corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Ni aibu kwa vyuo vikuu hapa nchini kushindwa kugundua chanjo ya Corona na sasa vinashindana kutoa tahadhari

    Kazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu: Kuelimisha/kifundisha (teaching) Kuandika vitabu (publication) Kufanya tafiti (Research). Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji...
  2. B

    Njombe nako kama Dar kunaeleweka

    Mabibi na mabwana ilikuwa Dar sasa wanawake na wanaume wa huko Njombe nao wameona isiwe taabu: Kwa mabarakoa hayo bila shaka hizo siyo jitihada ya kujikinga dhidi ya TB mikutanoni. Pana watu kwenye mamlaka ambao kwa hakika wasipo angalia watambue kuwa si muda mrefu umebakia watapwelewa...
  3. Elius W Ndabila

    Msimamo wa Rais Dkt Magufuli dhidi ya ugonjwa wa Corona ndio ulikuwa mpango wa Mungu kwa Afrika

    MSIMAMO WA RAIS DKT MAGUFULI DHIDI YA UGONJWA WA CORONA NDIO ULIKUWA MPANGO WA MUNGU KWA AFRIKA. Na Elius Ndabila 0768239284 Leo nitazungumza mambo makubwa ambayo yatapambwa na ushahidi wa kiimani. Hivyo kwa wasomaji wangu ili uweze kunielewa juu ya makala hii utahitaji utulivu mkubwa wa...
  4. Determinantor

    Tutashinda Corona kwa Maombi? Hatua za kufuata...

    Modes naomba miufute huu uzi wala kuunganisha kama itawapendeza Imani zetu zinamtaja MUNGU kama wa pekee, asiyebadilika wala kufafanishwa. Mungu alivyotuumba alitupa utashi ambao ndio kitu pengine cha kipekee kinachotutofautisha na wanyama na viumbe wengine. Ukisoma Biblia Takatifu, 2 Wafalme...
  5. J

    Mchungaji Kimaro: Afrika itakuwa ya kwanza kupona Corona itafuatiwa na Asia na wa mwisho watakuwa Israel (Wazungu)

    Mchungaji wa KKKT Kijitonyama Dr Kimaro amesema kwa mujibu wa maandiko ya Biblia Mungu alishaitangazia uponyaji wa kwanza Afrika yanapotokea maradhi ya kiulimwengu kama Corona. Hivyo kwa mujibu wa Biblia Afrika itapona ya kwanza, itafuatiwa na Asia na mwisho watakuwa Israel kwa maana ya wazungu...
  6. B

    Corona: Afrika CDC yaipa onyo Serikali ya Tanzania

    Mabibi na mabwana, hatimaye tuko hapa sasa: Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuhusu namna inavyoshughulika na corona. Kwa mujibu wa matangazo ya DW mchana huu, Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuwa kwa namna hii na hili la kutotoa takwimu za ugonjwa huu, Tanzania inaliweka bara...
  7. comte

    Janga la kirusi cha Corona na ugonjwa wa COVID-19: Dunia sasa yaanza kutuelewa na kutumulika namna Tanzania tunavyokabiliana nayo chini ya JPM

    Even as the world struggles to grapple with the brutal third wave of the COVID-19 pandemic, a small but vocal group of skeptics insists that sinister forces are exaggerating the effects of the virus, control measures like lockdowns are unnecessary, and newly developed vaccines are unsafe. These...
  8. Webabu

    Hoja za Tanzania na Burundi kuhusu Corona ni za kuigwa

    Kwa upande wa Tanzania raisi wa nchi hiyo Makufuli alipokuwa akizindua shamba la miti kwao Chato alisema tuendelee kuchukua tahadhari ya ugonjwa lakini hakuna haja ya kujawa na hofu na kwamba watu wajifukize na hata akataja dawa zilizothibitishwa na mkemia mkuu kuua virusi na bakteria...
  9. comte

    Kwa wanaoamini kila kifo ni kwa sababu ya CORONA msikikilizeni Baba Askofu Kasala

    “Walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakayokula matunda ya mti huo utakufa hakika.” (Mwa.2:17). Shetani alidai “Hakika hamtakufa.” (Mwa. 3:4). Lakini baada ya kutokutii, Adamu na Hawa waligundua kuwa mshahara wa dhambi kwa uhalisi ni “mauti” (Rum.6:23)...
  10. R

    Sababu 5 kwanini Afrika haina vifo vingi vya Corona kama ilivyo US, Ulaya na Asia

    By Anne Soy BBC Senior Africa correspondent Nadhani sababu namba tatu na Nne zimetusaidia zaidi: Kun literature ya kutosha kuhusu hizo point mbili na siyo sala za Mungu na kujifukiza So what are some of the reasons for Africa's relatively low death rate Coronavirus in Africa: Five reasons why...
  11. E

    Hoja ya Corona Wabunge wetu mjitambue nyinyi ni wawakilishi wa Wananchi na sio wataalamu

    Nimesikiliza baadhi ya michango ya wabunge wetu juu ya Corona nikabaki na maswali mengi najiuliza hawa wanaongea bungeni kama watu gani? Anasimama mbunge bungeni anachangia mjadala kwa kuelezea Corona ni nini? Inasambaa vipi? na kibaya zaidi anahitimisha kwa kutoa wito kwa wananchi ni kitu gani...
  12. B

    Corona: Hongereni UDSM mmefanya lilo bora

    Mabibi na mabwana kwa hakika hekima ni uhuru. Bila ya kupepesa macho, inataarifiwa kuwa pale UDSM wamechukua hatua hii ya msingi sana: Japo pale #5 mwishoni mwishoni pana ka ukakasi, ni hatua kama hizi tunazoihitaji pia serikali kuzichukua. Hasa hasa kudhibiti mikusanyiko ya watu na kuwahami...
  13. B

    Corona: Tunavyongopeana kwenye hili la tiba na chanjo

    Mabibi na mabwana kumekuwa na habari nyingi kuhusiana na tiba na au chanjo za ugonjwa huu. Kujiridhisha nimelazimika kujivinjari kiselule selule pale katika shule ya tiba, Muhimbili. Yafuatayo ni niliyokusanya na kwa kweri tunaongopeana sana: 1. Antigen - hiki ni kitu kigeni katika mwili...
  14. B

    Dawa za Corona: Bupeji na Covido za Magufuli zinapatikana wapi?

    Mabibi na mabwana kwa mujibu wa Rais wetu mpendwa Dr. Magufuli dawa za Corona hazipo huko nje tu. Amenukuliwa Dr. Magufuli akisema, "Tanzania ina dawa nyingi za kutibu Corona." Ameendelea zaidi kwa kusema, "katika dawa hizo tuna Covido na Bupeji ambazo zina uwezo wa kutibu Corona kwa kiwango...
  15. D

    Najiuliza ni lini magonjwa mengine yaliacha kuua? Mbona kila kifo sasa ni Corona?

    Najua tumepoteza wandugu wetu kadhaa kutokana na ugonjwa huu wa COVID-19. Mungu awarehemu marehemu na atupe faraja wafiwa. Lakini najiuliza kwanini kila kifo kinachotokea sasa kinahusishwa na Coronavirus, hasahasa kikitokea kwa watu mashuhuri. Naamini watu wengi mashuhuri waliokufa kabla ya...
  16. K

    Corona: Utamaduni wa kupenda kubishana bila sababu umetufikisha hapa

    Tuna kundi kubwa sana kwenye jamii yetu ya watu kupenda kubishana bila kuwa na data zozote wala ushahidi. Kubishana ni hobby ya watu wengi hivyo tusishangae wakati mwingine hata kwa viongozi kuna mabishano ambayo hayana msingi. Kuhusu Corona tunaweza kubishana kwamba kufunga biashara hatuwezi...
  17. B

    Corona: Tujitathmini tunavyouchukulia huu ugonjwa

    Mabibi na mabwana heshima kwenu. Siku baada siku tumekuwa watu wa kupokea taarifa za tanzia za watu wazito wazito. Jana huyu, yule nk na leo hivyo hivyo. Si kuwa wale kina wenzangu na miye hawamo kwenye hiki kitim timi. Ama kwa hakika hao ndiyo wanaokufa kwa wingi zaidi kuliko hata hao vigogo...
  18. Analogia Malenga

    Tanzania na Burundi haziko miongoni mwa nchi zitakazopewa chanjo ya corona

    Shirika la afya duniani WHO limetangaza mpango wa muda kuhusu jinsi nchi zitakavyopewa chanjo za corona mwaka huu, huku Tanzania na Burundi zikiwa hazimo. WHO linasema kuwa chanjo hizo ambazo ni dozi milioni 336 za AstraZeneca/Oxford na Pfizer-BioNTech, zitatolewa kwa muhula wa kwanza na wa...
  19. YEHODAYA

    Swali kwa Tundu Lissu: Kama Corona ipo Tanzania, kwanini toka alipoingia Tanzania na kipindi chote cha kampeni miezi mitatu hakuvaa Barakoa?

    Tundu Lissu amekuwa akidai kuwa Corona Tanzania ipo akiwa Ubelgiji ukimbizini. Akiwa Tanzania hakusema toka siku ya kwanza alipotua tu uwanja wa ndege alivua barakoa na hakuivaa tena kipindi chote cha miezi mitatu aliyokaa Tanzania akifanya kampeni akizungukwa na umati wa watu wasiovaa barakoa...
  20. B

    Corona: Dar es Salaam Wananchi wafanya kweli. Hongereni sana

    Mabibi na Mabwana hapa ni Dar katika mapambano dhidi ya Corona. Kwa hakika hawa wameonyesha njia kwani hizi ni jitihada binafsi baada ya kutambua ugonjwa huu upo na biashara ni asubuhi. Kama vifaranga vya kuku vile kwa hakika hawa wana chakura kivyao kivyao: Wa mikoa mingine zingatieni...
Back
Top Bottom