chuo

  1. C

    JamiiForums Tanzania Naomba anaejua kwanini Procurement imetengwa

    Habari wakuu, Mimi nimhitimu wa Diploma NTA level 5 katika chuo cha TIA Mbeya kada ya manunuzi na ugavi. Kama ilivyo siku hivi kazi zimekuwa adimu sana, kazi pekee zinazopatikana na zinatanganzwa mara kwa mara ni za AFISA UTENDAJI MADARAJA TOFAUTI. Moja ya kigezo cha kuitwa kwenye usaili Ni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania India kujenga Chuo Kikuu Kizimkazi Zanzibar

    India inaanzisha Kampasi yenye hadhi ya juu ya Chuo cha Teknolojia (IIT) Madras, Zanzibar inayotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Ni Kampasi ya kwanza ya Chuo hicho nje ya India.
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Shahada ya Uzamili ya Uchawi kutolewa chuoni Uingereza

    Uchawi sasa hivi unaenda kuwa kitu cha kawaida sana Duniani. Kozi mbalimbali zimeanza kuanzishwa zikifundisha uchawi na uganga wa jadj. Nchi ya uingereza inaweza ikawa nchi ya kwanza ya kutoa Elimu ya juu ya uchawi. Vivyo hivyo Sahada ya Uzamili ya uchawi itakayoanza kutolewa mwaka 2024...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Nimelipia marekebisho ya cheti cha Chuo, huu ni mwezi wa nne sasa, NACTVET wananizungusha tu

    Nina malalamiko yangu kuhusu Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET). Kuna watu tupo wengi tuliomba tubadilishiwe matokeo ya Chuo kwa makosa ya kibinadamu katika Uandishi, tukalipia pesa kupitia “Control Number”. Mpaka sasa miezi minne imefika kila tukienda...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa: Ujio wa ndege mpya, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kupewa ndege za mafunzo ili Wazalishe Marubani

    Shirika la ndege Tanzania (ATCL) linatarajia kupokea ndege ya abiria ya masafa ya kati aina ya B737-9MAX ambayo uundaji wake umekamilika itakayowasiri kesho Oktoba 03, 2023. Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 181 katika madaraja mawili ambapo daraja la kawaida “economyclass” itabeba...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini chuo cha MUST Mbeya kinawafanya wanafunzi warudie mwaka wa masomo kwa sababu mifumo inasumbua. Hasa wa Diploma

    Nimeona niulize huku labda naweza pata msaada wa mawazo tofauti kwa watu wanaopitia hii changamoto. Nna ndugu yangu amesotea Diploma pale MUST Mbeya kwa miaka mitano badala ya mitatu na mpaka sasa hivi bado hajatoboa, na tatizo sio kufeli. Ni mifumo yao. Wanaambiwa mfumo umebadilika so mwalimu...
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania IGP: Barabara za kuingia ndani ya Chuo cha Polisi Moshi Kilimanjaro,wajawazito wanashindwa kwenda kujifungulia zahanati ya chuo barabara ni mbovu.

    Kuna kila sababu ya kupeleka lawama Kwa IGP Tanzania kuhusiana ba barabara za kuingia chuo cha polisi Moshi, ikiwa ni pamoja a barabara zilizopi ndani ya chuo hicho. Barabara zote ni mashimo na gari yakiingia chuo ni hapo yanakuwayanavunjakila kifaa Kwa sababu ya mashimo na viraka vya lami...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Kubadilisha chuo kwenda kingine ambacho nilichaguliwa baada ya ku-confirm kingine

    Kijana alichaguliwa Mwal Nyrere na IRDP (chuo cha mipango) Dodoma. Aka confirm Dodoma. Sasa anataka kubadili kwenda Mwl. Nyerere. Taratibu za kubadili ni zipi (kama inawezekana)?
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile Apongeza na Kusifu Kasi ya Maendeleo Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE ASIFU KASI YA MAENDELEO CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amefanya ziara katika Chuo cha Taifa cha Usafirisha (NIT) ili kujionea na kukagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya Serikali katika Chuo hicho. Mhe...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe Afanya Ziara Chuo cha CBE & TRIDO

    NAIBU WAZIRI KIGAHE AFANYA ZIARA CHUO CHA CBE & TRIDO Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa jengo la Metrology Annex unaoendelea katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Dar es Salaam. Hayo yamebainishwa wakati wa ziara ya...
  11. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua gharama ya ada ya chuo Cha bugando

    #Naombeni kujua gharama ya ada ya chuo Cha bugando kwa kozi ya radiology ngazi ya diploma..?
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Mzumbe chakiri Wanafunzi zaidi ya 500 wanadai malipo ya 'refund' chuoni hapo

    Baada ya malalamiko kutoka kwa memba wa JamiiForums kuwa kuna Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe ambao walijilipia Ada wakati wa kujisajili kabla Bodi ya Mkopo kuingiza malipo ya mkopo wao, hivyo wakaahidiwa kurejeshewa kiasi cha fedha kilichozidi lakini hali imekuwa tofauti, ufafanuzi...
  13. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bongo ina umuhimu mwisho shule ya msingi sekondari na vyuoni ni kupoteza muda tu

    Kwa namna elimu yetu hapa bongo ilivyo na inavyoleta matokeo yasiyo tarajiwa kwa kundi kubwa la wasomi na vijana. Nadiriki kusema kwa asilimia kubwa elimu ya Tanzania ina umuhimu mkubwa kwa shule ya msingi pekee( awali mpaka darasa la 7) ila sekondari na chuo ni kupoteza muda tu. Elimu ya...
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nataka kurudi shule(nisome IT) chuo gani kizuri bandugu?

    Dunia sasa hivi imehamia kwenye ( computer technology) nataka nisome IT, chuo gani kizuri? UCC au VETA? Kama ni ucc branch gani wapo vizuri? (Udsm au Posta?) Nataka kwanza nisome kozi yupi fupi za IT then baada ya hapo ndo nitafikiri nisome certificate then Diploma. Vitu vyangu vingi (...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chatu mkubwa katika pori jirani na 'Chuo Nyeti' Mbweni Malindi adhibitiwe upesi kabla hajaleta madhara

    Mida yake ya kuvuka barabara hiyo ya lami ni kati ya saa 2 hadi Saa 3 usiku na ni mkubwa sana. Nina uhakika wale wote wanaopita hiyo njia wakiwa ama katika Bajaji au Pikipiki za Bodaboda au DalaDala za Mbweni - Makumbusho au hata gari binafsi ama mmeshawahi kukutana nae au nanyi hivi karibuni...
  16. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Refund ya Ada chuo cha Mipango Dodoma, Mamlaka husika ziingilie kati

    Habari za Saizi wana jukwaa. Nimeleta mada hapa jukwaani nikiamini mamlaka husika wataona na kulishughulikia haraka. Ni zaidi za miezi kadhaa imepita dogo alinigusia habari kuwa alikuwa amelipa ada na amemaliza ada yote lakini baadae alikuja kujua kuwa bodi pia walimlipia kiasi cha ada, na...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi Chuo cha Mwalimu Nyerere na UDSM hatujarudishiwa fedha zetu za ‘refund’ kutoka Bodi ya Mikopo

    Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Dar es Salaam, ipo hivi, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ilitoa nyongeza ya mkopo kwenye ada za Wanafunzi ambapo tayari wengine walikuwa wamelipa ada, hivyo ikabidi chuo kirudishe fedha za Wanafunzi ambao...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Taasisi zipi naweza kupata udhamini wa masomo ya chuo kada za afya

    samahanini wakuu nilikua naomba kujua kama naweza pata udhamini wa masomo hasa kada za afya kwa anaejua anisaidie wakuu
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Chuo cha VETA waendelea kwa kasi Kata ya Partimbo

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita ameendelea na ziara yake Kata ya Partimbo kutembelea eneo la ujenzi wa Chuo cha VETA kukagua maendeleo yake. Amewapongeza wasimamizi na mkandarasi wa mradi huo kwa kazi kubwa inayoendelea Mhe. Edward Lekaita amezungumza na Wananchi wa Kata ya...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mhitimu wa UDOM adai Bodi ya Mikopo inamlipisha deni la chuo ambacho hajawahi kusoma

    Naitwa Richard M. Philemon, Mwaka 2008 baada ya kuhitimu form six, niliomba vyuo mbalimbali kikiwemo UDSM, lakini wakanipanga Mkwawa University College of Education (MUCE Iringa), sikwenda katika chuo hicho kutokana na sababu kadhaa za kifamilia na nilitoa taarifa. Mwaka mmoja baadaye nikaomba...
Back
Top Bottom