Dunia ikiwa katika kizungumkuzi cha kupambana na janga/mlipuko wa gonjwa la corona, maafisa 27 wa Ikulu ya Sudan Kusini wamethibitihswa kuwa wameambukizwa virusi vya corona.
Kufuatia hali hiyo mpaka sasa wamewekwa karantini, Ateny Wek Ateny, ambaye ni msemaji wa Rais Salva Kiir, ameliambia...
Mabibi na mabwana hapa pana waraka toka kwa wenye udau katika dhamana ya ulinzi wa afya za watu duniani tunamojumuika sisi kama taifa.
Wadau hawa wamekuwa na malalamiko na hata maonyo kufuatana na jinsi tunavyopambana na ugonjwa huu.
Wamekuwa wakiulizia mbinu zetu za mapambano:
Kwa vile...
Imani inaweza kutoa matokeo chanya lakini papo hapo imani inaweza kuvunja matokeo uliyoyapata.
Jana waislamu leo wasabato na baadaye ni mchanganyiko wa makanisa kuiombea nchi dhidi ya janga la corona, unadhani Mungu anaweza kuponya taifa ingali lipo wazi?
Hapa tunacheza na imani, imani...
Wababe wa Vita barani. Wamejipa lockdown kiaina kusikilizia Kirusi Cha Korona. Hakuna Cha Somalia, Congo wala Central African Republic.
**Hakuna mbabe kwenye kubanwa mbavu.
Corona inaambukizwa kwa kishaka au kushika sehemu yenye virus na kuweka mkono wenye virus machoni au mdomoni.
Zinaa au tendo la ndoa haliwezi kufanyika bila kugusana na viungo vinavyoweza kutumika kwenye mchakato wa tendo ni mdomo.
Tishio la corona limewaweka watu mbali, limewafanya baadhi ya...
''Wiki hii kampuni yetu imewasilisha barua ya nyongeza kwa malalamiko yetu mbele ya jumuia ya madola. Kukataa kwa uzembe kwa Magufuli juu ya janga la COVID-19 inawakilisha ukiukaji wa haki za binadamu chini ya Azimio la Harare. ''
Mseven adressing the nation
======
Rais Yoweri Museveni amewaonya wananchi wanaoenda kinyume na taratibu wakati huu wa vita dhidi ya #CoronaVirus akisema, Mungu ana kazi nyingi na hawezi kuwa Uganda tu akiwaangalia wajinga
Ameongeza kuwa Mungu amewalinda na hakuna kifo...
Askofu JUDE THADEUS: Asante mlovaa barakoa/nawalaum msiyo Vaa/Hali n Tete. Ameyasema katika mazishi na kaongea mengi sijui kama hii Serikali hii itamuachaa
Pitia video
Britannica
Watu tumekaa kumlaumu Rais wetu eti hajasema kuwa Corona ipo. Huu ni ujinga uliyopitiliza kwa kweli.Matendo Huwa yanasema kuliko maneno.
Mfano, Mzuri ni huu: Waziri Jafo alipotangaza Siku saba za kujifukiza, nyie watanzania wa kushikiliwa akili mlifikiri tafsiri yake nini? Ok tuache hili...
Ni kweli kuwa Zanzibar ni Tanzania lakini kuna utofauti kidogo kama ifuatavyo:
1. Zanzibar ni ndogo
2. Zanzibar ina watu wachache sana kuliko Bara, yaani ratio ya 1:50, yaani kila watanzania 50 mtu 1 ni Mzanzibar, hivyo kama akifa mzanzibar mmoja ni sawa na kufa watanganyika 50.
3. Zanzibar...
Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) lilitangaza kuwa kumekuwa na upunguaji wa kesi za maambukizi ya corona (Covid-19) kwa asilimia 17 katika wiki iliyopita ndani ya maeneo 6 tofauti kote ulimwenguni.
Kulingana na takwimu zilizochapishwa na WHO, idadi ya kesi za maambukizi imekuwa ikipungua kwa...
Mjadala wa chanjo ya Corona una msimamo wa nchi na msimamo wa mtu binafsi.
Nchi haifi lakini mtu mmoja mmoja anakufa aidha kwa mapenzi ya Mwenyenzi MUngu au kwa kutotimia maarifa aliyopewa na Mwenyenzi MUngu.
Kama chanjo hiyo inaonekana inafanya kazi na watu wanaamini inafanya kazi haiwekani...
Wizara ya mambo ya kiislamu nchini Saudi Arabia,leo imeifunga misikiti mitano kwa muda kutoka mikoa mitatu tofauti baada ya kesi saba za virusi vya Corona kupatikana katika baadhi ya waumini, idadi ambayo inafikisha jumla ya misikiti iliyofungwa ndani ya siku 11 kufikia 92 ambapo 79...
Watanzania wenzangu, nawasalimu katika jina lipitalo majina yote Jina la Yesu.
Chini ya rais wetu Magufuli tuliianza Vita dhidi ya Corona vizuri Sana kwa kumtanguliza Mungu. Tulielekezwa kutubu na kuomba rehema za Mungu ili aliponye Taifa letu dhidi ya janga la corona. Tuliomba kwa kufunga siku...
Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la manunuzi ya vitamini C ili kukabiliana na janga la Corona. Nimesoma hapa tafiti kuhusu hili ila haziko wazi sana. Wanasema vitamin C imeonekana kuwa inapunguza muda ambao mtu anaumwa na muda ambao anakaa kwenye mashine ya kupumulia.
Pia huko nyuma ilionekana...
Mwaka 1978/79 Mwl Nyerere katika uongozi wake aliamua kuingiza nchi vitani kupambana na nduli Idd Amin Dada wa Uganda, ilikua vita ngumu sana, na ilikua ni lazima kumpiga idiamin Ili tanzania iwe salama. Wapo waliomlaumu kwa uamuzi wake wa kwenda vitani, na wapo waliompongeza na kumuunga mkono...
Rais Magufuli ametangaza kwa masikitiko kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John William Kijazi ambaye amefariki leo Februari 17 saa tatu usiku, Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma akipatiwa matibabu.
Balozi John Kijazi enzi za uhai wake
WASIFU WA BALOZI JOHN KIJAZI > Wasifu wa Katibu...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amesema misiba mingi iliyopo mkoani humo inatoka maeneo mengine na si kweli kuwa watu wanafariki dunia kutokana na ugonjwa wa Covid 19 unaosababishwa na virusi vya corona.
Amesema Mkoa huo upo salama na kuwataka wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.