Kanisa la KKKT Sinza kwa umakini wenu katika kukabiliana na wimbi jipya la Corona. Nawatakia Dominica yenye baraka.
  18. YEHODAYA

    Corona Tanzania ni vita kati ya Mungu na wasiomwamini kuwa aweza shinda Corona Mungu atashinda hajawahi shindwa

    Corona Tanzania ni vita kati ya Mungu na wasiomwamini kuwa aweza shinda Corona Mungu atashinda hajawahi shindwa Wasiomwamini wanachekelea wakisikia tetesi kuwa kuna Corona wanahoji Mungu kuwa nyie mliojitia kuomba kiko wapi ? Shetani mleta Corona kamshinda Mungu huyo Mungu wenu bure kabisa...
  19. Cannabis

    Waziri Jafo atangaza wiki moja ya "nyungu" season 3

    Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo ametangaza rasmi kuanza kwa kampeni ya nyungu season 3. Amesema hayo akiwa mkoani Tabora katika ziara ya kikazi Rais mkoani humo. Waziri jafo alinkukuliwa akisema “Rais Magufuli juzi ulisema Watanzania tuko salama, angalia Umati huu wote tuko salama, hapa...
  20. Nigrastratatract nerve

    WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

    Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers...
Back
Top Bottom