Tuwaige Chuo Kikuu cha Makerere tufute digrii courses zisizokuwa na maana

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,868
2,000
Kuna digrii ambazo hazina maana yoyote kwa wakati wa sasa.

Chuo kikuu cha Makerere kimefuta degree courses zifuatazo

Scrapped courses
Bachelor of Science in Horticulture
Bachelor of Science in Human Nutrition
Bachelor of Science in Meteorology
Bachelor of Science in Wildlife Health and Mgt.
Bachelor of Adult and Community Education
Bachelor of Agricultural Extension Education
Bachelor of Arts in Development Economics
Bachelor of Community Psychology
Bachelor of Development Studies
Bachelor of Industrial and Organizational Psychology
Bachelor of Science in Business Statistics
Bachelor of Science in Conservation Biology
Bachelor of Science in Telecommunication Engineering
Bachelor of Science in Quantitative Economics
Bachelor of Agricultural and Rural Innovation
Bachelor of Library and Information Sciences.
Bachelor of Archives and Record Management
Bachelor of Science and Constructive Management
Bachelor of Computer Engineering.
 

Patra31

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
2,645
2,000
Wanaanzisha nyingine ama ?
Sisis kwetu tumefanikiwa kuanzisha combinations mpya kwa advance secondary
 

Yodoki II

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
5,369
2,000
Hakika. Hivyo videgree ni michepuko kutoka kwenye Degree Courses zingine e.g BA ECONOMICS ina-cover blaablaa zote za ECONOMICS au BCOM, in cover blaablaa zote sijui Business statistics n.k,
 

Mwanamaji

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
2,004
2,000
Digrii gani hazina maana hapa kwetu kwa mfano mkuu?

Au tukopi ''mkeka wa chuo cha Makerere'' nasisi tufute kozi tajwa hapo juu ?
 

Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,602
2,000
Waafrika hupata upepo tu wa wazungu hakuna tunachotunga.upuuzi puuzi tu.
Kuna uhandisi gani wa computee hapa tanzania kama sio kudanganya watu.
Hata kua assemble tu computer hakuna sembuse ku design!
Computede science tu inatosha ma engineer wa komputa wakaomeshwe ulaya na china hapa kwetu ni uongo mtupu.
 

Patra31

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
2,645
2,000
Tunaweza kutaja japo chache ?
Huenda ikasaidia kurahisisha ufutwaji wake.
kwann zisiunganishe ikawa moja
  • Bachelor degree in gender and community development
  • bachelor degree in community development
  • bachelor degree in adult education and community development
  • bachelor in social work
  • Bachelor of art in community development
2. Human resource
  • Bachelor in human resource, planning and management
  • Bachelor degree in human resource management.
  • Bachelor degree in labour relations and public management
 

Patra31

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
2,645
2,000
Waafrika hupata upepo tu wa wazungu hakuna tunachotunga.upuuzi puuzi tu.
Kuna uhandisi gani wa computee hapa tanzania kama sio kudanganya watu.
Hata kua assemble tu computer hakuna sembuse ku design!
Computede science tu inatosha ma engineer wa komputa wakaomeshwe ulaya na china hapa kwetu ni uongo mtupu.
Computer science na engineering in computer engineering hizi zina umuhimu kwa ukimwengu wa sasa sema tu Tanzania bado kama vile mazingira yoa sio mazuri

Nazo kama vile ingefaa wazionganishe tu iwe moja kama inawezekana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom