corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cannabis

    JamiiForums Tanzania RC Mghwira: Misiba mingi Kilimanjaro inatoka maeneo mengine nchini. Si kweli kuwa watu wanafariki dunia kutokana na Covid 19

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amesema misiba mingi iliyopo mkoani humo inatoka maeneo mengine na si kweli kuwa watu wanafariki dunia kutokana na ugonjwa wa Covid 19 unaosababishwa na virusi vya corona. Amesema Mkoa huo upo salama na kuwataka wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Chanjo yathibitika ni mkombozi

    Mabibi na mabwana kwa mara nyingine imethibitika kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya binadamu kisayansi haijawahi watupa waja wake mola. Israel ni taifa lililoendelea mno katika kila hali ikilinganishwa na nchi nyingi duniani. Hata hivyo duniani ni kutegemeana ambapo wingi na tofauti zetu ndiyo...
  3. mwathadan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania New Multi-Billion Roads Breathing Life into Quiet Kenyan Towns

    Kenya's little-known towns are turning into business hubs with accelerated infrastructure development by the government over the past years. According to the Kenya National Highways Authority (KeNHA), there are 40 ongoing road projects in the country under the agency. All these projects...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kushuka athari za Corona India kwawashangaza Wataalam wa Afya

    Imeelezwa kuwa athari za corona nchini India ikiwemo idadi ya maambukizi na vifo imeshuka kwa kiwango cha juu bila kupatiwa maelezo ya kitaalamu. Awali ugonjwa huu ulipoanza hapo mwaka jana ilikisiwa kuwa taifa hilo la pili kwa idadi ya watu duniani lingeathirika zaidi.Kuna kipindi maambukizi...
  5. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Oman: Asilimia 18% ya wasafiri wanaotokea Tanzania wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona, tunafikiria kusitisha safari za ndege

    Waziri wa Afya wa Oman amethibitisha takwimu za maambukizi ya Corona kwa wasafiri wanaotokea nchini Tanzania kuwa katika kiwango cha juu sana, ambapo asilimia 18 ya wasafiri wamekutwa na maambukizi ya virusi hivyo. Waziri huyo amesema wanafikiria kuzuia safari za ndege kutoka nchi zinazoonyesha...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tahadhari zote dhidi ya Corona tunachukua ila hili la Distancing Serikali itusaidie, hasa kwenye daladala

    Leo jijini Dar es Salaam nimeshuhudia watu wengi wakiwa wamevalia barakoa na maeneo mengi kuna maji tiririka. Hata benki na TRA nimeshuhudia barakoa za kutosha tu kwa watumishi. Kiufupi wananchi wanajitahidi kuchukua tahadhari dhidi ya Corona ila kwenye vyombo vya usafiri ndio wanakofelishwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Wazee na wenye magonjwa mengine tupaze sauti

    Mabibi na mabwana hali inaendelea kuwa si hali. Sisi tulio hatarini sauti zetu lazima zisikike. Kwa mwelekeo uliopo ndiyo tumeshatolewa kafara hivyo. Jana tumemzika kigogo wa BOT (Joachim Sayi Nsunga) RIP, huko Dutwa Bariadi, Simiyu. Huyu bwana alikuwa mhasibu mkuu BOT makao makuu, Dodoma...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda aunga mkono waraka wa KKKT na Kanisa Katoliki kuhusu kujikinga na Corona

    Sheikh Ponda ambaye ni miongoni mwa Masheikh wanaoheshimika sana na Waislam wa Afrika kutokana na kupigania haki za Waislam bila uoga amesema Juhudi za Makanisa kuwaelekeza waumini wao njia bora za kujikinga na Corona haziwahusu waumini hao pekee, bali zinawahusu wananchi wote wa Tanzania...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jumatano ya Majivu: Wakatoliki kupakwa majivu bila kuguswa ili kuepuka Corona

    Huu ndio mwongozo mpya uliotolewa na Papa Francis huko Vatican kwenda kwa Wakatoliki wote duniani, Hatua hii imechukuliwa ili kuepusha maambukizi ya virusi vya Corona , ikumbukwe kwamba Jumatano aijayo 17/2/2021 ndio JUMATANO YA MAJIVU ambao ndio mwanzo wa Kwaresma Taarifa inaonyesha kwamba...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Janga la Corona : CAF yaifuta Mechi ya Namungo huko Angola

    Hii ndio taarifa ya sasa kutoka CAF kutokana na sakata la wachezaji watatu na kiongozi mmoja wa Namungo kukutwa na corona Tusubiri taarifa zaidi kutoka CAF ambalo ndio shirikisho linalosimamia soka barani Africa
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Namungo FC yazuiwa Uwanja wa Ndege Angola

    Namungo FC imezuiliwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Luanda nchini Angola baada ya mamlaka kudai wachezaji watatu na kiongozi mmoja wana virusi vya Corona. Mpaka wakati wa kuandika taarifa hii timu ipo uwanja wa ndege huku utata ukitawala kutokana na mamlaka za nchi hiyo kutaka msafara mzima...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya Corona: Wananchi wanachukua tahadhari

    Mabibi na mabwana hii ni tathmini fupi ya matukio yanayoendelea na ugonjwa huu hapa nchini. Kwa hakika ni wazi kuwa pana tafahadhari nyingi na za msingi sana ambazo sasa hivi wananchi wao kama juhudi binafsi tu, wanazichukua. Ama kweli "Mwenye macho haambiwi tazama." Kama vifaranga wa kuku sasa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa Mchungaji Godwin Chilewa kuhusu COVID-19: Je, tunamficha nani, kwanini na kwa Faida gani?

    Nimeugua Covid 19, nikatibiwa na kupona (Jina la Bwana lihimidiwe). Kuugua kwangu kumenisaidia kujifunza mengi, na kubaini uongo mwingi wanaoambiwa watu wetu ili kuwapooza, badala ya kufanya jitihada ya dhati ya kuwalinda, na kuwaokoa na janga la COVID 19. Ni kwa sababu hii nimeona vema kuandika...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Tanzania haijawahi kusema haijawahi kuwa na Virusi vya Corona, hatujadharau chanjo

    Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili. DKt Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC,Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga. Pia Ameeleza kuwa hakuna ambaye...
  15. Snowden E

    JamiiForums Tanzania Hatudharau chanjo ya corona Tanzania, tunasubiri majaribio zaidi kabla kuitumia

    Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili. Dkt. Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC, Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga.
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ili kujikinga na maambukizi ya Corona nakushauri usivae nguo nyingi

    Vijidudu/virusi vya corona vinaweza kuishi kwa muda kadhaa kwenye nguo, ngozi ya mwili, vitasa vya milango na maeneo kadhaa mbalimbali kama vile simu, samani, viti, mikoba, kalamu, madaftari, nk. Ndio maana tunasema tunawe mikono mara kwa mara na kuepuka kujishikashika usoni, puani na mdomoni...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Jurgen Klopp afiwa na mama yake mzazi chanzo ni corona

    Kocha wa majogoo huko Merseyside .jurgen klopp amefiwa na mama yake mzazi Elizabeth na corona ndo imemuondoa duniani. Mama huyo wa miaka 81 hatoweza kuzikwa na mwanae kwani kumewekwa makatazo baina ya nchi hizo mbili (German na England) kusafiri. Hivyo jk hatoweza mzika mama yake.
  18. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Nchi ambayo haijapata chanjo ya Corona inaweza kutengwa?

    Iko hivi wakuu. Virusi vikipata mazingira mazuri huwa vinabadilika kila leo. Kubadilika huko kunaweza toa kirusi kikali kisichosikia dawa wala chanjo. Hizi chanjo zimetengenezwa kuzuia kirusi kwa namna kiliyopo sasa. Kinaweza kubadilika na kufanya chanjo hiyo isifanye kazi au ikafanya kwa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Corona: Wizara ya Elimu yaukana waraka wa Prof. Elifas Tozo Bisanda Makamu wa Chuo Kikuu Huria (OUT)

    Salaam Wakuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imekana waraka uliotolewa na Prof. Bisanda. Yawataka wanafunzi waendelee kwenda shule. Prof. Bisanda aliwata wanafunzi wanaoingia chuoni, tunasisitiza kuwa wakae majumbani na kusoma kwa mtandao (Online). Hatutaruhusu wanafunzi na wageni...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kinga ya Corona isiyothibitishwa na wataalam hii hapa

    Kulingana na uzoefu tulioupata kutoka mwaka jana hadi Sasa tunaweza kusema dawa ya Corona amabayo haijathibitishwa na wataalam wa afya ila inasaidia ni hii hapa; 1. Corona inatibika kwa kumwamini Mungu. Binadamu siku zote anaogopa mauti kumkuta akiwa hayupo kwenye mahusiano mazuri na Mungu...
Back
Top Bottom