Uwezekano wa kuhama chuo ngazi ya Diploma

tapemeasure

Senior Member
Joined
Jan 15, 2020
Posts
168
Reaction score
126
Habari za kutwa wana jamvi la elimu.

Husika na mada tajwa apo juu.

Leo nilikuwa niko na rafiki yangu yeye amepata Dvs two point 12 flat D na anatamani sana kusoma MD ila akajiamini kweli ana weza kusoma MD kwa mwaka huu. Ameomba KCMC UDOM pamoja na St Francise ila amekosa vyote. Amekaa akawaza na kupata ushauri ameona asome diploma ya clinical medicine.

Katika ngazi ya diploma tayari NACTE wamesha funga dirisha la usajili toka mwezi wa 8 na sasa amebidi afanye application katika vyuo vya privet na amepata nafasi ila anaona garama za masomo katika vyuo vya privet viko juu sasa akawa ananiuliza kuwa kuna uwezekano wa kusoma diploma chuo cha privet walau semester moja na baada ya apo kuhama kwenda katika chuo cha privet?

Mimi sikuwa na jibu sahihi la kumpa nimeona nije kwa wana jamvi nipate mawazo yenu mana na amini humu kuna watu wana uzoefu wa mambo. Asanteni

What loneliness is more lonely than distrust
 
Mwambiee aendee chuonii moja moja anachotaka kwenda kusoma diploma watamchukua
 
Nieleweshe mkuu . Ulimaanisha kutoka Private Kwenda Government!? . Inawezekana Muhimu kuandika barua ya uhamisho Yenye anuani tatu.
 
Habari za kutwa wana jamvi la elimu.

Husika na mada tajwa apo juu.

Leo nilikuwa niko na rafiki yangu yeye amepata Dvs two point 12 flat D na anatamani sana kusoma MD ila akajiamini kweli ana weza kusoma MD kwa mwaka huu. Ameomba KCMC UDOM pamoja na St Francise ila amekosa vyote. Amekaa akawaza na kupata ushauri ameona asome diploma ya clinical medicine.

Katika ngazi ya diploma tayari NACTE wamesha funga dirisha la usajili toka mwezi wa 8 na sasa amebidi afanye application katika vyuo vya privet na amepata nafasi ila anaona garama za masomo katika vyuo vya privet viko juu sasa akawa ananiuliza kuwa kuna uwezekano wa kusoma diploma chuo cha privet walau semester moja na baada ya apo kuhama kwenda katika chuo cha privet.?

Mimi sikuwa na jibu sahihi la kumpa nimeona nije kwa wana jamvi nipate mawazo yenu mana na amini humu kuna watu wana uzoefu wa mambo. Asanteni
Inawezekana sana tu cha msingi asiwe na sup. Kwenye module zote
 
Inawezekana kiongozi ila ni mpaka dirisha la kuhama likifunguliwa na NACTE na mara nyingi ni wiki mbili kabla ya masomo kuanza.
Utaratibu:
Mwanafunzi anayetaka kuhama anatakiwa aandike barua kwa katibu mtendaji Nacte kupitia kwa mkuu wa chuo cha sasa na kile anachotaka kuhamia na wakizipitisha wote basi anaituma nacte.
Onyo! Private ni wajanja sana hawako tayari kupoteza mwanafunzi hivyo principal atakupiga figisu mwanzo mwisho alimradi ubaki hapo.
 
Back
Top Bottom