chuo

  1. DENICE ADRIAN

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo kinachotoa higher diploma ya ualimu wa sayansi, iwe private au govnment

    Nina div. 2 ya pcb ya mwaka 2016. Natafuta chuo wanachofundisha diploma ualimu wa sayansi. Je nitapata wapi chuo na je nitakubaliwa? Msaada plz
  2. karim mtila

    JamiiForums Tanzania Mbinu mpya ya Kujiunga na Bando za Chuo za AIRTEL zenye gharama nafuu

    Hahahah, kama kawaida ya binadamu kila anapopatwa na janga huwa anawaza namna ya kupata unafuu. Katika harakati zangu za kusaka unafuu nikakutana na chimbo la bando za Aitel za chuo zenye gharama nafuu. Maisha kusaidiana ,hapa nawawekea procedures mpya za kujiunga na bando hizo. BOFYA...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wenzetu mliotoka chuo mkajiajiri hapo hapo mlifanyaje? Au mkaajiriwa kwa miaka hii ya ajira ngumu?

    Watu wanasema kuna baadhi ya kozi kupata kazi ni mziki mnene mfano: Human resource, BBA, public adm na nyingine za social studies na arts. Kwahiyo wengi tukimaliza chuo huwa tunakaa tu nyumbani. sasa tuleninmaujuzi tufanye nn au tujiakiri vipi? Baada ya kumaliza chuo?
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu akipongeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kuanza kutoa Scholarship kwa vipanga wanaofanya vizuri Mitihani ya Sayansi Kidato cha Sita

    Students who perform well in Science subjects in their Form Six national examinations are eligible for the scholarship at the University of Dar es Salaam You may be among those who have applied for university scholarships for international students - but were never lucky. Although there are...
  5. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Chuo Cha Mipango/ Institute Of Rural Development Transfer Jobs, March 2021- (57 Posts)

    Bofya linki hapo chini kudownload document PDF:
  6. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesomea Project Planning, Management and Community Development

    Hello, Ninatafuta Ajira
  7. Protector

    JamiiForums Tanzania Ni lini Serikali itajenga Chuo Kikuu mkoa wa Mwanza?

    Kwa kuzingatia umuhimu na ukubwa wa jiji la Mwanza kunatakiwa kuwe na Chuo Kikuu cha Serikali ambacho kitatoa elimu kwa ukanda wote wa Ziwa. Kulingana na matawi yaliyopo ya vyuo mbalimbali lakini bado hayajakidhi mahitaji na matakwa ya watu wa Mwanza. Kunatakiwa kuwepo na chuo kikuu ambacho...
  8. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Swali la KIZUSHI: Mliosoma chuo kozi ya MD Tanzania, kombi ya PCB ni asilimia ngapi ya yaliyomo?

    Swali la KIZUSHI: Mliosoma chuo kozi ya MD Tanzania, kombi ya PCB ni asilimia ngapi ya yaliyomo? Swali hili ni kwa waliosoma / wasomao chuo kozi ya udaktari (MD). Wengi wenu mlisoma kombi ya PCB kidato cha sita. Je, usingesoma PCB, usingeweza kuelewa na kufuzu kuwa daktari?
  9. Mac Alpho

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za kufanyika kwa ‘madudu’ dhidi ya fedha za kujikimu(Meals and accommodation) kutoka HESLB ndani ya Chuo Kikuu St. Augustine Mwanza

    Nimegundua kuna madudu na ubabaishaji mkubwa sana wa malipo ya fedha za Kijikimu(Meals and Accomodations) kwa wanafunzi wa Chuo kikuu cha ST. AUGUSTINE MWANZA, ambazo kimsingi ni fedha wanazokopeshwa wanafunzi Ili baadae wazilipe. Serikali inaingiza hela kwenye account ya chuo mapema tu, alafu...
  10. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi ya library (Maktaba) kwa shule za Secondary na primary school mpaka chuo?

    Habari Wakuu Mambo vipi? Anatafuta kazi ya library. Amesomea base ya library kwa shule za secondary na primary school mpaka chuo kwa upande wa maktaba, jinsia ni wa kike yupo dar es salaam, namba ya simu ni 0754831451
  11. Upepo wa Pesa

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Sokoine (SUA) chashika namba moja Tanzania (Citations)

    Moja kati ya kazi kuu za chuo chochote duniani ni TAFITI. Chuo chochote hapa duniani kitaonekana bora kama kina wana sayansi (academicians) bora walio tuliza akili na kuandaa tafiti na ku publish tafiti zao kwenye juornal za kitaifa na kimataifa! Kwa kuongoza kwenye citation ni ishara wazi...
  12. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa, Vijana waaswa kwenda kujifunza Maadili na Uzalendo katika Chuo cha Uongozi cha Mwl. Nyerere

    Wajumbe wa Baraza la wadhamini la Chama Cha Mapinduzi ,(CCM) limewataka viongozi wa vyama vya upinzani nchini kujiunga na Chuo cha uongozi na Itikadi cha Mwalimu Nyerere ,kilichopo Kwamfipa,Kibaha,mkoani Pwani, ili kujiongezea uwezo na kujifunza maadili na uzalendo wa nchi yao. Walizungumza...
  13. chrome

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Muhammed Seif Khatib afariki dunia

    Dkt. Muhammed Seif Khatibu ambaye alikuwa ni miongoni mwa viongozi waandamizi wa siku nyingi Serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi amefariki dunia. Aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Uzini kisiwani Zanzibar. Nyadhifa alizowahi kushika Dkt. Khatib Mwenyekiti wa UVCCM kutoka 1978 hadi 1983...
  14. Mpingamkoloni

    JamiiForums Tanzania Barua Kwa Mheshiwa Rais: Tunaomba Utupe Ardhi ya Tanganyika Packers Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Tawi la Mbeya

    Mheshimiwa Rais! Mimi ni mwananchi wa kawaida sana hapa Tanzania. Mimi ni mwanachama mwaminifu wa CCM tokea enzi za siku za mwisho za TANU. Mheshimiwa Rais, sitopoteza muda wangu kutaja mambo mema mengi uliyowafanyia watanzania, maana nitatumia siku nzima na hivyo barua yangu itakosa maana...
  15. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa James Lwelamira wa Chuo cha Mipango-Dodoma afariki dunia hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma

    Mwanazuoni nguli Profesa James Lwelamira amefariki dunia leo asubuhi ktk hospital ya Benjamin Mkapa mkoani Dodoma ambapo alikuwa akipatiwa matibabu. Chanzo cha kifo taarifa ya daktari bado haijatoka.
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Baraza la Chuo Kikuu Huria Tanzania lamtaka Prof. Bisanda aombe radhi kuhusu waraka wa Corona alioutoa

    Baraza la Chuo Kikuu Huria, limekaa kikao cha dharura na kuagiza Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda aombe radhi kwa Wizara ya Elimu, Chuo Kikuu Huria na Umma kwa waraka wa tahadhari ya #CORONAVIRUS alioutoa Februari 8, 2021. Prof. Bisanda alitoa waraka kuwatahadharisha wafanyakazi...
  17. Dickson Edwin Mgaya

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine - SUA: Tahadhari juu ya ugonjwa wa Corona

    Kufuatia tahadhari zinazoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini ikiwemo Chuo kikuu cha Daressalaam (UDISM) na chuo kikuu Huria (OUT), Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) nacho kimewatahadharisha wanajumuiya wa taasisi hiyo kuchukua hatua stahiki za tahadhari dhidi ya...
  18. Dnmunisi

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa taratibu za kufuata endapo mwanafunzi ambaye ni mnufaika wa mkopo na ambae ameshasajiliwa chuo kingine kama anaweza kuomba upya

    Habari za wakati huu, ni matumaini yangu kuwa mnaendekea vizuri na shughili za kujenga taifa..hongereni sana Kuna mdogo wangu yupo chuo kikuu mwaka wa kwanza chuo kikuu cha dodoma (udom) anasomea environmental science kufikia hapo alipo anasema anachokisomea hakipendi na kwamba alikubali tuu...
  19. Dedan j Dedan

    JamiiForums Tanzania Nimehama chuo(transfer) nilikuwa na mkopo lakini ni pungufu ukilinganisha chuo nilichopo. Je, Mwakani itanibidi niombe tena?

    Nimehama chuo(transfer) nilikuwa na mkopo lakini ni pungufu ukilinganisha chuo nilichopo. Je, Mwakani itanibidi niombe tena? Naombeni mnisaidie wakubwa
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ni zipi sifa za mtu kuchaguliwa kuwa Best Student Chuo Kikuu?

    Habari watanzania, leo nimekuja na hili swali, maana limenichanganya kidogo. Nina mdogo wangu amepata 4.7/5.0 hapo UDBS-UDSM na yeye ndo alikuwa na GPA kubwa kushinda wote hapo cha ajabu hakutangazwa kama BEST STUDENT. Wadau mliopo kwenye ACADEMIC FIELD naomba mniambie ni vigezo vipi...
Back
Top Bottom