corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    RC Mghwira: Kifo cha Arthur Shoo ni udhihirisho kuwa Corona imerudi hivyo wananchi chukueni tahadhari!

    Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mh Anna Mghwira amesema kifo cha bwana Arthur Shoo aliyekuwa Katibu mkuu wa KKKT dayosisi ya kaskazini ni ushahidi kuwa Corona imerudi tena. RC Mghwira ambaye ameongozana na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa katika ibada ya mazishi ya Shoo amesema kamati yake...
  2. Suley2019

    Video: Daktari Elisha Osati aeleza hali ya Corona nchini. Asisitiza watu kuchukua tahadhari

    Daktari Elisha Osati akiwa kipindi cha Mtazamo cha Clouds Plus ameeleza hali ya Virusi vya Corona ilivyo nchini pamoja na uchukuaji wa tahadhari. Akijibu swali la Mtangazaji wa kipindi hicho lililomtaka kutoa tathmini ya hali ya Corona nchini Daktari Elisha alisema: "Hili swali uliloniuliza...
  3. V

    Kanisa la Baptist IFB: Heko Rais John Magufuli kwa msimamo wako juu ya corona na chanjo zake

    TAMKO LA KANISA KUUNGA MKONO MSIMAMO WA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA SUALA LA UGONJWA WA COVID-19 NA CHANJO ZAKE 1. UTANGULIZI: Tamko hii halina malengo ya kisiasa kwa maana sio jukumu la kanisa kuhubiri siasa (1 Kor. 5:12; 2 Tim. 4:2). Hii ni taarifa fupi ambayo haitaweza kugusia kwa...
  4. J

    Mchungaji Mastai: Kuchukua tahadhari dhidi ya Corona hakuhitaji kusubiri tamko la Rais

    Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT kimara amewataka waumini wake kuchukua tahadhari dhidi ya Corona kwa sababu siyo kila jambo ni lazima Rais atoe kauli. Mchungaji amesema kama unaona kuna tatizo mbele ni lazima uchukue tahadhari kwa sababu akili unazo. Nawatakia Kwaresma yenye baraka...
  5. Sarikiaeli

    Magufuli kama Nebukadneza Mkuu wa Dola ya Babeli

    Mwaka 2015 niliandika habari iliyochapishwa na Gazeti la TAZAMA “Magufuli kama Nebukadneza mkuu wa dola ya Babeli” nairudia tena baada ya kusoma Gazeti la RAIA MWEMA. Mwandishi MWANA KIJIJI ameandika “sababu zilizowafanya mitume 11 wasimfuate Yesu majini” Amemshambulia sana Rais Magufuli. 1...
  6. Abdalah Abdulrahman

    Vita dhidi ya Corona: Rais Magufuli anaanza Marais wengine wanafuata

    Sifa ya kiongozi ni kuweza kufikiri nje ya boxi, kwa maana ya kuwa na IQ kubwa katika kutatua changamoto za kila siku za wale unaowaongoza. Rais wa Tanzania amekua akilionesha hili wazi kupitia mapambano yake na rushwa, wafanyakazi hewa, matumizi mazuri ya pesa za umma, usimamizi mzuri wa...
  7. Fundi Madirisha

    Tusahau janga la Corona tuendelee kujadili kuvunjwa kwa jiji la Dar?

    Kuna wakati mtu unajiuliza sana, hivi sisi watanzania tuna matatizo gani? Yaani kuvunjwa kwa Jiji la Dar es salaam ndiyo story kuliko hili janga ambalo linawamaliza ndugu zetu kila siku? Wewe uliyeko Mbeya unafaidika nini na kuvunjwa kwa jiji la DSM mpaka ukasahau kujadili namna ya...
  8. kavulata

    Miiko ya kuvaa barakoa

    Miili yetu inafanana na magari yanayotumia mafuta ya petrol na diseli kutembea pole pole na kutembea haraka. Ili gari litembee lazima itafutwe namna mafuta na hewa ya oxygen vitakutana na cheche ya moto ili vilipuke na kutoa nishati itakayolitembeza gari. Hivyo ni lazima uwe na tank lenye...
  9. Nyankurungu2020

    Tulia Ackson: Nilishaumwa CORONA Mara mbili, watu wasidhani Mimi siijui

    Nimepigwa na butwaa baada ya kuona clip ikisambaa kwenye mitandao ikimuonesha Naibu Spika Tulia Ackson akidai kuwa alishawahi kuugua Covid 19 mara mbili. Clip hii inamuonesha mwanamama huyu akitoa salamu za rambirambi kwenye msiba wa aliyekuwa Katibu Mkuu Hazina Dkt. Likwelile. Mbali ya kudai...
  10. Fantastic Beast

    Machozi ya Dkt. Mpango yasiende bure

    Kwanza naomba nianze kwa kumpa pole Dkt. Philip Mpango kwa kupambania afya yake kwa hizo wiki 2. Mungu amjalie apone kabisa mapema ili aweze kujumuika na familia yake. Tukirudi kwenye mada, kwanza kama hujaitazama ile interview nenda youtube ukaitazame ndipo urudi hapa kuendelea kusoma. Kama...
  11. K

    Vijana ndiyo wanasambaza Covid-19

    Vijana ndiyo wanaeneza corona na wazee wenye damu group A, wenye pumu, wenye magojwa ya kisukari ndiyo wengi wanakufa. Sasa sijui uzalendo ni upi kama sio kulinda wenzetu.
  12. J

    Lushoto wapata dawa ya kinga ya Corona, mganga wa tiba mbadala ndugu Shaban ameseme wabunge wengi wameshakunywa!

    Mganga wa tiba mbadala ndugu Shabani wa Lushoto mkoani Tanga amesema amegundua dawa ya kinga ya Corona ambayo imewasaidia watu wengi mkoani Tanga. Shabani amesema dawa hiyo ni kinga kwa magonjwa yote ya mfumo wa kupumua na kwamba hadi sasa wabunge wengi wameshakwenda hapo Lushoto kunywa kikombe...
  13. Analogia Malenga

    Wizara ya afya imetoa muongozo kwa watumiaji wa magari ya Mwendokasi

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa muongozo kwa watumiaji wa Magari ya mwendokasi ili kujikinga na maambukizi ya #CoronaVirus. Wasafiri wanaotumia magari ya mwendokasi wanatakiwa kuvaa barakoa hususani asubuhi na jioni, kukaa umbali wa mita moja kati ya mtu na...
  14. Sam Gidori

    Utafiti Uingereza: Chanjo inasaidia kupunguza kuenea kwa virusi vya corona kwa asilimia 85

    Takwimu kutoka nchini Uingereza zinaonesha kuwa chanjo dhidi ya virusi vya corona inasaidia kupunguza uwezekano wa kuenea kwa maambukizi kwa hadi asilimia 85. Utafiti uliochapishwa na taasisi ya Public Health England (PHE) unaonesha kuwa chanjo ya Pfizer-BioNTech inapunguza uwezekano wa kupata...
  15. J

    Dkt. Mwigulu: Chanjo za Corona zimefanyiwa utafiti nchi za baridi zitawafaaje watu wa Dar es Salaam?

    Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto. Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea...
  16. M

    Wanasiasa kaeni pembeni katika suala la Corona

    Kama nchi tunaendelea kulumbana kuhusu Covid-19. Hatujapata muafaka bado na tuna makundi mawili makubwa. Kuna mambo ambayo yanaendelea lakini ni kwa kipindi kifupi na kwa gharama kubwa ya maumivu na mateso kwa watu. Hakuna kiongozi mkuu ambaye amesimama na kukiri ya kuwa Corona ipo. Wote...
  17. B

    Corona: Vita ya kiuchumi Tanzania dhidi ya nani?

    Mabibi na mabwana, kumekuwa na habari hii kuwa ugonjwa huu ni vita vya kiuchumi. Tena mlengwa ni Tanzania. Habari hizi zimeendelea kuwapo ikisisitizwa kuwa vita vya uchumi ni ngumu zaidi kuliko vita nyingine zikiwamo tuli zowahi kupigana. Yaani vikiwamo tulivyowahi kushinda kama vya nduli...
  18. J

    Prof. Nyagori: Rais Magufuli yuko sahihi kulinda raia wake, barakoa zinaweza kutumiwa na magaidi kusambaza virusi vya corona

    Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona. Akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC Prof Nyagori amesema kiongozi yoyote duniani mwenye nia ya dhati ya...
  19. J

    Balozi Simbachawene: Watanzania mnaokuja Kenya hakikisheni mmepima Corona ndani ya saa 72 na mna vyeti

    Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dr. John Simbachawene amewataka Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo kuhakikisha wanafuata masharti ya nchi hiyo kwa wageni. Masharti hayo ni pamoja na kupima Corona katika muda usiozidi saa 72 na kuwa na vyeti vya uthibitisho. Chanzo: ITV habari Maendeleo...
  20. B

    Corona: Kwa mazingira ya sasa, "Waliokufa au kuugua hawakupenda, hawakuchagua wala si makosa yao"

    Mabibi na mabwana kama ilivyo katika somo hapo juu, huo ndiyo ulio ukweli mchungu. Kwamba tupo hapa leo, kimungu mungu tu. Kweri? No! It shouldn't be! Anasema Prof. Bisanda, heshima kwake: "Watanzania wengi wanadhani ugonjwa huu utawapata wengine, wasitambue kuwa hata pale wanapopata...
Back
Top Bottom