GPA 3.O kama hitaji la chini kuingia kuingia chuo kikuu sio sawa

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,857
2,000
Nchi jirani ya uganda kwa wenye diploma kuanzia gpa 2.7 wanaweza kuomba kujiunga na vyuo vikuu lakini tanzania tumeweka gpa 3.0. Hata nchi za ng'ambo kama malaysia china na zingine wanakubali kuanzia gpa 2.7 kwa wenye diploma kama hizi zetu za nacte.

Ingefaa kiwango cha tanzania nacho kishuke ili vijana wanaotaka kujiendeleza kwa elimu waendelee kusoma badala ya kupoteza muda vijiweni huku wazazi wao wana uwezo kuwaendeleza.

Wazazi wengi wamekua wanagharamika kuwapeleka nje vijana wao vyuo vikuu vya nje huku baadhi ya vyuo nchini vikishindwa kupata wanafunzi kulingana na uwezo wao kwa kuwekwa kiwango cha kujiunga juu bila sababu za kimsingi.

Yapo masoma ambayo yanahitaji viwango vya gpa kubwa kama vile udaktari uhandisi na kadhalika. Lakini kuna masomo mengi tu vyuo vikuu nchi nyingi kiwango cha cini gpa ni chini ya 3.0.

Nashauri jambo hili liangaliwe ili kupatia vijana wenye kupenda kujiendelesa nafasi vyuo vikuu na pia kuweza kuchukua fulsa za uwezo kwa nafasi katika vyuo vikuu.
 
ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
10,955
2,000
Umeongea la maana Sana hata Mimi Nina diploma chini ya tatu ila kiukweli Mimi hata Kama ingekuwa iko juu ya tatu nilishasema diploma mwisho Sina mpango kbs wa kuchukua bachelor kwanza kusoma Sana nako ni uoga wa maisha wapi kibao na elimu zao za juu ila ndo hamna kitu wanacho Cha tofauti na sisi ushubwada mtupu elimu ya bongo Ni Zaid ya kamari
 
Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
22,443
2,000
Nchi jirani ya uganda kwa wenye diploma kuanzia gpa 2.7 wanaweza kuomba kujiunga na vyuo vikuu lakini tanzania tumeweka gpa 3.0. Hata nchi za ng'ambo kama malaysia china na zingine wanakubali kuanzia gpa 2.7 kwa wenye diploma kama hizi zetu za nacte...
Ingekua 3.5 kabisa!! Nyie funza wa CCM mmezoea dezo dezo sana na kubebwa bebwa.
 
Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
22,443
2,000
Umeongea la maana Sana hata Mimi Nina diploma chini ya tatu ila kiukweli Mimi hata Kama ingekuwa iko juu ya tatu nilishasema diploma mwisho Sina mpango kbs wa kuchukua bachelor kwanza kusoma Sana nako ni uoga wa maisha wapi kibao na elimu zao za juu ila ndo hamna kitu wanacho Cha tofauti na sisi ushubwada mtupu elimu ya bongo Ni Zaid ya kamari

Sizitaki mbichi hizi.
 
Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
4,679
2,000
Huna mpango wa kusoma au vile umezingua na huna vigezo
Umeongea la maana Sana hata Mimi Nina diploma chini ya tatu ila kiukweli Mimi hata Kama ingekuwa iko juu ya tatu nilishasema diploma mwisho Sina mpango kbs wa kuchukua bachelor kwanza kusoma Sana nako ni uoga wa maisha wapi kibao na elimu zao za juu ila ndo hamna kitu wanacho Cha tofauti na sisi ushubwada mtupu elimu ya bongo Ni Zaid ya kamari
 
Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
2,854

Unashindwaje kupata gpa ya 3.0? Huo ni ukilaza
 
6Was9

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
1,188
2,000
Umeongea la maana Sana hata Mimi Nina diploma chini ya tatu ila kiukweli Mimi hata Kama ingekuwa iko juu ya tatu nilishasema diploma mwisho Sina mpango kbs wa kuchukua bachelor kwanza kusoma Sana nako ni uoga wa maisha wapi kibao na elimu zao za juu ila ndo hamna kitu wanacho Cha tofauti na sisi ushubwada mtupu elimu ya bongo Ni Zaid ya kamari
Tafuta professional courses ujiendeleze.. sio lazima hizi academic courses
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom