chuo

  1. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa chuo DIT unatambua huu unyanyasaji?

    Pamekuwepo kilio cha mda mrefu sana ambacho hakijawahi tafutiwa ufumbuzi juu ya waalimu wa part-time kunyanyaswa kwenye malipo na si mara moja au mbili malamalamiko yalisharipotiwa. Tunasema ni manyanyaso kwa sababu kila semester yanajirudia. Licha ya kujaza claim kila mwezi lakini bado malipo...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Sokoine/Mzumbe mnaacha division 1&2 mnapokea division gani? Ama kuna kifurushi kinatakiwa?

    Yaani haya mambo yamebadilika sana jamani aisee yaani leo hii div 1&2 wanaachwa. Je, mnachukua 3&4? Kama kuna malipo watoto waingie semeni please. Watoto wanafaulu wana aaply yanatoka majibu mnawaambia wa apply upya aisee mnatupeleka wapi?
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Temeke: DC Jokate Mwegelo aagiza kuwekwa chini ya ulinzi, Viongozi wa Chuo cha Lubondo Training College

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. JOKATE MWEGELO Aagiza Kuwekwa Chini ya Ulinzi Mkali Viongozi wa Chuo cha LUBANDO TRAINING COLLEGE Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo ameagiza kuwekwa chini ya ulinzi kwa Viongozi wa Chuo cha Lubando Training College kilichopo Mtaa wa Butiama, Kata ya Mtoni...
  4. Darkhorse001

    JamiiForums Tanzania Amechaguliwa MD UDOM na UDSM aende chuo gani?

    Habari za mida wakuu, Kuna mdogo wangu hapa kachaguliwa kwenda kusoma MD UDOM na UDSM. Amekuja kuniomba ushauri ni wapi anatakiwa kuconfirm, naombeni ushauri wenu kulingana na exposure yenu kwa hvyo vyuo na coz tajwa.
  5. saiz

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya ku-confirm chuo

    Samahan wakuu, Ningependa kujua unawezaj ku-confirm kuwa unaenda chuo fulani kama umechaguliwa zaid ya chuo kimoja.
  6. MabatiBeiNafuu

    JamiiForums Tanzania Chuo cha TIA - Wataalam wa TEHAMA mmelala?

    Wakuu, Nimetembelea leo tovuti ya chuo cha Uhasibu TIA kupitia domain yao ya tia.ac.tz hicho nilichokutana nacho nimeshangaa! Tovuti inaonekana haina SSL Certificate, Sasa ukienda Google chrome wanakupa warning. "Your connection is not private Attackers might be trying to steal your...
  7. Granted Faith

    JamiiForums Tanzania Wapenzi walioanzia Chuoni ndoa zao zinadumu sana

    Ukipata nafasi oa/olewa na mpenzi wako ambaye mpo wote chuo sababu mnajuana uhalisia. Tafiti isiyo rasmi inaonesha waliooana na wapenzi wao wa chuo ndoa zinadumu sana. Na Ndoa nyingi za wapenzi walioanzia chuo zilidumu sana.
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Aende chuo na kozi gani kati ya hizi?

    Habari za leo wakuu, Nina ndugu yangu kachaguliwa kama ifuatavyo. 1. IFM - Bachelor of Accounting 2. TIA - Bachelor of Accountancy 3. ARDHI - Bachelor of Science in Accounting and Finance Je, aende chuo na kozi gani kati hivi.
  9. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Maumivu Yasiyo kwisha (Endless Pain)

    MAUMIVU YASIYO KWISHA(ENDLESS PAIN)...!! . Sehemu ya kwanza. . Mwaka 2016 ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuingia chuoni, ilikua katika chuo cha kimataifa cha Kampala. Naikumbuka siku yangu ya kwanza nilikua naonekana mnyonge sana, hasa kutokana na ugeni wangu na kila mmoja ndani ya darasa...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ubora wa chuo Cha taasisi ya elimu ya watu wazima IAE

    Ninaomba msaada juu ya ubora wa chuo Cha taasisi ya elimu ya watu wazima-IAE cha DSM
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kwa GPA 3.9 Diploma in Clinical Medicine atapata chuo 2021/2022?

    Habari zenu wakuu, Kuna kijana ana matokeo kama ifuatavyo. Diploma in Clinical Medicine GPA ni 3.9 kahitimu 2015. O' level ana:- B/Maths - A, Physics - B, Chemistry -B, Biology - B na English - C. Kaomba vyuo vifuatavyo:- SUZA- MD, UDOM- MD, UDSM- MD, MUHAS- MD, KCMUCo- MD na CUHAS- Bugando -...
  12. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo Kikuu Kenya kurusha chombo anga za juu

    Mambo yanazidi kunoga kwenye nchi hii.... The KU students are in the final steps of their project before launching their satellite to space this August. Their launch plan received a boost from the Kenya Space Agency which offered them a Ksh1 million grant for the project. This is after the...
  13. Nijosnotes

    JamiiForums Tanzania SoC01 Utofauti computer developer vs programmer vs coder [Kiswahili]

    Habari wana JF Leo nina mada fupi juu ya utofauti wa kazi za hawa watu watatu tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari katika sekta ya TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano) . Mada hii itachochea wale ambao wanahitaji kuwa na uelewa wa maswala ya TEHEMA na pia kwa wale walio ndani ya...
  14. Foxhunters

    JamiiForums Tanzania Anaomba ushauri kuhusu chuo cha Uandishi wa Habari

    Wakuu heshima yenu, Kuna dogo ana ndoto ya kuwa mwandishi wa habari na muaandaji wa vipindi vya TV na redio. Anaomba kuelekezwa chuo kizuri cha taaluma hiyo kwa ngazi ya diploma kiwe cha serikali au cha binafsi ili aweze kutimiza ndoto yake. Natanguliza shukrani
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napataje AVN na ikiwa nilishawahi unda account lakini taarifa zake nilipoteza?

    Jamani msaada napataje AVN ikiwa nimesahau username na password nilizizitumiaga pindi najisajiri.
  16. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Ufaulu wa Div 2.11 PCM kwa DDC, naweza kupata chuo cha serikali kwa engineering?

    Msaada wakuu, Naweza pata MUST, UDOM, n.k Kwa civil au electrical engineer kwa ufaulu huo? Je, naweza soma kozi ipi nzuri nyingine?
  17. hiram

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu ana Division ONE HKL anataka kuchukua Journalism nimpe ushauri gani?

    Mdogo wangu amepata matokeo hayo je journalism inalipa?
  18. A

    JamiiForums Tanzania Niliacha chuo mwaka wa tatu, je naweza kupata hata cheti?

    Niliacha chuo kikuu mwaka wa tatu kozi yenye miaka minne.Je kuna uwezekano nikapata hata cheti kwa miaka hiyo mitatu?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo cha Production Dar es Salaam

    Hellow, Poleni na majukumu. Nina imani mu wazima. Wakuu naomba mnifahamishe kwa hapa Dar ni chuo gani kizuri, ambacho mtu anaweza akasoma mambo ya production na akaiva vizuri? Hapa namaanisha mambo ya Media. Yaani kuna mtu alisoma mass communication lakini aka specialise kwenye uandishi wa...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada wa Watendaji wa Serikali za Mitaa Kawe 'Kutimka Mbio' Kuogopa 'Chatu' aliyeko katika pori la Chuo cha Tiba Lugalo msaada unahitajika

    Taarifa ambazo GENTAMYCINE nimethibitishiwa na Mamlaka ya Ofisi za Serikali ya Mitaa Kawe na Mtendaji Mwandamizi kutoka Jeshini Kambini Lugalo kilipo Chuo chao cha Tiba cha MCMS ni kwamba kuna uwepo wa Chatu mkubwa kiasi cha Kutishia Maisha ya Watu. Kwa takribani Siku tatu zimepita Wakazi wa...
Back
Top Bottom