IGP: Barabara za kuingia ndani ya Chuo cha Polisi Moshi Kilimanjaro,wajawazito wanashindwa kwenda kujifungulia zahanati ya chuo barabara ni mbovu.

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,828
21,457
Kuna kila sababu ya kupeleka lawama Kwa IGP Tanzania kuhusiana ba barabara za kuingia chuo cha polisi Moshi, ikiwa ni pamoja a barabara zilizopi ndani ya chuo hicho.

Barabara zote ni mashimo na gari yakiingia chuo ni hapo yanakuwayanavunjakila kifaa Kwa sababu ya mashimo na viraka vya lami.

IGP na viongozi wakubwa wakitembelea au kuingia chuo ni hapo wana pitishwa geti la nyuma ya chuo Ili wasione uozo wa barabara ulipo ndani ya chuo.

Tunaomba IGP tembelea chuo hicho uone uozo wa humo ndani ya chuo hicho.

Ndani ya chuo kuna zahanati ya chuo ambapo wanawake wanajifungulia njiani Kwa kushindwa kupitishwa na magari ya wagonjwa kwani ni mashimo chuo kizima
 
Hiyo ni DC na DED na TARURA WA WILAYA MSISUMBUE WATU.
 
Back
Top Bottom