Jana tarehe 09/01/2021 kulikuwa na vifo zaidi ya elfu tatu vinavyotokana na Corona huko Marekani.
Hii inatia shaka! Inavyoonekana ni Kama akifa mtu mwenye virusi vya Corona wanasema amekufa kwa Corona hata Kama alikuwa anaumwa pia ugonjwa mwingine.
Si kila mtu mwenye virusi vya Corona ni...
Serikali ya Burundi imetangaza kuwa itafunga mipaka yake ya majini na ardhini kuanzia Jumatatu ijayo, ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona ambayo yameonekana kuongezeka wiki hii.
Hatua hii imekua, baada ya wiki hii watu zaidi ya 40 kuambukizwa virusi hivyo ndani ya siku mbili katika...
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amepiga marufuku uingizaji wa chanjo ya Covid-19 kutoka kampuni ya Pfizer ya Marekani na mshirika wake BionTech, sambamba na chanjo ya Uingereza ya Astrazeneca kwa kile alichokitaja kama kukosa imani na mataifa ya Magharibi.
Katika hotuba kupitia...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums
Ndugu zangu watanzania;
Je, ni neno lipi la Kiswahili sanifu huanza kwa consonant "C" na vowel yoyote ile kama "O"? Virusi wale ni sahihi kuwaandika Corona au Korona?
Kwa kawaida ya uandishi wa lugha hii ya Kiingereza maneno...
Serikali msikubali watu waingie Tanzania bila kibali cha kupimwa corona jamaa wawili wamefika wameanza kuumwa corona na wamekuja nayo kutoka US mmoja ni rafiki yangu kasafiri nampigia kaniambia ameanza kuumwa siku mbili baada ya kufika na dalili zote za corona.
Airport wanapima joto lakini...
Vice President-elect Kamala Harris and her husband, Doug Emhoff, received their first doses of Moderna's coronavirus vaccine on Tuesday, with the incoming vice president getting her shot on camera as part of efforts to build public trust in the inoculations.
Harris and Emhoff were administered...
Chanjo dhidi ya Virusi vya Corona iliyotengenezwa na Kampuni ya AstraZeneca kwa kushirikiana na Wanasayansi wa Chuo cha Oxford imeidhinishwa kwa ajili ya matumizi.
Waziri wa Afya, Matt Hancock amesema itaanza kutolewa kwa Umma Januari 04, 2021. Uingereza imeagiza dozi Milioni 100 ambazo...
Mkuu wa shirika la polisi la Ulaya, Catherine De Bolle, amesema visa vya uhalifu wa kuwadhalilisha watoto kingono mitandaoni vinaongezeka kwa kipindi hiki cha vizuizi kutokana na janga la Corona. Akiita hali hiyo kuwa ni ya hatari.
Ripoti iliyochapishwa na shirika la polisi la Ulaya, Europol...
Doctors from different parts of the world are warning of a new infection called ‘Super Gonorrhea’ claiming that it may be a result of Coronavirus pandemic.
This disease is not healthily new, as it is a strain of Sexually Transmitted Infection (STI), but according to Doctors, this infection is...
Hatuna uwezo lakini tufanye kitu hata kidogo kama gesture tu kuwa tupo pamoja
Si ndiyo sisi husema kutoa ni moyo!?
Wenzetu majanga yamekuwa makubwa sana, tusikae tu kama watu useless. Kila siku sisi wa kupewa tu!?.
Tukusanye hata kahawa kidogo, majani ya chai au korosho na kuwapelekea hawa...
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameuagiza Uongozi wa Maabara ya taifa ya Afya ya Jamii kutoa majibu ya sampuli za Ugonjwa wa Covid-19 ndani ya saa 24, badala ya saa 72 kwa hospitali zinazopeleka Sampuli hizo au kwa wananchi wanaojitokeza kupima ugonjwa huo kwa nia ya kutaka kusafiri...
Jana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema pesa za kuishi wanazo.
Na wameona Tanzania ndio mahali salama kwao na familia zao kuliko makwao.
Serikali ijipange...
Wajumbe GT's hamjambo?
Mwenye ufahamu anieleweshe; chanjo ya ugonjwa wa Corona 19 ni lazima au la?
Nimeuliza hivyo kwasababu zifuatazo:-
1. Kila mtu anaongea lakwake watu wanashindana kwa kuwafokea Watanzania.
2. Kama chanjo ipo na ukichanjwa hupati, kwanini waliochanjwa wasifurahie maisha...
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema hii leo kwamba sserikali kuu na zile za majimbo wamekubaliana kuhusu rasimu ya mapendekezo ya kuweka hatua kali za kujaribu kudhibiti wimbi la maambukizi ya virusi vya Corona nchini humo.
Hatua hizo ni pamoja na kufungwa kwa maduka mengi kuanzia siku...
Kampuni ya Google imetoa orodha ya maneno yaliyotafutwa zaidi katika nchi mbalimbali duniani mwaka 2020 ikiwemo Kenya.
Orodha hiyo sio tu imeonesha mwelekeo unaopendelewa zaidi katika miezi 12 iliyopita, bali pia imeweka bayana matukio makubwa zaidi katika habari, siasa, michezo, burudani na...
Wadau, hii habari huenda ikawa sio nzuri kabisaa hasa kwa taifa kama la Kenya, Rwanda ambayo kila kunapokucha wanashindana kuandikisha visa vipya.
Sasa kufuatia kuibuliwa kwa chanjo ya Covid, wataalm wanadai bara la Afrika litakuwa la mwisho kupatiwa chanjo hiyo.
Hapa wazungu wamewa-betray...
Utoaji wa gesi ukaa ulipungua mwaka 2020.
Ripoti mpya iliyotolewa na wanasayansi wa Ulaya imesema utoaji wa gesi ya ukaa kutokana na matumizi ya makaa ya mawe, mafuta ya petroli na gesi asili umepungua kwa asilimia 7 mwaka 2020 ikilinganishwa na mwaka uliopita.
Data zilizokusanywa zinaonesha...
Kumetokea shambulizi la kimtandao ambalo limezilenga data za makampuni yaliovumbua chanjo ya virusi vya corona, Pfizer na BioNtech, likiwa ni sehemu ya uhalifu wa kimtandao ambao unayoyalenga Makampuni ya Dawa ya Ulaya (EMA) huko mjini Amsterdam, Uholanzi.
Taarifa hiyo imetolewa kwa pamoja na...
Priest who volunteered for COVID vaccine – dies suddenly — Pregnant Women Spontaneously Abort Babies; become INFERTILE
HAL TURNER RADIO SHOW
Fr. John Fields, the Communications and Religious Education Director for the Archeparchy of Philadelphia, which is part of the Ukrainian Greek-Catholic...
Waliokuwa marais wa Marekani Barack Obama, George W. Bush na Bill Clinton wamejitolea kupewa chanjo ya ugonjwa wa corona kwa uwazi kabisa.
Watatu hao ambao wawili ni wa chama cha Democrat na mmoja wa Republican wamesema kuwa watapata chanjo hiyo punde tu itakapoidhinishwa na wadhibiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.