Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.
Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.
Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.
Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili
Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
Baadhi ya walipata chanjo ya AstraZeneca ya #COVID19 wameonesha kuwa na tatizo la damu kuganda, hivyo Ujerumani, Ufaransa na Italia yamesitisha utoaji wa chanjo hiyo Machi 15.
Waziri wa Afya wa Ujerumani amesema washauri wa Afya wa Ujerumani, ambao ni Taasisi ya Paul Ehrlich wamebaini...
Uholanzi nayo imeamua kusitisha matumizi ya chanjo ya corona ya Oxford-AstraZeneca kwa kuhofia kuwa na madhara.
Serikali ya Uholanzi imeamua kuchukua hatua hiyo mpaka Machi 29 ili kuchukua tahadhari.
Awali Jamuhuri ya Ireland ilichukua uamuzi huohuo kwa kuhofia hatari ya watu kuganda damu baada...
Shirika la Afya Duniani(WHO) imeiorodhesha chanjo ya Johnson & Johnson kutumika kwa nchi zote zilizo ndani ya mpango wa COVAX
Chanjo ya Johnson & Johnson imekuwa chanjo ya nne kuorodheshwa na WHO. Ambapo chanjo nyingine zilizoorodheshwa ni Pfizer/BioNTech, Astrazeneca-SK na Serum ya Taasisi ya...
Shirika la Afya duniani limesema hakuna ushaidi kuwa chanjo ya corona ya Astrazeneca inasababisha damu kuganda.
Msemaji wa WHO - Dr. Margaret Harris amesema nchi zilizokwisha agiza chanjo ya Astrazeneca ziendelee kuitumia kwa wananchi wake maana chanjo iyo ina ufanisi mkubwa.
Kati ya watu...
Mkakati wa kukabiliana na chanjo bandia ya virusi vya corona (COVID-19), umewekwa na wakurugenzi wa upelelezi wa nchi wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki mwa Afrika (EAPCCO). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea).
Wakuu hao wamekutana kujadili changamoto za mataifa...
Serikali ya Canada imesema Jana Alhamisi chanjo ya Astrazeneca ni salama na itaendelea kuitumia kwa wananchi wake licha ya nchi za ulaya Norway na Denmark kusitisha kuitumia kwa muda.
Canada ambayo imeagiza chanjo millioni ishirini za Astrazeneca imesema raia wake waliotumia chanjo iyo...
Wakati dunia ikapambana na janga la Corona mambo mengi yanatokea.
Rais Paul Kagame wa Rwanda amekuwa kiongozi wa ukweli baada ya kujitikeza kupata chanjo ya corona ili kuwapa imani wananchi wake nao kupata hiyo chanjo.
Hongereni sana ndugu zetu Wanyarwanda kwa kupata kiongozi wa kujivunia.
Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.
Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la...
Jumla ya nchi saba tayari zimesitisha utoaji wa chanjo💉 ya Astrazeneca:
✓ Denmark
✓ Iceland
✓ Austria
✓ Estonia
✓ Lithuania
✓ Luxembourg
✓ Latvia
Sababu ya kusimamishwa kwa shughuli hii ni kesi nyingi za watu kurudi hospitali na kugundulika damu yao inaganda, hali ambayo imezua hofu.
Je...
Ndugu zangu wanasiasa lazima tukubali kuwa wenzetu walianza zamani sana kwenye sayansi na teknolojia, wanatuzidi mbali sana.
Kama tunaamini wanaweza kututengenea ndege kubwa na nzuri, computers, nguo, mkonga wa taifa, chanjo za surua na kifaduro LAZIMA tukubali kuwa wanaweza kutengeneza hata...
Ni muhimu kwa watanzania na Serikali yake kukubali chanjo ya corona ili kuepusha vifo vingi vya watu ambavyo vingeweza kuzuiwa.
Toka Janga la Corona lilivoikumba dunia, serikali ta Tanzania iliamua kutumia mbinu zenye kuhatarisha maisha, kama kuruhusu mikusanyiko ya watu, kutokupima watu corona...
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Kenya limeitaka serikali ya Kenya kukubali na kuruhusu kuruhusu chanjo zote halali za COVID-19.
Kwamba kanisa katoliki limeruhusu mtandao wa hospitali zake zote nchini Kenya kkutumika kama vituo vya chanjo za COVID-19
---
Catholic Bishops have now...
Nimefanikiwa kupata chanjo ya Corona hapa napoishi na kufanya kazi Dallas, Texas. Nimepata dose mbili za sindano kwenye bega ya kwanza tarehe 5 mwezi wa pili na ya pili tarehe 4 mwezi wa tatu. Nimepata chanjo kutoka kampuni ya Moderna. Nilivimba kidogo kwenye bega kwa mara zote lakini sijapata...
Mbona wenye lockdown bado wanafanya shughuli kama kawa?
Marekani tokea corona ianze hawajaacha kutengeneza filamu, na filamu zina watu zaidi ya 100 on set. Hawakuacha kufanya kampeni, japo midahalo ilikua na virtual attendees lakini mikutano watu walikua wanajaa tena wengine bila barakoa...
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na makamu wake Yemi Osibanjo wamekuwa watu wa kwanza kupatiwa chanjo ikiwa ni njia ya kuwahakikishia wananchi kuwa chanjo ndiyo kinga muafaka dhidi ya virusi vya corona.
Nigeria wiki iliyopita ilipokea chanjo ya Covid 19 ikiwa ni mwanzoni mwa awamu ya pili ya...
Wazungu wenyewe wanakiri kuwa corona virus is a moving target. Kwa maneno mengine ni kwamba kirusi cha corona ni shabaha inayotembea.
Ili kuielewa dhana hii nitatumia mfano rahisi. Tufananishe kirusi cha corona kama nyoka mkubwa sana na mkali. Huyo nyoka ulimwona mahali fulani mwaka 2019, na...
Mkurugenzi mtendaji wa NIMR Prof Yunus Mgaya amesema taasisi yake inafanyia utafiti dawa 7 za Kitanzania zikiwemo 4 za kufukiza kama zinatibu Covid 19.
Utafiti wa dawa hizo za asili ambazo zimetumika toka enzi za mababu zetu zinafanyiwa utafiti na wanasayansi wetu kupitia baadhi ya hospitali...
Nitajaribu kuieleza sayansi hii kwa njia na lugha nyepesi ili jamii ipate mwanga suala hili ambalo kisayansi ni complex. Lengo ni kuelimishana ili kupunguza mihemuko na mivurugano tunayoishuhudia kwa sasa hasa kwa baadhi ya wanasiasa na viongozi mbali mbali wa kijamii na wenye taaluma ya habari...
Kwanza, Chanjo itakapoingia nchini lazima ikatiwe utepe au izinduliwe. Kazi ya uzinduzi siku zote ufanywa na mwanasiasa si mtu mwingine, na utepe wa chanjo nikuchanjwa.
Pili, Wanasiasa wapo wengi na wengine wengi wamekosa nafasi hivyo endapo chanjo itakuwa na madhara nchi haitaathirika tofauti...
Naomba kujua kama hospitali au pharmacy binafsi inaweza ikaruhusiwa kuingiza chanjo ya corona au Covid19 au ni swala lisilo hitaji kibali.
Je, kuna uhitaji wa kibali maalum ili kuingiza chanjo hiyo hapa nchini, maana ni dawa kama dawa zingine au chanjo kama chanjo zingine.
Ni sheria ipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.