Corona: Chanjo yathibitika ni mkombozi

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,857
35,868
Mabibi na mabwana kwa mara nyingine imethibitika kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya binadamu kisayansi haijawahi watupa waja wake mola.

Israel ni taifa lililoendelea mno katika kila hali ikilinganishwa na nchi nyingi duniani. Hata hivyo duniani ni kutegemeana ambapo wingi na tofauti zetu ndiyo salama yetu.

Israel si mtengenezaji wa chanjo hii. Anaitumia na wanathibitisha kuwa i thabiti na iko 94% effective.

Vifo na maambukizi yamepungua mno.

Ni kwa vitendo kuwa katika ulimwengu uliostaarabika, jitihada za kuhami maisha ya watu ni kipaumbele.

Ajabu ni kuwa habari kama hii ni mwiba mchungu kwa wale wengine kutwa kucha kutuchulia misiba.

Ama kwa hakika maneno matupu hayavunji mfupa!

---
More data from Israel's vaccination programme is suggesting the Pfizer jab prevents 94% of symptomatic infections.

This indicates the vaccine is performing just as well in a larger population as it did in the clinical trials.

It is proving highly effective at preventing illness and severe disease among all age groups, according to public health doctor Prof Hagai Levine.

"High vaccination coverage of the most susceptible groups" was key, he said.

Israel's largest health fund Clalit looked at positive tests in 600,000 vaccinated people and the same number of unvaccinated people, matched by age and health status.

It found 94% fewer infections among the vaccinated group.

This was based on test results in people's medical records, usually taken if they had symptoms or were a close contact of someone who had tested positive.

And the vaccine prevented almost all cases of serious illness.

This pattern was the same in all age groups - including the over-70s, who may have been under-represented in clinical trials.
The data has not yet been formally published.

But it "sends a message to other countries such as the UK" about the usefulness of the vaccine, said Prof Levine, and the need to get "very high" coverage of the groups most likely to become very ill from the virus.

He said he could not put a number on what proportion of the population would need to be immunised before restrictions could ease.
"We still don't know what the impact is on transmission," he said.

But we can say that, at least, "the vaccine is useful for personal protection", he added.

Prof Eran Segal, who is analysing data for the Israeli Ministry of Health, suggested Israel had to vaccinate 80% of its over-60s before learning of its effect on Covid-19 cases.

Israel is the first country in the world to see the impact of its vaccination programme, but it took significant population coverage and several weeks to reach this milestone.

Greater falls were seen in the over-60s who were vaccinated first and in cities that vaccinated their populations earlier - patterns not seen in earlier lockdowns. This provides strong evidence it was the vaccine, and not just the lockdown, driving down cases.

But Prof Segal warned falls had happened more slowly than expected, possibly because of the effect of the UK variant, which has become the dominant strain in Israel.

And he cautioned that, even with the "very rapid pace" of Israel's vaccination programme, there were still tens of thousands of people who were unprotected and could become severely ill if infected.

"We still have to exit our lockdown very cautiously," he said, or risk large numbers of people being hospitalised.

Israel has been experiencing a significant wave of infection and remains under strict measures - but with everyone over the age of 16 now entitled to get vaccine, the hope is at least the education system could be reopened too.

Israel has only just also started to transfer some doses to Palestinians in the West Bank and Gaza, so that vaccinations can begin for front-line health workers.

Meanwhile it has given the full two doses to a quarter of its resident population.

 
Sisi hatuna corona tuna ugonjwa wa nimonia kali na changamoto ya upumuaji hatuwezi kutumia chanjo hiyo na tuna dawa za NIMR na mkaratusi watu wajifukize(Mungu tusaidie Tanzania yetu imefikia huku).
 
Sisi hatuna corona tuna ugonjwa wa nimonia kali na changamoto ya upumuaji hatuwezi kutumia chanjo hiyo na tuna dawa za NIMR na mkaratusi watu wajifukize(Mungu tusaidie Tz yetu imefikia huku)
Ni jambo la kujiuliza sana. Kwa maslahi gani mtu kuumia kwamba chanjo zinafanya kazi?

Hii si sawa na manyani kushangilia miti porini inaungua?

Tuliowakabidhi jukumu la kuhami afya zetu hawapaswi kuwa wangali maofisini wakipokea mishahara na hata marupurupu.

Waliyokwisha fanya hadi sasa ni usaliti wa hali ya juu sana.
 
Mitano tena
Mitano tena ya kuchanganyikiwa:

1. Hatuna takwimu za wagonjwa wala vifo.
2. Hatuna takwimu za mafanikio au mapungufu ya nyungu, mikaratusi, maombi, dawa au mbinu yoyote tunayodai kuwahami nayo watu. Yaani tupo tupo tu.
3. Hakuna namba yoyote kwenye lolote. Kwani wazimu ni nini basi?

Tangu lini namba zikadanganya? Numbers don't lie!

Kwa hakika mitano zaidi ya kuchanganyikiwa kweri kweri!
 
Linapotokea janga hasa la ugonjwa kama huu unao ambukiza kwa njia ya hewa,ni muda wa mataifa kushirikiana na kutafuta ufumbuzina wa tatizo na sio muda wakutupiana lawama,kama watu kulaumiana huu ugonjwa umeanzaje? umetoka wapi? hizi lawama zisubiri kwanza tutafute solution ya hili janga.

Nobody is safe until everyone is safe.
 
Chanjo ya Pfizer ni ya ushirikiano ya kampuni ya biontech ya ujerumani na pfizer ya usa.

Israel ni mtumiaji wa hii chanjo na sio mzalishaji kama unavyodai.
Nani kasema Israel ni mzalishaji wa hii chanjo jombi?

Mbona hilo liko wazi mno kwenye mada mkuu?

IMG_20210217_094641_159.jpg


Au ulikuwa uko kwenye kukazia?
 
Bongo tusipofikia hatua ya kuamua kutenganisha siasa na sayansi kamwe hatutaendelea badala yake tutaishia kuamini katika kujifukiza kuwa ndiyo tiba ya Korona huku tunakufa kimyakimya kama kuku wa kideri
Na huu ni udhaifu uliopo sasa mpaka sanaa ya utabibu, imeingiliwa na siasa.
 
Kuna mapandikizi miongon mwetu mkuu, wanaoumia kuhusu chanjo, wanaofurahia watu kufa, ambao wanalilia lockdown, ila tutaishinda hii VITA
Kwanini nichukie watu kufa ikiwa kifo ni mpango wa Mungu?

Mungu anatuletea wepesi wa KUFA binadamu tunaukataa sijui hata tupoje,.
 
Kuna mapandikizi miongon mwetu mkuu, wanaoumia kuhusu chanjo, wanaofurahia watu kufa, ambao wanalilia lockdown, ila tutaishinda hii VITA

Wakisikia mafanikio ya chanjo huwaoni humu. Acha wasikie tatizo na chanjo hata la uongo au la kubumba meno nje hadi magego.

Hii mijamaa ya Lumumba, mna maslahi gani haswa kwenye vifo vya watu?
 
Wakisikia mafanikio ya chanjo huwaoni humu. Acha wasikie tatizo na chanjo hata la uongo au la kubumba meno nje hadi magego.

Hii mijamaa ya Lumumba, mna maslahi gani haswa kwenye vifo vya watu?
Hakuna aliyekuzuia wee ukitaka nenda kapate chanjo,.
 
Kwanini nichukie watu kufa ikiwa kifo ni mpango wa Mungu?

Mungu anatuletea wepesi wa KUFA binadamu tunaukataa sijui hata tupoje,.

Si mfunge hospitali zote kabisa ili mpate furaha zaidi kwa vifo vya magonjwa yote?

Wachawi na mumiani huwa hawachukii kabisa watu kufa kwa sababu kama hizo hizo. Kwa hakika ulichomaliza kusema mkuu ni kuwa, wewe ni mmoja wa hao.

Asante kwa utambulisho wako. Wengine wenye utambulisho kama huo wako pale Lumumba. Wewe nao lenu moja.

Mchukie vipi wakati kila kifo nyama zaidi mezani na kodi zaidi hazina kwa kusafirisha?

Hii ya Mungu ndani ya habari ni longo longo zenu za kawaida za chui na ngozi ya kondoo. Hizo tunazijua pia.
 
Back
Top Bottom