chuo

  1. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Penalty ukichelewa kulipa ada Hii sheria ya wapi!!? Serikali mtusaidie

    Kuna barua imesambaa mitandaoni ikionyesha mkuu wa chuo cha sauti akishinikiza Wanaoshindwa kulipa ADA kupigwa penalty Sio Jambo JEMA na la busara kulikalia kimya WAPO WATOTO WENYE shida je anachelewa kulipa ada UNAHISI hio penalty anapata wapi Imenisikitisha Sana Tunaomba wazirii HUSIKA...
  2. Tindo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye ufahamu kuhusu chuo cha maji hapa Dar es Salaam

    Naomba kupata maelezo ya ufahamu kuhusu chuo cha maji hapa Dar kwa wale wenye ufahamu. Aina ya course, malazi, uhakika, mkopo nk. Nina mtoto wa kaka yangu kamaliza kidato cha nne, na kupangwa kujiunga na chuo hicho, sasa anataka nimpe hizo details kwa wale wenye ufahamu wa kutosha kuhusu chuo...
  3. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania GPA 3.O kama hitaji la chini kuingia kuingia chuo kikuu sio sawa

    Nchi jirani ya uganda kwa wenye diploma kuanzia gpa 2.7 wanaweza kuomba kujiunga na vyuo vikuu lakini tanzania tumeweka gpa 3.0. Hata nchi za ng'ambo kama malaysia china na zingine wanakubali kuanzia gpa 2.7 kwa wenye diploma kama hizi zetu za nacte. Ingefaa kiwango cha tanzania nacho kishuke...
  4. Darucha

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kuendelea kupata mkopo kama nimeacha chuo bila kufuta usajili wangu katika chuo husika?

    Karibuni jamani mchangie mawazo yenu kuhusu hii mada mtu anaweza akaendelea kuchukua boom Kama ameacha chuo lakini Bado hakufuta usajili wake katika chuo chake.
  5. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itajengwa na wenye moyo safi. Waanza kujenga ofisi zao za Majimbo kwa kujitolea

    Kanda ya Serengeti KARATU BUNDA MJINI SERENGETI NJOMBE MAKAMBAKO
  6. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Uporaji pesa za mkopo za wanafunzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)

    Imekuwa ni utaratibu wa chuo cha uhasibu Arusha kukata kiasi cha pesa cha chakula na matumizi mengine(Boom) kwa wanufaika wake kila mara wanapotakiwa kuwapa kwa muda wa kila baada ya miezi miwili, ambacho ni kiasi cha tsh 500,000 kwa kila baada ya miezi miwili. Lakini wamekuwa wanawacheleweshea...
  7. Matata25

    JamiiForums Tanzania Msaada ku apply chuo online Nacte

    Habari za usiku ndugu zangu? Nahitaji msaada namana ya ku apply nacte vyuo vya afya. Nimejaza taarifa zote lakini hakuna kinachoendelea. Hatua ya kwanza nimefungua ukurasa wa kujisajili na nikajaza taarifa zote. kama inavyoonekana kwenye screenshoot hapo chini. Then ukurasa wa pili ulipofunguka...
  8. Twinawe

    JamiiForums Tanzania Chuo gani Dar es Salaam kinatoa Degree ya IT kwa masomo ya jioni?

    Habari ndugu zangu, Kichwa cha uzi kinajieleza. naomba kufahamishwa chuo kinachotoa degree ya IT kwa masomo ya jioni kwa vyuo vilivyopo hapa jijini Dar es Salaaam? Hoja yangu ni hiyo naomba kuwasilisha.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Mkolani Foundation

    Ndugu zangu Mimi nimehitimu chuo cha Mkolani Foundation Organization baadae nilikuja kusikia chuo hicho kilifungiwa na serikali, nilikua napenda kuuliza mimi niliyehitimu kabla ya kufungiwa siwezi ajiriwa serikalini?
  10. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba hii inauzwa. Ipo Kiharaka kabla yakufika Chuo cha Jeshi Mbweni Mwisho

    Naomba kuwajulisha kuwa Nauza nyumba Ipo Kiharaka ukipita daraja la Bunju unapinda kulia ilipo kambi ya jeshi sasa kabla ya kufika Nyumba ipo hapo Serikali za mitaa. Ukubwa wa Nyumba ina vyumba 3 kimoja ni Master, Seating Room Public toilet Store Nje ina fremu mbili kama unataka kufanya...
  11. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Hatimaye ametiki

    Hatimaye Ametiki(Based on true story) Ilikua mwaka 2014 katika chuo cha elimu ya biashara(CBE) Tawi la Mbeya nilikuwa mwaka wangu wa pili nikichukua stashahada ya usimamizi wa biashara (diploma in Businesses administration). Nikiwa nimeketi kwa pembeni kipindi hicho ndo kuna wanafunzi wapya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Unawezaje Kuhama chuo kikuu fulani kwenda kingine baada semester?

    Habarini za muda Wana jamvii Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu. Nilikua nahitaji msaada wa mtu anawezaje Kuhama chuo kikuu Fulani kwenda Fulani baada ya semester moja au baada ya kumaliza mwaka wa kwanza wakatii anaenda ya pili afanye transfer. Kama iko naombeni msaada maana SuA...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ubora wa elimu unaotolewa SUA, UDOM na UDSM

    Habarini za muda wana jamvii kama kichwaa cha habari kinavo jieleza hapo juu kuna tofauti gani wa ubora wa Elimu unaotolewa chuo kikuu cha kilimo morogoro SUA na ile inayotolewa chuo kikuu cha Dodoma UDOM & UDSM hususan katika zile course za kilimo? Binafsi nina wanangu wanasoma course zinazo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Chato pajengwe Chuo Kikuu cha Afya kama MUHAS

    Wanabodi salaam. sitokei kanda ya ziwa na wala sipapigii debe Chato nyumbani kwa Mzee JPM, ila naleta mada hii kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Pale Chato pamejengwa Hospitali kubwa ya Rufaa ya Kanda, ina majengo mazuri sana na nina Imani hata vitendea kazi pia, lakini nna mashaka bado idadi...
  15. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania CPA ya viwango vya kimataifa (ACCA) kuanza kufundishwa katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A)

    Habari za wakati huu jamiiforums C.P.A ya viwango vya kimataifa (A.C.C.A) kuanza kufundishwa katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A) Soma>>> Wahasibu, kwanini yanayofundishwa mitihani ya CPA yasiingizwe kwenye mitaala ya vyuoni? Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf...
  16. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Nilihitimu elimu ya juu katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A) mwaka 2009. Is this purely coincidental?

    Habari zenu jamiiforums Nilihitimu elimu ya juu katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A) mwaka 2009. Is this purely coincidental? ========== Soma>>> Kwanini Tanzania inashindwa kuzalisha tena wachezaji ambao ni "University Graduates" kama akina Engineer Leodgar Tenga? Tunakwama wapi kama taifa...
  17. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Tuwaige Chuo Kikuu cha Makerere tufute digrii courses zisizokuwa na maana

    Kuna digrii ambazo hazina maana yoyote kwa wakati wa sasa. Chuo kikuu cha Makerere kimefuta degree courses zifuatazo Scrapped courses Bachelor of Science in Horticulture Bachelor of Science in Human Nutrition Bachelor of Science in Meteorology Bachelor of Science in Wildlife Health and Mgt...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata chuo Uganda

    Habari za muda huu ndugu zangu, Ngoja niende kwenye point natafuta mtu mwenye connection ya kupata vyuo Uganda au hata mashirika ya kusaidia kupata chuo huko. Mfano niliongeaga na education link ila wao waliniambia wanasaidia kutafuta chuo nje ya E. AFRICA ila ndani ya E. Africa wao hawawezi...
  19. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Pana chuo Tanzania kinatumia mfumo wa Semester wanafunzi kujiunga?

    Pana chuo tanzania kinatumia mfumo wa Semester? Yaani kila semester pana wanafunzi wanaojiunga, na wanafunzi wanaohitimu. Masharti ya kuhitimu ni kukamilisha masomo fulani. GPA ni ya masomo, siyo kwa mwaka. Hakuna kusema huyu ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wala wa ngapi. Mwanafunzi akitimiza...
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kiko wapi "Yohana University" ambacho anasomea Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga?

    Nimeona CV ya mkurugenzi mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga akieleza kuwa anasoma "Yohana University" masomo ya jioni. Nimejaribu kutafuta hicho chuo kinachojulikana kama "Yohana Iniversity" kama mwenzetu alivyoandika nimekikosa. Naomba msaada kwa anayejua Yohana university ilipo...
Back
Top Bottom