Nitumie mbinu gan ili nisikose chuo kwenye second round?

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,159
Reaction score
2,189
Mbinu ipi ya kutumia kufanya application ili npate chuo?

Je, kuapply vyuo vingi ni njia moja wapo itakayokufanya upate chuo?
 
Mbinu ipi ya kutumia kufanya application ili npate chuo??
Je kuapply vyuo vingi ni njia moja wapo itakayokufanya upate chuo??

Mbinu ipi ya kutumia kufanya application ili npate chuo??
Je kuapply vyuo vingi ni njia moja wapo itakayokufanya upate chuo???
Angalia minimum entry qualifications za chuo kwa kila course unayoitaka..na uangalie ushindani uliopo kwenye hiyo course kwa chuo husika...maana kila chuo kina idadi yake ya wanafunzi kwa kila course...sasa jipime kama utaweza competition kwa chuo husika.

..mfano mzumbe wakisema wanahitaji A level uwe na principle 2 zenye points 4.5 na pia O level uwe na Credits 3 za masomo husika.. hapo utakuta mtu hana Credits hizo alafu anaaply kwasababu ananprinciple za advance
 
Completely sure [emoji1478]
 
Back
Top Bottom