chuo

  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo Kikuu Iringa hawalipi mishahara kwa wakati na kuna changamoto ya Mifumo ya Malipo, hivyo Watumishi wasio waadilifu wanachezea mifumo ya malipo

    Sakata la Chuo Kikuu cha Iringa roho za Watanzania zinateseka katika hicho chuo, kwanza hakilipi mishahara kwa wakati matokeo yake Watumishi wasio waadilifu ikiwepo Ofisi ya Uhasibu wanatengeneza mchezo mchafu wa malipo hewa ili kujipatia fedha. Ishu hiyo ilipokugundulika chuo bila kuchunguza...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nisaidie process ya kubadili kozi chuo cha afya cha serikali.

    Wakuu natumai hamjambo. Kijana wangu wa kiume amechaguliwa kujiunga na chuo cha afya baada ya kumaliza kidato cha nne. Katika matokeo yake alipata DCC ktk tahasusi ya PCB, amechaguliwa kusomea unesi na ukunga. Yeye anataka kusomea Clinical medicine. Tafadhali anaejua process za kubadilisha kozi...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mwakibete atoa pongezi kwa Chuo cha Bahari (DMI)

    Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Atupele Mwakibete (MB), amekipongeza Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kwa kuendelea kutoa mafunzo ya Ubaharia kwa maendeleo ya Uchumi wa Bluu. Mhe. Mwakibete amesema hayo alipotembelea kwenye banda la Chuo cha Bahari Dar es Salaam kwenye maonesho ya...
  4. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 Jela ukilala na au kumtia mimba binti wa miaka 18 yupo form 5 ila ni sawa kwa binti wa chuo, form 5 iwe kama chuo hao mabinti sio watoto.

    DOUBLE STANDARDS. Utajiskiaje ukiona mtoto wako wa kiume mwenye miaka 18 anaozea jela miaka 30 kisa kakamtwa anafanya mapenzi na girlfriend wake mwenye miaka 18 ambaye yupo kidato cha tano ? Ajabu ni kwamba kuna mzee mwenye miaka 50 kampa mimba binti wa chuoni mwenye miaka 18 na wala hakuna...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kutoka chuo kikuu hadi kuuza dagaa

    Habari yako mwanajamii, nina imani ulipo unaendelea vema, kama haupo sawa Mungu akutangulie katika jambo lako. Leo tena nimepata muda wa ku-share vitu nilivyopitia katika maisha yangu. Mimi ni mzaliwa wa Nyanda za Juu Kusini (Songwe -Mbozi) nimesoma shule ya primary Songwe Mwaka 2008 na...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mahafali ya 11 ya Chuo cha ulinzi wa Taifa- NDC, Kuna Jambo sijalielwa. Si cha kijeshi tu?

    Nafuatlia Mahafali ya kumi na moja ya Chuo Cha Cha ulinzi wa Taifa-NDC kupitia TBC. Mimi nimekuwa nikivutiwa na mambo ya Jeshi mfano gwaride na tifaki mbalimbali za Kijeshi. Sasa leo nachukua Rimoti nashusha kila channel nakuta mambo niyapendayo. Nakuta Mahafali ya Chuo chetu Cha ulinzi wa...
  7. Nyati

    JamiiForums Tanzania Msaada Chuo cha Ualimu Masomo ya Biashara

    Wakuu Naomba Msaada wa kujua chuo kinachotoa Elimu ngazi ya Diploma Upande wa Masomo ya Biasahara yaani Commerce na Bookkeeping. Naomba kujua pia kama ni chuo cha Serikali AMA cha Binafsi naomba kiwe kinatambulika yaani kilichosajiriwa na Mamlaka husika. Aksanteni Sana
  8. NEGAN

    JamiiForums Tanzania Alichaguliwa chuo mwaka jana aka-confirm ila hakuripoti mwaka huu status bado inasoma selected kabla hata ya kuomba tena

    Habari zenu wakuu. Mwanafunzi mwaka jana aliomba vyuo viwili akapata vyote CBE na TIA. Aka-confirm CBE. Shida ikatokea mkopo hakupata hivyo hata chuo hakuripoti kabisa sababu mpaka batch zote zinatoka hakufanikiwa kupata kabisa na anapoishi ni mkoani. Sasa mwaka huu wakati dirisha...
  9. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kozi ya kusoma halafu baada ya kumaliza chuo isaidie kujiajiri .

    Wadau poleni na majukumu kuna dogo home kamaliza HKL na ana division 1 ya 5 ni kozi gani nzuri anaweza kusomea na chuo kipi ili akimaliza aweze kujiajiri maana uwezekano wa ajira kwa sasa ni mdogo sana naomba mawazo yenu wadau.
  10. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ili kumuwezesha mhitimu wa chuo kujiajiri, serikali ikate asilimia 25 ya pesa yake ya kujikimu (boom) na kumlipa baada ya kuhitimu kama mtaji

    UTANGULIZI Ndugu msomaji wa MAKALA hii Utakubaliana nami kwamba neno "KUJIAJIRI" sio geni masikioni mwako, hususa ni pale linapo kugusa moja Kwa moja. Huenda Kwa nyakati fulani umelisikia neno hili likitamkwa na Watu mbalimbali wakiwemo viongozi pamoja na watu maarufu na kulipokea Kwa mtazamo...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa changamoto na ya kuzitatua wakati wa kuomba mkopo chuo kupitia HESLB

    Habari wanaJF Naomba kujua, kuna aliyefanikiwa kuomba mkopo?, Unakutana na changamoto gani na unatatuaje?
  12. Mtu Mweusi I

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vijana wa kidato cha 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya Chuo Kikuu

    Ushauri wangu kwa vijana wa form 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya chuo kikuu. Tanzania ya sasa haihitaji Degree, zimeshakuwa nyingi sana mtaani mpaka copy za vyeti zinafungiwa vitumbua. Yaani degree ni luxury sio hitaji muhimu. Tanzania ama dunia ya sasa inahitaji stadi na...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Chuo cha ufundi JITA sasa kuanza kutoa mafunzo ya salon ngazi ya NVA

    Baada ya chuo kusajiliwa na NACTVET kwa namba REG/NACTVET/VTC/0845 mafunzo ya salon kuanzia kusuka nywele mitindo mbalimbali na masuala yote ya urembo sasa yatakuwa katika mfumo rasmi ambapo wahitimu watapata cheti kinachotambuliwa na serikali tofauti na hapo awali. Chuo cha ufundi JITA...
  14. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kusajili chuo ngazi ya certificate

    Naomba msaada wa kufahamu utaratibu wa kuanzisha na kumiliki chuo kinachotoa certificates program. Pa kuanzia, unavyohitaji kuwa navyo, idadi ya waalimu na elimu yao na mamlaka zinazo husika na utaratibu wote. Shukran
  15. M

    JamiiForums Tanzania Umepitia/Unapitia changamoto gani tangu umalize chuo mpaka sasa?

    Kama binadaamu kuna wakati mtu unapitia magumu mpaka hujui nani wa kukusaidia hata kimawazo. Leo nimeanzisha thread hii ili tushare mambo au changamoto mbalimbali ambazo tunapitia sisi viumbe wa Mungu. Orodhesha changamoto na jinsi ulivofanikiwa kutatua ili umsaidie mtu mwingine huko aliko...
  16. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri Chuo Kikuu SUZA: Ili Wanawake washinde Uongozi lazima wazielewe mbinu za kujenga Ushawishi Kisiasa

    Na Gaspary Charles WANAWAKE wenye nia ya kugombea nafasi za uongozi wametakiwa kuelewa mbinu sahihi za kufanya ushawishi katika siasa na uongozi ili kukabiliana na vikwazo vinavyoweza kuwakwaza kushika nafasi hizo katika ngazi mbalimbali. Wito huo umetolewa na mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa...
  17. comte

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi atoa maneno mazito mjadala wa DP World Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa kusema kuwa kuna...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bilioni 11.6 Kujenga Chuo cha TIA Mkoa wa Kigoma

    MBUNGE ASSA MAKANIKA AMESEMA SERIKALI IMEPELEKA SHILINGI BILIONI 11.6 KUJENGA CHUO CHA TIA MKOA WA KIGOMA Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mhe. Assa Makanika ameendelea na ziara yake katika maeneo ya Kidahwe, Mungonya na Ziwani kufuatilia shughuli za maendeleo, kuonana na Makundi na...
  19. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuongoza kutoa wasomi wengi, ni kwanini Mwanza makao makuu ya kanda ya ziwa hawana Vyuo vikuu vya serikali

    Unapozungumzia Kanda ya ziwa ndiko wasomi wengi wanakotoka Kagera Mwanza (Hususan kisiwa cha ukerewe) Mara Mwanza ndio makao makuu ya mikoa ya kanda ya ziwa, Watu wa Kagera na Mara ni rahisi kufikia hapa lakini jiji hili la pili kwa ukubwa hapa nchini halina chuo kikuu, kwanini ? Dar kuna...
  20. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa chuo cha TIA Mtwara ajiua

    Mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu (TIA) Mkoani Mtwara aliyetambulika kwa jina moja la Regan ambaye amekuwa akiishi Mtaa wa Chikongola, Manispaa ya Mtwara- Mikindani anadaiwa kujinyonga hadi kufariki na mwili wake kukutwa ndani ya chumba chake. Taarifa za kifo chake zilianza kusambaa jana July...
Back
Top Bottom