Corona ipi tena Jamani?Wiki hii kampuni yetu imewasilisha barua ya nyongeza kwa malalamiko yetu mbele ya jumuia ya madola. Kukataa kwa uzembe kwa Magufuli juu ya janga la COVID-19 inawakilisha ukiukaji wa haki za binadamu chini ya Azimio la Harare
Huyo atakuwa hajalipwa na Tundu Lisu so njaa inamuuma!Wiki hii kampuni yetu imewasilisha barua ya nyongeza kwa malalamiko yetu mbele ya jumuia ya madola. Kukataa kwa uzembe kwa Magufuli juu ya janga la COVID-19 inawakilisha ukiukaji wa haki za binadamu chini ya Azimio la Harare
Usiwe na hasira ndivo walivo wazungu,unakumbuka Mkapa na Basili Mramba waliponunuwa Rada? Ni wao waingereza waliandamana kuishinikiza serikali yao,iturudishie pesa zetu.Huu ni upumbafu mkubwaaaa ndo kusema huyo Amstarderm ana huruma sana na wananchi wa Tanzania, aende zake awaonee huruma nchi yake ambao janga hili pia limeua maelfu ya watu. Tanzania ni nchi huru ina misimmamo yake na wala haiwezi ingiliwa
The fox of no orientation is always troubled by hallucination and illusion of Magufuli regime; when he is sleeping, seated, walking or driving he dreams Magufuli haunting him and his allies.''Wiki hii kampuni yetu imewasilisha barua ya nyongeza kwa malalamiko yetu mbele ya jumuia ya madola. Kukataa kwa uzembe kwa Magufuli juu ya janga la COVID-19 inawakilisha ukiukaji wa haki za binadamu chini ya Azimio la Harare. ''View attachment 1707444View attachment 1707448View attachment 1707446
View attachment 1707449
Anatusaidia watanzania kumtia adabu dikteta jiweHuyu kidudu anataka nn kutoka Tanzania
Ule ulikua uchafuzi sio uchaguzi.Baada ya kusababisha Lisu kupata chini ya 20% kwenye uchaguzi wa mwaka jana sasa ameanza tena?