chanjo

Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.

Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.

Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.

Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili

Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
  1. comte

    JamiiForums Tanzania Wameshatuelewa kwamba tutatumia chanjo tu kama tukihakisha kuwa ziko salama na zinafanya kazi kweli

    The country that rejected coronavirus vaccines Dave Lawler Tue, February 9, 2021, 3:03 AM A number of countries around the world have fudged official coronavirus statistics, shared artificially sunny outlooks about the pandemic, or cracked down on reports that counter the official narrative...
  2. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Mbunge anasema hakujawahi kuwa na chanjo ya Malaria; Waziri msomi yuko kimya. Ukweli tujitizame, kuna mahali hapako sawa

    Nimemsikiliza Mbunge mmoja bungeni jana kama sijakosea ni Mbunge wa Maswa, akisema Wazungu wanabagua aina ya magonjwa na chanjo zake ili watufanyie biashara. Akatolea mfano wa Malaria kuwa hawajawahi kutafuta chanjo huku wakijua ndiyo inauwa watu wengi Afrika. Na, wanahangaika na chanjo ya...
  3. Buyaka

    JamiiForums Tanzania Burundi yafuata nyayo za Tanzania, yakataa chanjo

    Kuna wakati Tanzania enzi za Rais Julius Nyerere tulikuwa tunachukuliwa kama kinara wa misimamo mikali ya dunia ya tatu dhidi ya wakubwa walioendelea. Halafu tukazorota, mpaka tukapelekeshwa mputa na the Kenyans, of all the nations of the world. Ujio wa John Magufuli umeturudishia kiti cha...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ni vikwazo gani Tanzania na baadhi ya nchi nyingine za Afrika zitawekewa baada kukataa chanjo ya Covid -19?

    Shirika la Afya duniani (WHO) limetangaza mpango wa muda kuhusu jinsi nchi zitakavyopewa chanjo za corona mwaka huu, huku Tanzania na Burundi zikiwa hazimo. WHO limasema kuwa chanjo hizo ambazo ni dozi milioni 336 za AstraZeneca/Oxford na Pfizer-BioNTech, zitatolewa kwa muhula wa kwanza na wa...
  5. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Tushakataa Chanjo

    Jemedari kashazuia "Muzungu" asilete sindano zake
  6. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Tunavyongopeana kwenye hili la tiba na chanjo

    Mabibi na mabwana kumekuwa na habari nyingi kuhusiana na tiba na au chanjo za ugonjwa huu. Kujiridhisha nimelazimika kujivinjari kiselule selule pale katika shule ya tiba, Muhimbili. Yafuatayo ni niliyokusanya na kwa kweri tunaongopeana sana: 1. Antigen - hiki ni kitu kigeni katika mwili...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Burundi haziko miongoni mwa nchi zitakazopewa chanjo ya corona

    Shirika la afya duniani WHO limetangaza mpango wa muda kuhusu jinsi nchi zitakavyopewa chanjo za corona mwaka huu, huku Tanzania na Burundi zikiwa hazimo. WHO linasema kuwa chanjo hizo ambazo ni dozi milioni 336 za AstraZeneca/Oxford na Pfizer-BioNTech, zitatolewa kwa muhula wa kwanza na wa...
  8. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Rwanda, Kenya, Uganda, DR Congo na jirani wengine waanza kupokea chanjo ya COVID 19. Burundi na Tanzania - NO DATA YET

    Katika nchi za Afrika Mashariki, inaonesha kuwa ni Burundi na Tanzania pekee ndiyo hazina virusi vya korona na kwa hiyo hawahitaji chanjo ya COVID 19. HOFU na WOGA ni roho za kuzimu na infact ndiyo lango kuu la nguvu za uharibifu na kifo.... IMANI kwa Mungu Baba Muumba wa vyote ndiyo UHAI na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la chanjo ya UVIKO Rais Magufuli ataibuka kidedea

    Ndugu zangu, tukaeni mkao wa kula. Kwenye hili la chanjo uwezekano wa Tanzania kuibuka kidedea chini Rais Magufuli ni mkubwa sana ili iwe fundisho. Kitendo Cha watu huko China kukamatwa wakifyatua chanjo bandia imezidisha hofu duniani kuhusu usalama wa chanjo wa Ugonjwa wa Virusi vya Korona...
  10. Patriot

    JamiiForums Tanzania Corona Ilianzia China, mbona hawapapatikii Chanjo za US na Ulaya? Tujifunze jambo

    Tunajadili kwa jazba na wengine kuchochea na kutaka waletewe chanjo. Hii ni hisia mbaya za kuamini dunia ina matatizo hata kama sisi hali siyo mbaya kiasi hicho. Swali langu kuu ambalo linanipa taabu, ni kwa nini China ambako tunaambiwa ndo chanzo cha Corona hatujaisikia ikikimbilia chanjo kama...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania China: Watu 80 mbaroni kwa kutengeneza chanjo feki ya COVID -19

    Watu 80 wanashikiliwa na polisi nchini China kwa kutengeneza dawa inayofanana na chanjo ya COVID19 ambayo ni maji yenye chumvichumvi tu. Hadi sasa katika jimbo la Jiangsu na Shandong chanjo feki zaidi ya 3,000 zimekatwa. Polisi hawajaweza kusema ni chanjo kiasi gani zimeuzwa. Sinopharm ni...
  12. BAK

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo kuhusu nyungu na chanjo ya COVID-19

    MIMI NA YEYE Yeye: Wewe endelea kuwatetea wazungu. Sisi ni matajiri na wao wanatuonea wivu. Hayo machanjo yao wasituletee. Mimi: Kuna chanjo ngapi unazojua tunapewa na zinatoka kwa wazungu? Yeye: Zipo nyingi lakini mbona wameshindwa kutengeneza chanjo ya UKIMWI? Mimi: Unajua ARV na CONDOMs...
  13. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania China na Russia kamwe hawawezi kutumia hiyo chanjo ya mRNA ya kampuni ya Pfizer (Billgate) na BioNTech (Mjerumani): Kwa nini Afrika tulazimishwe?

    Hiyo tunayoiita chanjo inayotengenezwa na kampuni ya Pfizer ikishirikiana na kampuni ya BioNTech ya ujerumani si sawa na chanjo zinazojulikana ambazo hutumia virusi vya ugonjwa huo huo vilivyopunguzwa makali (attenuated live viruses). Hawa wanatumia genetically engineered manufactured synthetics...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania yasema haina mpango kupokea chanjo za Covid19

    Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa haina mpango wa kupokea chanjo ya Covid19 ambayo imekuwa ikiripotiwa kuwepo na kutumika katika mataifa mengine. Hayo yamesemwa leo Jumatatu Februari Mosi, 2021 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima wakati...
  15. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Gazeti la "Los Angeles Times" laandika: Magufuli akataa uwepo wa COVID, baadhi ya wananchi waanza kukataa kukubaliana naye

    Rais wa Tanzania anasema Mungu ameondoa COVID-19 katika nchi yake. Sasa kanisa analosali mwenyewe laonyesha kutofautiana naye. Mamlaka ya Kanisa Katoliki wiki hii imetoa onyo juu ya wimbi jipya la maambukizo ya virusi vya corona huku taasisi mbali mbali za serikali zimeanza kuhimiza...
  16. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo atangaza wiki moja ya "nyungu" season 3

    Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo ametangaza rasmi kuanza kwa kampeni ya nyungu season 3. Amesema hayo akiwa mkoani Tabora katika ziara ya kikazi Rais mkoani humo. Waziri jafo alinkukuliwa akisema “Rais Magufuli juzi ulisema Watanzania tuko salama, angalia Umati huu wote tuko salama, hapa...
  17. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Kama hila ya Wazungu kupitia chanjo ni kutumaliza, basi tusitie kiburi leo, tumechelewa, tangu utotoni tumechanjwa sana na chanjo zao

    Polio, ndui, kifaduro, pepopunda, TB, nk ni chanjo ambazo wengi wetu tumechanjwa utotoni. Na huenda kupitia chanjo hizo ndiyo sababu ya kuwa hai hadi leo tunapotunisha misuli majukwaani. Halikadhalika ukienda kwa upande wa Mifugo,kuna chanjo nyingi mifugo yetu huchanjwa kukinga magonjwa...
  18. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli upo sahihi kwa 100% unapothubutu kuhoji ubora wa Chanjo ya Corona

    Salaam Wana JF. Nianze andiko hili kwa kurejea usemi huu usemao "Africa consumes what it does not produce and produces what it does not consume" Kuna mantiki pana juu ya usemi huu na kinachoendelea kwa sasa dhidi ya chanjo ya Covid 19, Rais wa Tanzania ameibua mjadala mpana ndani na nje ya...
  19. mgt software

    JamiiForums Tanzania Formula iliyotolewa na NIMR kudhibiti Covid19 ikizingatiwa tukaitumia bila dharau hatuhitaji chanjo

    Wana jf, Naungana na rais Wangu Dr. j.Magufuri kugomea chanjo, ikiwa tuna wataalum wakali kutoka NIMR wameonyesha uwezo Wa kukabili kirusi hiki hatari duniani. Yapo magonjwa Mengi ambayo tunaishi nayo na hatujawahi kupewa chanjo kwa Kuwa wenzetu washatokomeza labda kwa madawa yao. Sisi kwa...
  20. mama D

    JamiiForums Tanzania Nasimama na Rais Magufuli kwenye kuchukua tahadhari dhidi ya Corona na napinga matumizi ya chanjo inayopigiwa kampeni na dunia

    Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya Corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo. Watanzania wengi wamemuelewa Rais na wanachukua tahadhari na pia wameelewa msimamo wa Rais kuhusu chanjo ya Corona. Ila...
Back
Top Bottom