chuo

  1. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Kenya: Safari ya saluni ilivyokatisha uhai wa mwanafunzi Chuo Kikuu

    Familia moja katika Kijiji cha Kabuboni, Kaunti ya Tharaka-Nithi, inapambana kutafuta haki ya binti yao mwenye umri wa miaka 21, aliyeuawa kikatili. Mwili wa Ann Kambura ulikutwa umetupwa kisimani huku mikono yake ikiwa imefungwa kwa nyuma wakati blauzi na sidiria yake vikiwa vimefungwa kwa...
  2. waziridagaa

    JamiiForums Tanzania Nilivyopata shida baada ya kuhitimu elimu ya chuo kikuu na baade kupata mtaji

    Habari yako mwanajamii, nina imani ulipo unaendelea vema, kama haupo sawa Mungu akutangulie katika jambo lako. Leo nimepata muda wa ku-share vitu nilivyopitia katika maisha yangu. Mimi ni mzaliwa wa Nyanda za Juu Kusini (Songwe -Mbozi) nimesoma shule ya primary Songwe Mwaka 2008 na nikajiunga...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Pius Chaya ameomba Serikali kupeleka chuo cha uuguzi na ukunga kwa ngazi ya astashahada

    MBUNGE DKT. PIUS CHAYA AMEIOMBA SERIKALI CHUO CHA AFYA NGAZI YA CHETI Mbunge wa Manyoni Mashariki (CCM), Dk Pius Chaya akiuliza swali lake kwenye wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Jumatatu Mei 22, 2023 bungeni jijini Dodoma. Mbunge wa Manyoni Mashariki (CCM), Dk Pius Chaya ameomba...
  4. Street brain

    JamiiForums Tanzania Nimekoma, yule mwanamke ni chuma ulete

    Habari wana jf, Moja kwa moja kwenye mada, katika pita pita hapa na pale nikiwa mkoani manyara alimaarufu kama mkoa wa Wambulu mix Wamasaai na wengine wanajiita Wairaq sijui kwanini wanajiita hio ila ni walewale Wambulu lugha ni moja kila kitu. Siku moja ilikuwa ni siku ya mnada ndani bahati...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania UDSM, Mzumbe wana Business School lakini katika Sakata la Kariakoo wako kimya. Hapa ndio Kishimba huwa anachukua alama

    Hii nchi ina faculty ambazo zinaitwa za biashara, zikiwa na wasomi kedekede, kwa nini hawatoi muda wao kufanya research kwenye maeneo nyeti ya nchi kibiashara? Imagine, eneo linalokusanya Kodi karibu 150 billions kwa mwezi, Chuo Kikuu hakijichimbii kufanya tafiti au monitoring. Wao wanamjua...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Wanawake Chuo cha Utumishi wa Umma, Singida

    MHE. MARTHA GWAU MGENI RASMI KWENYE KONGAMANO LA WANAWAKE CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA CAMPUS YA SINGIDA. Mhe. Martha Nehemia Gwau Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Singida amekuwa mgeni Rasmi kwenye kongamano la wanawake pamoja na kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nwanza: Mwanafunzi wa chuo cha udaktari ajiteka apate hela

    Kennedy Nyangige mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha udaktari Bugando anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujiteka na kisha kutuma meseji kwa wazazi, ndugu na viongozi wake wa chuo akidai ametekwa na inatakiwa milioni 3.5 ili aachiwe. RPC Mwanza Wilbroad...
  8. African Geek

    JamiiForums Tanzania Niendelee na Elimu ya chuo au nijiendeleze mwenyewe mtandaoni?

    Yes
  9. SOTI

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Chuo cha LITI Morogoro sio sawa kwa watoto maskini

    Ni mara kadhaa Sasa Chuo cha Wizara ya mifugo LITI Morogoro kimekuwa kinawafukuza wanafunzi ambao hawajamalizia ada ya semista ya Pili. Utaratibu huu ni kuwabagua kielimu hasa wanafunzi wanaotoka familia maskini. Watoto hawa wameskika wakimtaja mkuu wa Chuo kuwa kawambia kama hawana ada warudi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano baada ya kumaliza chuo, hatimaye naenda kwenye mshahara wa Milioni 6, bado siamini, nawaza sana

    Wameniconferm jana, niende kituo cha kazi huko Geita ,mwezi ujao, hapa nilipo nahisi kama naota vile. Naona siku kama haziendi niende nikalipoti, nahisi kama jamaa wanaweza ahirisha vile, nawaza namna gani maisha yangu yanaenda kubadilika, nawaza namna gani naenda kuitoa familia yangu kwenye...
  11. Evans Richard Arsenal

    JamiiForums Tanzania Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

    Imepita miaka takribani 12 sasa, tangia Tanzania ilipapata kumshuhudia mwanafunzi aliyeshindikana katika maswala ya Elimu hapa namzungumzia,Tanzania One (2006) Elias Kihombo katika matokeo ya Kidato cha Sita mwaka 2006 akitokea shule ya sekondari Tosamaganga wengi wanapenda kuiita Tosa Boy's...
  12. aka2030

    JamiiForums Tanzania Nashauri Wagombea Urais wawe wamepitia Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC)

    Kama wanavyopelekwa Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Watendaji wengine nashauri pia watu watakaotaka kugombea Urais baada ya majina yao kupitishwa na tume waende kozi ya NDC hata kwa wiki tatu. Hii inaweza kufanywa na hata kwa Baraza la Mawaziri.
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mhasibu wa Chuo cha Nyuki Tabora ashtakiwa kwa makosa 9 ikiwemo Uhujumu Uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambambana na Rushwa (TAKUKURU) imemfungulia kesi Leonard Wilson Chishomi katika Mahakama ya Wilaya ya Tabora mkoani humo kwa makosa ya kutumia nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajiri kinyume na Sheria. Makosa mengine ni Ubadhirifu na Ufujaji wa Mali ya Umma kinyume na...
  14. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Tazama picha ya gari lililotengenezwa na wanafunzi wa UDSM

    Samaleko! Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
  15. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ni makosa na dhambi kubwa chuo cha walemavu kugeuzwa mradi wa watu binafsi

    Nikisema niandike hapa ukurasa hautoshi, Chuo pekee Dar cha walemavu Yombo Kiwalani kinapiga Uturn badala ya kusonga mbele tangu Nyerere alipokijenga na Mzee Mengi akawa anafadhili na akajenga madarasa. Cha kusikitisha kuna mama anaitwa Mariam Chilangai yeye anakaimu ukuu wa Chuo sasa kwa miaka...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali nikijaribu kutuma maombi Tamisemi taarifa za chuo zinagoma

    zina load muda mrefu then UNDEFINED.. see attachment
  17. Yes INDEED

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuliopo chuo, wenye sura mbaya na hatuna hela CHAPUTA ni mkombozi wetu

    😅😅💯
  18. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) chatoa somo kwa Waratibu wa Matukio

    Chuo cha utalii nchini (NCT) kimewataka wadau wa uratibu wa matukio (events), kuongeza ujuzi wao kwa kujifunza chuoni ili kukuza weledi na kuacha tabia ya mazoea katika utendaji kazi wao wa kila siku. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano kati ya NCT na wadau wa uratibu wa matukio Kaimu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Utunzaji Kumbukumbu, nina uzoefu wa miaka 3

    Natafuta kazi ya utunzaji kumbukumbu. Nina Diploma ya Utunzaji Kumbukumbu niliyopata katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) na nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hiyo. Mwenye kuhitaji mtu wa kutunza kumbukumbu katika organization yake nipo tayari.
  20. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Serikali imeongeza kiwango Cha pesa ya kujikimu kwa wanafunzi kutoka 8500tsh mpaka 10000tsh kwa siku

    Serikali imeongeza kiwango cha posho ya kujikimu ya Wanafunzi wa elimu ya juu kutoka shilingi 8,500 hadi shilingi 10,000 kwa siku. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hayo leo April 05,2023 Bungeni Dodoma wakati akisoma hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya...
Back
Top Bottom