chuo

  1. 2

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa anayesoma Chuo cha St. Francis - Ifakara (MD)

    Karibuni kwa msaada
  2. Hot bird

    JamiiForums Tanzania Serikali ifuatilie utendaji wa uongozi wa Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

    Wakuu habari zenu hapa ndani? Nimeandika uzi huu kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya taifa na ustawi wa jamii kwa ujumla, hii ni kutokana na ukweli kuwa taasisi nyingi za serikali zinaendeshwa kwa utendaji mbovu, sasa leo naandika machache kuhusu chuo cha kilimo cha sokoine (SUA), kilichopo...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mzee Kissinger wa Mtaa wa Congo: Chuo kikuu cha historia

    Mzee Kissinger huniambia, ''Wewe Mohamed mimi nimekusomesha wapi?'' Mimi huwa simjibu kitu nashukuru na kama nimefuata kujua kitu kutoka kwake nitamuuliza na palepale mwalimu wangu ataniangusha ''lecture'' ya maana. Vijana wengi wamekuwa wakija kwangu wakitaka kufahamu historia ya kweli ya...
  4. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkuu wa Idara ya Uchumi Chuo cha Diplomasia, Dkt. Ahmed Mtengwa afariki dunia

    Habari kwenu ndugu zangu. Aliyekuwa mkuu wa Idara ya Uchumi wa Chuo cha Diplomasia Kurasini Dar es Salaam amefariki Dunia mapema leo. Dkt. Mtengwa alifariki katika hospital ya Muhimbili alipokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mfupi. Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwao Masaki DSM...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Baada ya yote haya akifika chuo kikuu mama anasema mtoto si wa kwako

  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mnaosoma degree, kama pesa ipo nyumbani na mwaka wa pili GPA haisomi, hama chuo uanze upya

    Nina ndugu yangu alikuwa IFM, cheti kilikuwa na makarai mengi kwasababu yeye chuoni alikuwa mzee wa bata sana, Baada ya kuona ana GPA ya 3.1 hakufurahi kwasababu kazi ya ndoto yake ilikuwa kuwa lecturer, alienda kusoma degree ya pili Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA). Alikaza sana aliacha michezo...
  7. Mema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Elimu ni ufunguo wa maisha

    "Elimu ni ufunguo wa maisha". Moja ya msemo ambao tumekuwa tukiusikia tangu awali. Ni kiasi gani msemo huu umeakisi maisha yako baada ya kuhitimu elimu ya chuo kikuu?
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Lehigh chabatilisha degree ya heshima iliyompa Trump miaka 30 iliyopita

    Tangazo hilo linakuja siku mbili baada ya Rais Trump kuhamasisha wafuasi wake kuvamia bunge na jinsi watunga sheria walivyoshinikiza kuondoka kwake. Kulingana na gazeti la wanafunzi, kumekuwa na mashinikizo ya kubatilisha shahada ya heshima ya Trump kutoka kwa wafanyakazi, wanafunzi wa sasa na...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mimi Nasoma HGL, hivi chuo naweza kusomea Geology?

    Mimi nasoma HGL hivi chuo naweza kusomea GEOLOGY?
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nishaurini: Ndugu yangu alipohitimu chuo mwaka jana akahamia kwangu, nimsaidiaje awe bize? Hana shughuli

    Heri ya mwaka mpya wadau. Kuna mtoto wa shangazi yangu wa kiume (23) alipomaliza chuo mwaka jana 2020 mwezi wa nane kama sijakosea akaja hapa kwangu maana kashapazoea kwasababu chuo anachosoma kipo sehem nayoishi. Sasa basi ndio ivyo, kwa sasa dogo hana kazi na ninaelewa kwamba kupata kazi ni...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ni ushauri gani nimpe mdogo wangu aliyepo chuo mwaka wa kwanza sasa?

    Wakuu Habari za wakati huu? Heri ya Mwaka jaman kwenu wote. Hayaa moja kwa moja kwenye mada? Kuna mdogo wangu anaenifuatia, Bahati nzuri alifaulu tu vizuri kidato cha 6 na pia alifanikiwa kupata mkopo. Sasa kitu kinachoniumiza kichwa ni kila ninapowasiliana nae kumjulia hali huwa kuna...
  12. FredMaria

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa hivi naweza kupata nafasi chuo cha VETA Kozi ya Umeme miaka miwili Kigoma au Chato?

    Habar wana JF. Kutokana na Mambo kuwa mengi huku mda ukiwa mchache nimejiiuta nachelewa kutuma maombi katika chuo chochote cha VETA nchini hususani Kigoma au Chato(ni kipya kinaanza kutumika mwaka huu) nimeingia kwenye website mbali mbali lakin sikufanikiw kupata mawasiliano na uongoz husika...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kuhama chuo na kubadilisha kozi

    Je, inawezekana kwa mwanafunzi anayeinga mwaka wa pili kozi ya diploma ktk afya kupostpone(due to fee issues) na kusoma kozi nyingine ktk chuo kingine?
  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania Geita: Chuo Kikuu cha Utumishi wa Umma kujenga Kampasi yake Wilayani Chato

    Kampasi ya Chuo cha Utumishi wa Umma tawi la kanda ya ziwa kitajengwa wilayani Chato, amethibitisha waziri wa utumishi wa umma George Mkuchika. Kwa mujibu wa Mkuchika ni kuwa amejiridhisha kuwa Chato inazo sifa zote zinazoiwezesha kujenga chuo hicho ikiwemo ukubwa wa eneo unaoridhisha. =======...
  15. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Alipanga mauaji ya familia yake kisa kuficha ukweli kuwa hakuwa anasoma chuo

    Tarehe 23, Desemba mwaka 2003, Katika kitongoji cha Sugar Land Texas, yalipo makazi ya watu wenye ukwasi kusini Mashariki mwa Houston, kulitokea tukio la mauaji ya kutisha. Familia ya watu watano ilichapwa risasi na kibaka aliyevamia nyumba yao. Bart Withtaker na mdogo wake Kevin walikuwa ni...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Usafiri wa Anga kutoa mafunzo ya urushaji drones kwa ada ya Tsh. 1,980,000 yatayoweza kuomba leseni ya urushaji TCAA

    Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania kitatoa mafunzo ya urushaji wa ndege zisizo na rubani (Drones) kwa muda wa wiki nne kuanzia Januari 4, 2021. Mwombaji awe na umri kuanzia miaka 21, awe amemaliza kidato cha nne au zaidi, ajue kusoma na kuandika Kiingereza. Ada ni TZS 1,980,000.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani nitajiunga na chuo kusoma USA

    Habarini wanaJF, Mimi ni mhitimu wa kidato chasita mwaka 2017 lengo la kuja hapa mbele yenu ni kuomba ushauri kwa wenye experience ya kusoma nchini USA kwa maana mwakani nataka nijiunge katika chuo mojawapo hasa katika state ya FLORIDA advance na secondary nmesoma masomo ya arts HKL na matokeo...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Ahukumiwa kwenda kutumikia kwenye Chuo cha Mafunzo (Gerezani) kwa kubaka msichana wa miaka 17

    Hatimae Mahakama ya Mkoa Wete imemuhukumu kwenda kutumikia chuo cha mafunzo kwa muda wa miaka kumi (10) pamoja na kulipa fidia ya shilingi laki mbili mshitakiwa Khalifa Khalfan Mwaveso mwenye umri wa miaka 25 mkaazi wa Micheweni Pemba, aliepatikana na kosa la kumbaka msichana mwenye umri wa...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu: Nini maana ya promosheni ya laini ya chuo kama mnaunga watu hata wasio wanachuo?

    Kuna promosheni pendwa sana maalufu " laini ya chuo" Hii ni simcard iliyokuwa na lengo la kumrahisishia mwana chuo kupata mawasiliano akiwa chuoni kwa bei nafuu! Huduma hiyo mwanzo ilihitaji kitambulisho cha chuo ili kuunganishwa kutoka mitandao yote! Sasa hivi kila mtu hata tusiokuwa wanachuo...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 59 wa Chuo cha VETA Kagera na wakufunzi wao 3 mbaroni kwa kufanya udanganyifu kwenye mitihani

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera inawashikilia wanafunzi 59 wa Vyuo viwili vya ufundi VETA kwa madai ya kukutwa na simu za mkononi katika chumba cha mtihani. Mbali na kuwashikilia wanafunzi hao wa Chuo cha Veta wilayani Muleba na kile cha Veta Tuinuane...
Back
Top Bottom