Taarifa ambazo GENTAMYCINE nimethibitishiwa na Mamlaka ya Ofisi za Serikali ya Mitaa Kawe na Mtendaji Mwandamizi kutoka Jeshini Kambini Lugalo kilipo Chuo chao cha Tiba cha MCMS ni kwamba kuna uwepo wa Chatu mkubwa kiasi cha Kutishia Maisha ya Watu.
Kwa takribani Siku tatu zimepita Wakazi wa...
Habari!
Huhitaji kuwa na shahada ya taxation au uhasibu kujua kuwa pesa itakayokusanywa kupitia miamala ya simu na vocha kwa mwaka mmoja ni matrilioni.
Serikali inapaswa kuboresha sekta ya elimu kwa kuondoa ada au kuwalipia ada wanafunzi wote wa chuo kikuu huku ikiwapa angalau mlo mmoja...
Habari wana JF,Kwanza Tumshukuru Mungu kwa neema ya uhai anayoendelea kutujalia hapa
Pili niwashukuru watendaji wa JF Kwa kutuletea changamoto hii, tatu niende moja kwa moja kwenye story challenge yangu inayohusu Maisha baada ya kuhitimu Chuo kikuu.
Vijana wengi baada ya kuhitimu vyuo vikuu...
Habari wanajukwaa;
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa afya na wakati mwema Kama huu,ili niweze kutoa upako wa kweli kuhusu hatma ya wanafunzi waliomaliza KIDATO cha 6 kuhusu nini cha kusomea baada ya Necta kutangaza matokeo yao.
Pili na mwisho katika utambulisho,hongereni sana vijana...
Mhitimu wa chuo kikuu ni mtu mwenye elimu ya juu kulinganisha na sehemu kubwa ya jamii. Hawa watu wanakitu cha kipekee japo wengi wao wamefumba.
Sasa haya ndio mambo makuu,ya kukusaidia ujitambue na ujiajiri.
👉TENGENEZA NJIA YA ZIADA KATIKA MAISHA.
Hii ni hatua ya kwanza kabisa,jaribu kuwaza...
Nitakuwa naweka hapa vitabu vinavyotumiwa katika mataifa mbalimbali kuanzia elimu ya sekondari mpaka Chuo Kikuu. Jisikieni huru pia kuweka vitabu vyo vyote vile vinavyotumika mashuleni na vyuoni kutoka mahali po pote duniani
Naanza na kitabu hiki chenye fomyula muhimu 1,300 za somo la Hisabati...
Habari zenu ,
wapendwa mm naitwa elia,nmemaliza diploma ya ualimu secondary mwaka huu,sasa changamoto yangu ni wakati huu wa ku apply chuo kikuu ambapo kila nikitaka verification number inakataaa na napokea ujumbe kwamba sikuwa na vigezo vya kusoma Diploma.
Kwa o level nilikuwa nna c tatu na...
Wakulungwa habari za siku nyingi.
Leo nimeonelea nitumie muda wangu kidogo kuandika kwa ajili ya kuwapa ushauri vijana wetu ambao ndio wamemaliza kidato cha sita, hasa wale ambao ndoto zao ni kuendelea na masomo ya chuo. Zifuatazo ni dondoo chache kutoka kwangu kaka yenu ambae nimebahatika...
Mtoto wangu alifaulu vizuri sana kidato cha 4 na kwenda shule nzuri sana kidato cha 6 na tukakubaliana kuwa akimaliza kidato cha 6 atakwenda chuo bara lolote anapotaka yeye. Ghafla baada ya muhula wa kwanza akabadirika anasema anataka kwenda kwenye chuo kiko SA. Na amekwishajaza makaratasi na...
Mimi nimeumia na nimeniuma sana: haiwezekani mtu ume-graduate 2015 unaachwa kuajiliwa eti anaajiriwa wa 2018 kisa kakuzidi umri
Kwahiyo kutokuwa na umi mkubwa ni kosa?
Je, ajira za serikali sharti iwe na miaka mingapi? Tunaomba ufafanuzi,
Mtu kaanzia kufanya kazi kwenye taasisi binafsi hadi...
Baba mlezi amefariki ila sisi tupo wawili yaani mimi na mwanaye wa kumzaa; wote tunaomba mkopo wa elimu ya juu.
Je, sote tunaweza kutumia cheti kimoja cha kifo kuombea mkopo?
Mimi nilikua sijui kwamba kuna watu wanaweza kujiunga na masomo kwa ajili ya kusomea fitna na chuki ili kuwafitinisha watu anajiunga kabisa tena elimu ya juu na chuo kikuu
Yani anasomea masomo maalumu kwa ajili ya fitna na anafanya mitihani na anahitimu na shahada anapewa
Kisha anaingia kazini...
Naumba ushauri ndugu zangu mm nasoma chuo kikuu ila nipo mwaka wa mwisho na semester ya mwisho je naweza kuomba tena chuo kwa kozi nyengine kama mwaka wa kwanza na baada ya kumaliza semester hii kukubaliwa kuendelea na kozi nyingeni kwa mwaka huu mpya wa masomo uko Bado sijagraduenti.
Jamani na rafiki yangu ambaye anasoma chuo jirani na Mimi hapa Arusha yeye ilibidi aingie mwaka wa pili lakini lakini Kuna shida ilimpata ya masikio yaani kwamba masikio yaliacha kusikia miaka ya nyuma ilimtokea hii Hali na wazazi wake walikuwa wanajua lakini alivyoenda chuo Hali ikawa mbaya...
Miaka ile ya awamu ya kwanza kulikuwa na chuo cha kufundisha viongozi masuala yote muhimu ya kiuongozi. Kilikuwepo pale kivukoni. Kiliwapika viongozi na matendo yao yakaonekana baada ya kupewa ukuu wa wilaya na ukuu wa mikoa. Walikuwa ni viongozi wenye maadili yasiyohojika.
Taratibu muda...
Kwanza naomba ieleweke hii sio kodi bali ni kuchangia elimu au tunaweza kuita kuchangia Mfuko wa Elimu kwa watanzania kugharamia elimu ya shule ya msingi na elimu ya juu.
Napendekeza kila mtanzania mwenye kumiliki simu ya mkononi achangie shilingi 10,000 kwa mwaka mzima na fedha...
Wadau inakuaje?
Ninapenda kujua chuo gani ni kizuri kinachotoa elimu nzuri ya Sheria 'coz mdogo angu anataka ajue mapema vyuo atakavyo-apply.
Kaniomba nimsaidie alafu mimi sijasoma kozi kama yake; kwhiyo inaniwia ngumu kutambua. Lakini wadau wa JF hamtashindwa kunisaidia naombeni vyuo vitano...
Kwa matokeo haya naweza pata chuo (EDE-hge) degree coz za biashara? Nmefany mtihan 2019, mwaka huu nmerudia economics can uhakika na matokeo yatakavyotoka mana pepa ilikaza sana
Habarini za leo wakuu,
Wakuu hivi ninyi mlishawahi fanikiwa kusave hela za Bumu zikawatoa.
Binafsi mimi kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza pale MZUMBE mjomba alinihusia sana swala la kusave bumu. Aliniita varandani akanisisitiza sana mjomba chondechonde ukipata Bumu uwe unalisave...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.