Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.
Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.
Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.
Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili
Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
Twitter imesema kuwa inaanzisha mfumo mpya wa kubaini na kuondoa machapisho yanayopotosha kuhusu chanjo ya COVID-19 na kuwafungia watumiaji wa mtandao huo watakaoonekana kusisitiza kuenea kwa habari za uongo.
Kampuni hiyo yenye makao yake San Fransisco nchini Marekani imesema katika chapisho la...
Nchi jirani za Afrika ya Magharibi za Ghana na Ivory Coast wiki hii zimepokea mzigo wa chanjo za bure aina ya Covax na kuanza kuwachanja raia zao.
Wa mwanzo kuonesha mfano wa kupokea chanjo hizo alikuwa ni raisi Nana Akufo-Addo Ghana. Mara baada ya kuchanjwa raisi hiyo alisema anataka aoneshe...
TAMKO LA KANISA KUUNGA MKONO MSIMAMO WA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA SUALA LA UGONJWA WA COVID-19 NA CHANJO ZAKE
1. UTANGULIZI:
Tamko hii halina malengo ya kisiasa kwa maana sio jukumu la kanisa kuhubiri siasa (1 Kor. 5:12; 2 Tim. 4:2). Hii ni taarifa fupi ambayo haitaweza kugusia kwa...
EACSOF ilikaa Februari 26 kujadili muelekeo wa COVID19 na kushauri njia za pamoja za kukabilina na janga hilo
Haya ni Mapendekezo ya EACSOF kwa Marais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki siku moja kabla ya Marais hao kukutana
1. Wameshauri kuwa na hatua za kikanda dhidi ya gonjwa hili, hasa kuwa na...
Ambassador to Tanzania. I want to talk to you about COVID-19, and how we can work together to prevent its spread and help all of us stay safe.
Since the start of the Covid-19 pandemic, almost two and a half million people have died of the disease. The loss is staggering, and no country has...
Rais wa Benki ya Dunia(WB) David Malpass amesema wamefurahishwa na namna Ghana inavyojizatiti kutoa dozi za chanjo kwa wananchi wake
WB ipo katika hatua za mwisho kuipa Ghana dola Milioni 100 sawa na takriban Tsh. Bilioni 232 ili kununua dozi zaidi za kuwatibu wananchi wake
Awali WB ilijiatiti...
Hapo Mwanzo msimamo wa Rais na serikali nzima ulikuwa Tanzania HAKUNA KORONA kwa hiyo hakuna haja ya kuvaa barakoa. Baada ya wananchi, wanaharakati na baadhi ya viongozi wa dini kuonyesha msimamo wao wa kuvaa barakoa, serikali ikaanza kubadilika, tukaanza kusikia Tanzania ina korona chache sana...
Takwimu kutoka nchini Uingereza zinaonesha kuwa chanjo dhidi ya virusi vya corona inasaidia kupunguza uwezekano wa kuenea kwa maambukizi kwa hadi asilimia 85.
Utafiti uliochapishwa na taasisi ya Public Health England (PHE) unaonesha kuwa chanjo ya Pfizer-BioNTech inapunguza uwezekano wa kupata...
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Jinsia Wazee na Watoto amesema watu wengi wanasema Tanzania haitoi data, ambapo amesema data haina haja ya kutangazwa kila siku na Waziri, utakuwa ni ujinga mtupu.
Amesema Data huwa inataka uchakataji ili kujua tatizo ya magonjwa yanayosababisha vifo na kujua...
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea...
Mjadala wa chanjo ya Corona una msimamo wa nchi na msimamo wa mtu binafsi.
Nchi haifi lakini mtu mmoja mmoja anakufa aidha kwa mapenzi ya Mwenyenzi MUngu au kwa kutotimia maarifa aliyopewa na Mwenyenzi MUngu.
Kama chanjo hiyo inaonekana inafanya kazi na watu wanaamini inafanya kazi haiwekani...
Sasa imefika wakati wataalam wa afya waueleze juu ya hili gonjwa jipya kabisa hapa Tanzania, na halipo kwengineko, liitwalo 'changamoto ya kupumua.'
Watuambie gonjwa ili linasababishwa na nini, dalili zake, kinga yake, chanjo, na tiba? Pia tofauti yake na COVID-19 au UVIDO-19 kwa kiswahili.
Kama...
Mabibi na mabwana kwa mara nyingine imethibitika kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya binadamu kisayansi haijawahi watupa waja wake mola.
Israel ni taifa lililoendelea mno katika kila hali ikilinganishwa na nchi nyingi duniani. Hata hivyo duniani ni kutegemeana ambapo wingi na tofauti zetu ndiyo...
Shirika la Umoja wa Mataifa la afya, WHO hapo jana limeridhia chanjo dhidi ya virusi vya corona ya AstraZeneca kuanza kupelekwa kwenye mataifa masikini, baada ya kuithibitisha kwa dharura. Mataifa ya kipato cha chini na cha kati yanatarajiwa kupata dozi ya kwanza ya chanjo mwishoni mwa mwezi...
Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili.
DKt Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC,Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga.
Pia Ameeleza kuwa hakuna ambaye...
Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili.
Dkt. Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC, Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga.
Jukwaa la JF
Wito wangu ni kwa mamlaka ya nchi na Wataalamu wa Afya wafanye yafuatayo ili kuwa na uwezo wa kujikinga na kupambana na magonjwa mbalimbali:
1. Mamlaka ya nchi iwezeshe kifedha wataalamu wa afya na sayansi kwa ujumla kufanya utafiti wa uwezekano wa kutengeneza chanjo ya magonjwa...
Iko hivi wakuu. Virusi vikipata mazingira mazuri huwa vinabadilika kila leo. Kubadilika huko kunaweza toa kirusi kikali kisichosikia dawa wala chanjo.
Hizi chanjo zimetengenezwa kuzuia kirusi kwa namna kiliyopo sasa. Kinaweza kubadilika na kufanya chanjo hiyo isifanye kazi au ikafanya kwa...
Kazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:
Kuelimisha/kifundisha (teaching)
Kuandika vitabu (publication)
Kufanya tafiti (Research).
Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa uwepo wa chuo kikuu chochote mahala popote. Ni sawa na benki, kwa mfano, ina kazi nyingi sana lkn utoaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.