Chuo cha Mkolani Foundation

Kidooo

New Member
May 19, 2021
2
0
Ndugu zangu Mimi nimehitimu chuo cha Mkolani Foundation Organization baadae nilikuja kusikia chuo hicho kilifungiwa na serikali, nilikua napenda kuuliza mimi niliyehitimu kabla ya kufungiwa siwezi ajiriwa serikalini?
 
Ulisoma kozi gani kabla hakija fungiwa? Hiyo kozi ilikua inatambulika na serikali.
 
Back
Top Bottom