Habari kwenu ndugu zangu.
Aliyekuwa mkuu wa Idara ya Uchumi wa Chuo cha Diplomasia Kurasini Dar es Salaam amefariki Dunia mapema leo.
Dkt. Mtengwa alifariki katika hospital ya Muhimbili alipokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwao Masaki DSM...
Nina ndugu yangu alikuwa IFM, cheti kilikuwa na makarai mengi kwasababu yeye chuoni alikuwa mzee wa bata sana, Baada ya kuona ana GPA ya 3.1 hakufurahi kwasababu kazi ya ndoto yake ilikuwa kuwa lecturer, alienda kusoma degree ya pili Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA).
Alikaza sana aliacha michezo...
"Elimu ni ufunguo wa maisha". Moja ya msemo ambao tumekuwa tukiusikia tangu awali. Ni kiasi gani msemo huu umeakisi maisha yako baada ya kuhitimu elimu ya chuo kikuu?
Tangazo hilo linakuja siku mbili baada ya Rais Trump kuhamasisha wafuasi wake kuvamia bunge na jinsi watunga sheria walivyoshinikiza kuondoka kwake.
Kulingana na gazeti la wanafunzi, kumekuwa na mashinikizo ya kubatilisha shahada ya heshima ya Trump kutoka kwa wafanyakazi, wanafunzi wa sasa na...
Heri ya mwaka mpya wadau.
Kuna mtoto wa shangazi yangu wa kiume (23) alipomaliza chuo mwaka jana 2020 mwezi wa nane kama sijakosea akaja hapa kwangu maana kashapazoea kwasababu chuo anachosoma kipo sehem nayoishi.
Sasa basi ndio ivyo, kwa sasa dogo hana kazi na ninaelewa kwamba kupata kazi ni...
Wakuu Habari za wakati huu?
Heri ya Mwaka jaman kwenu wote.
Hayaa moja kwa moja kwenye mada?
Kuna mdogo wangu anaenifuatia, Bahati nzuri alifaulu tu vizuri kidato cha 6 na pia alifanikiwa kupata mkopo.
Sasa kitu kinachoniumiza kichwa ni kila ninapowasiliana nae kumjulia hali huwa kuna...
Habar wana JF.
Kutokana na Mambo kuwa mengi huku mda ukiwa mchache nimejiiuta nachelewa kutuma maombi katika chuo chochote cha VETA nchini hususani Kigoma au Chato(ni kipya kinaanza kutumika mwaka huu) nimeingia kwenye website mbali mbali lakin sikufanikiw kupata mawasiliano na uongoz husika...
Je, inawezekana kwa mwanafunzi anayeinga mwaka wa pili kozi ya diploma ktk afya kupostpone(due to fee issues) na kusoma kozi nyingine ktk chuo kingine?
Kampasi ya Chuo cha Utumishi wa Umma tawi la kanda ya ziwa kitajengwa wilayani Chato, amethibitisha waziri wa utumishi wa umma George Mkuchika.
Kwa mujibu wa Mkuchika ni kuwa amejiridhisha kuwa Chato inazo sifa zote zinazoiwezesha kujenga chuo hicho ikiwemo ukubwa wa eneo unaoridhisha.
=======...
Tarehe 23, Desemba mwaka 2003, Katika kitongoji cha Sugar Land Texas, yalipo makazi ya watu wenye ukwasi kusini Mashariki mwa Houston, kulitokea tukio la mauaji ya kutisha. Familia ya watu watano ilichapwa risasi na kibaka aliyevamia nyumba yao.
Bart Withtaker na mdogo wake Kevin walikuwa ni...
Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania kitatoa mafunzo ya urushaji wa ndege zisizo na rubani (Drones) kwa muda wa wiki nne kuanzia Januari 4, 2021. Mwombaji awe na umri kuanzia miaka 21, awe amemaliza kidato cha nne au zaidi, ajue kusoma na kuandika Kiingereza. Ada ni TZS 1,980,000.
Habarini wanaJF,
Mimi ni mhitimu wa kidato chasita mwaka 2017 lengo la kuja hapa mbele yenu ni kuomba ushauri kwa wenye experience ya kusoma nchini USA kwa maana mwakani nataka nijiunge katika chuo mojawapo hasa katika state ya FLORIDA advance na secondary nmesoma masomo ya arts HKL na matokeo...
Hatimae Mahakama ya Mkoa Wete imemuhukumu kwenda kutumikia chuo cha mafunzo kwa muda wa miaka kumi (10) pamoja na kulipa fidia ya shilingi laki mbili mshitakiwa Khalifa Khalfan Mwaveso mwenye umri wa miaka 25 mkaazi wa Micheweni Pemba, aliepatikana na kosa la kumbaka msichana mwenye umri wa...
Kuna promosheni pendwa sana maalufu " laini ya chuo"
Hii ni simcard iliyokuwa na lengo la kumrahisishia mwana chuo kupata mawasiliano akiwa chuoni kwa bei nafuu!
Huduma hiyo mwanzo ilihitaji kitambulisho cha chuo ili kuunganishwa kutoka mitandao yote!
Sasa hivi kila mtu hata tusiokuwa wanachuo...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera inawashikilia wanafunzi 59 wa Vyuo viwili vya ufundi VETA kwa madai ya kukutwa na simu za mkononi katika chumba cha mtihani.
Mbali na kuwashikilia wanafunzi hao wa Chuo cha Veta wilayani Muleba na kile cha Veta Tuinuane...
Chuo cha ARDHI Morogoro ni miongoni mwa Vyuo vikongwe vya Serikali ambavyo vinatoa wataalamu mbalimbali kwa ajili ya Sekta ya ARDHI
Ni Jambo la kusikitisha ambalo inawezekana sio la kiungwana kuhusu hali ya vyoo vinavyotumiwa na wanachuo.
Hakijulikani tatizo ni nini na nani anawajibika na...
Kichwa chajieleza,
HiKi chuo niliwai ku-apply postgraduate course, lakini katika kufatilia nikagundua wanatoa course ambazo hazijasajiliwa na NACTE wala TCU, nikajaribu kupeleleza kwa mmoja wa staff wao ambaye naye alionyesha kuto rithika na huduma za hapo TPIM kumbe wana madudu mengi, ambayo...
Kwa kweli kama kaka mtu nimehuzunika sana kupata habari hizi. Yaani binti badala ya kusoma na kumaliza elimu yake ya juu aje kuwa mwanasheria mzuri yeye anakimbilia kuolewa sasa ile ada niliyokuwa najibana na kumlipia shule si ningefanyia vitu vingine maana mwisho wa siku matokeo ndo haya.
Yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.