Nyerere alipigana Vita vya Kagera, Magufuli anapigana Vita ya Corona. Tumuombee

Jan 22, 2014
29
56
Mwaka 1978/79 Mwl Nyerere katika uongozi wake aliamua kuingiza nchi vitani kupambana na nduli Idd Amin Dada wa Uganda, ilikua vita ngumu sana, na ilikua ni lazima kumpiga idiamin Ili tanzania iwe salama. Wapo waliomlaumu kwa uamuzi wake wa kwenda vitani, na wapo waliompongeza na kumuunga mkono. Kubwa ilikua ni umuhimu wa vita ile ndani na nje ya Tanzania.

Madhara ya vita ile yalikua ni makubwa na hayaelezeki lakini ilikua ni kheri kuvipiga vita kuliko kukaa na kusubiri kudhihakiwa na idiamini na kuendelea kuua watu wetu maeneo ya kagera.

Vita ni vita huo ndio msemo uliozoeleka kwa ndugu zangu wakurya. Nyakati hizi magufuri anavipiga vita, vita ngumu ya nyakati hizi, vita inayopiganwa na dunia nzima, vita ambayo bado mshindi anaendelea kuwa corona na mshindwa akiendelea kupoteza wapiganaji mahiri wa upande wake. Mheshimiwa anavipiga vita katika mstari wa mbele kabisa pamoja na mataifa tajiri ilimwenguni, hakika historia Inawaandika viongozi wote wa nyakati hizi maana kipimo cha uongozi wao.

Historia itawaandika kwa uwezo wao wa kufanya maamuzi katika hali ngumu. Bila kujari uamuzi waufanyao ni mzuri au mbaya.

Magufuli ataandikwa kama kiongozi shupavu na imara aliyekataa kuburuzwa na sera za kimataifa juu ya ugonjwa wa corona, kwanza kuukataa ugonjwa, kuvikataa vipimo vyao na sasa anazikataa chanjo zao.

Uamuzi wowote uliofanywa si kwa nia mbaya kwa jamii, ila ni katika kutapatapa kuwaokoa na kuwanusuru watu wake.

Vita ni vigumu ila ushindi ni lazima, tuendelee kumuombea kiongozi huyu maana najaribu kuvuta picha kwasasa anajisikiaje, anahuzuni kiasi gani na anamawazo kiasi gani. Japo si mkubari magufuri kwa baadhi ya maswala ila sichoki kumuombea katika wakati huu mgumu.

Chief kamchicha
 
Historia itawaandika kwa uwezo wao wa kufanya maamuzi katika Hali ngumu, Bila kujari uamuzi waufanyao ni mzuri au mbaya. Magufuri ataandikwa kama kiongozi shupavu na imara aliyekataa kuburuzwa na sera za kimataifa juu ya ugonjwa wa corona, kwanza kuukataa ugonjwa, kuvikataa vipimo vyao na Sasa anazikataa chanjo zao
Wewe Unahisi ni sahihi mkuu?
 
Vita inapiganwa kwa; kwanza kujua tatizo, na kulikubali na kuona ulazima wa kulikabili. Huyo ndio Nyerere!
Vita ukijidanganya kuwa hata huoni tatizo, kukubali ukweli wa tatizo lililopo, hiyo vita ni hewa! Hakuna kinachofanyika kwa sasa, usijidanganye!
 
Idd Amin alikua kuelewa sana alipigwa akaondoka.
Huyu Corona mbishi kweli anapigwa anarudisha majeshi
 
Mwaka 1978/79 Mwl Nyerere katika uongozi wake aliamua kuingiza nchi vitani kupambana na nduli Idd Amin Dada wa Uganda, ilikua vita ngumu sana, na ilikua ni lazima kumpiga idiamin Ili tanzania iwe salama. Wapo waliomlaumu kwa uamuzi wake wa kwenda vitani, na wapo waliompongeza na kumuunga mkono. Kubwa ilikua ni umuhimu wa vita ile ndani na nje ya Tanzania.

Madhara ya vita ile yalikua ni makubwa na hayaelezeki lakini ilikua ni kheri kuvipiga vita kuliko kukaa na kusubiri kudhihakiwa na idiamini na kuendelea kuua watu wetu maeneo ya kagera.

Vita ni vita huo ndio msemo uliozoeleka kwa ndugu zangu wakurya. Nyakati hizi magufuri anavipiga vita, vita ngumu ya nyakati hizi, vita inayopiganwa na dunia nzima, vita ambayo bado mshindi anaendelea kuwa corona na mshindwa akiendelea kupoteza wapiganaji mahiri wa upande wake. Mheshimiwa anavipiga vita katika mstari wa mbele kabisa pamoja na mataifa tajiri ilimwenguni, hakika historia Inawaandika viongozi wote wa nyakati hizi maana kipimo cha uongozi wao.

Historia itawaandika kwa uwezo wao wa kufanya maamuzi katika hali ngumu. Bila kujari uamuzi waufanyao ni mzuri au mbaya.

Magufuli ataandikwa kama kiongozi shupavu na imara aliyekataa kuburuzwa na sera za kimataifa juu ya ugonjwa wa corona, kwanza kuukataa ugonjwa, kuvikataa vipimo vyao na sasa anazikataa chanjo zao.

Uamuzi wowote uliofanywa si kwa nia mbaya kwa jamii, ila ni katika kutapatapa kuwaokoa na kuwanusuru watu wake.

Vita ni vigumu ila ushindi ni lazima, tuendelee kumuombea kiongozi huyu maana najaribu kuvuta picha kwasasa anajisikiaje, anahuzuni kiasi gani na anamawazo kiasi gani. Japo si mkubari magufuri kwa baadhi ya maswala ila sichoki kumuombea katika wakati huu mgumu.

Chief kamchicha
Hiyo vita ya Corona anapigana wapi wakati Tanzania Corona hakuna. Iliondolewa kwa maombi ya siku 3.
 
Magufuli mwenyewe alisha declare ushindi dhidi ya covid na Kanisa la TAG lilimpa tuzo ya ushindi.
Pia alishasema wazi kuwa hakuna covid nchini. Acheni kumpa ujemadari kwa vita isiyokuwepo
 
Mwaka 1978/79 Mwl Nyerere katika uongozi wake aliamua kuingiza nchi vitani kupambana na nduli Idd Amin Dada wa Uganda, ilikua vita ngumu sana, na ilikua ni lazima kumpiga idiamin Ili tanzania iwe salama. Wapo waliomlaumu kwa uamuzi wake wa kwenda vitani, na wapo waliompongeza na kumuunga mkono. Kubwa ilikua ni umuhimu wa vita ile ndani na nje ya Tanzania.

Madhara ya vita ile yalikua ni makubwa na hayaelezeki lakini ilikua ni kheri kuvipiga vita kuliko kukaa na kusubiri kudhihakiwa na idiamini na kuendelea kuua watu wetu maeneo ya kagera.

Vita ni vita huo ndio msemo uliozoeleka kwa ndugu zangu wakurya. Nyakati hizi magufuri anavipiga vita, vita ngumu ya nyakati hizi, vita inayopiganwa na dunia nzima, vita ambayo bado mshindi anaendelea kuwa corona na mshindwa akiendelea kupoteza wapiganaji mahiri wa upande wake. Mheshimiwa anavipiga vita katika mstari wa mbele kabisa pamoja na mataifa tajiri ilimwenguni, hakika historia Inawaandika viongozi wote wa nyakati hizi maana kipimo cha uongozi wao.

Historia itawaandika kwa uwezo wao wa kufanya maamuzi katika hali ngumu. Bila kujari uamuzi waufanyao ni mzuri au mbaya.

Magufuli ataandikwa kama kiongozi shupavu na imara aliyekataa kuburuzwa na sera za kimataifa juu ya ugonjwa wa corona, kwanza kuukataa ugonjwa, kuvikataa vipimo vyao na sasa anazikataa chanjo zao.

Uamuzi wowote uliofanywa si kwa nia mbaya kwa jamii, ila ni katika kutapatapa kuwaokoa na kuwanusuru watu wake.

Vita ni vigumu ila ushindi ni lazima, tuendelee kumuombea kiongozi huyu maana najaribu kuvuta picha kwasasa anajisikiaje, anahuzuni kiasi gani na anamawazo kiasi gani. Japo si mkubari magufuri kwa baadhi ya maswala ila sichoki kumuombea katika wakati huu mgumu.

Chief kamchicha
Anapigana na adui asiyekuwepo?? Unawaambia askari vit imeisha na warudi nyuma wakati vita imepamba moto unategemea nn??

Huwezi kutatua matatizo kwa kujidanganya kua hayapo
 
Hajawahi kupigana na hii vita zaidi ya kwenda zake CHATO kujificha.
 
Huyu hapigani bali anacheza cheza tu na Corona.

Hakufanya lolote kuizuia kuingia na hafanyi lolote kuizuia kusambaa wala hafanyi lolote kuizuia kuwapata watu wala hata kuidhibiti tu.

Kwa maana nyingine katuchumia janga kisha kalitekeleza kwetu.
 
Mwaka 1978/79 Mwl Nyerere katika uongozi wake aliamua kuingiza nchi vitani kupambana na nduli Idd Amin Dada wa Uganda, ilikua vita ngumu sana, na ilikua ni lazima kumpiga idiamin Ili tanzania iwe salama. Wapo waliomlaumu kwa uamuzi wake wa kwenda vitani, na wapo waliompongeza na kumuunga mkono. Kubwa ilikua ni umuhimu wa vita ile ndani na nje ya Tanzania.

Madhara ya vita ile yalikua ni makubwa na hayaelezeki lakini ilikua ni kheri kuvipiga vita kuliko kukaa na kusubiri kudhihakiwa na idiamini na kuendelea kuua watu wetu maeneo ya kagera.

Vita ni vita huo ndio msemo uliozoeleka kwa ndugu zangu wakurya. Nyakati hizi magufuri anavipiga vita, vita ngumu ya nyakati hizi, vita inayopiganwa na dunia nzima, vita ambayo bado mshindi anaendelea kuwa corona na mshindwa akiendelea kupoteza wapiganaji mahiri wa upande wake. Mheshimiwa anavipiga vita katika mstari wa mbele kabisa pamoja na mataifa tajiri ilimwenguni, hakika historia Inawaandika viongozi wote wa nyakati hizi maana kipimo cha uongozi wao.

Historia itawaandika kwa uwezo wao wa kufanya maamuzi katika hali ngumu. Bila kujari uamuzi waufanyao ni mzuri au mbaya.

Magufuli ataandikwa kama kiongozi shupavu na imara aliyekataa kuburuzwa na sera za kimataifa juu ya ugonjwa wa corona, kwanza kuukataa ugonjwa, kuvikataa vipimo vyao na sasa anazikataa chanjo zao.

Uamuzi wowote uliofanywa si kwa nia mbaya kwa jamii, ila ni katika kutapatapa kuwaokoa na kuwanusuru watu wake.

Vita ni vigumu ila ushindi ni lazima, tuendelee kumuombea kiongozi huyu maana najaribu kuvuta picha kwasasa anajisikiaje, anahuzuni kiasi gani na anamawazo kiasi gani. Japo si mkubari magufuri kwa baadhi ya maswala ila sichoki kumuombea katika wakati huu mgumu.

Chief kamchicha
NAKUUNGA MKONO MKUU KORONA HAKUNA"
KAMA UNAONA IPO JIKINGE NA BARAKOA LAKO KWANI UNAKATAZWA
 
Back
Top Bottom