chanjo

Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.

Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.

Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.

Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili

Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa tamko kuhusu chanjo ya Korona inayotolewa na WHO kwa nchi mbalimbali duniani

    Dar es Salaam The minister for Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, Dr Dorothy Gwajima, yesterday said the government will issue an official statement on its stand regarding Covid-19 vaccines soon. Many countries around the world are rolling out the vaccine following...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Makamo wa Rais Mteule wa Marekani Kamala Harris apewa chanjo dhidi Coronavirus

    Vice President-elect Kamala Harris and her husband, Doug Emhoff, received their first doses of Moderna's coronavirus vaccine on Tuesday, with the incoming vice president getting her shot on camera as part of efforts to build public trust in the inoculations. Harris and Emhoff were administered...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Uingereza yaidhinisha Chanjo ya Covid 19 iitwayo AstraZeneca

    Chanjo dhidi ya Virusi vya Corona iliyotengenezwa na Kampuni ya AstraZeneca kwa kushirikiana na Wanasayansi wa Chuo cha Oxford imeidhinishwa kwa ajili ya matumizi. Waziri wa Afya, Matt Hancock amesema itaanza kutolewa kwa Umma Januari 04, 2021. Uingereza imeagiza dozi Milioni 100 ambazo...
  4. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda zatajwa kushiriki majaribio ya chanjo ya HIV

    Tanzania na Uganda zimetajwa kuwa kati ya nchi nne za Afrika kushiriki kwenye majaribio ya chanjo ya virusi ya UKIMWI, ikiwa ni sehemu ya jaribio la kwanza barani Afrika kujaribu chanjo mbili mpya dhidi ya VVU. Imearifiwa kuwa tayari majaribio yameanza wiki hii nchini Uganda na Afrika Kusini...
  5. Leak

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, kujipa muda kabla ya kuagiza chanjo ni jambo jema lakini kukataa chanjo ni jambo ambalo halitowezekana na halitakuwa la busara!

    Wasalaam wana jamvi. Wanajamvi wasalaam, bila shaka kila mtu anajua fika kabisa kuwa janga la Corona limeathiri dunia na uchumi wa dunia kwa ujumla kabisa. Na ni wazi kabisa Tanzania tuna Neema ya kipekee sana kwani ugonjwa huu haujawa na atahari kubwa kama nchi nyingine za wenzetu Na katika...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono kwa asilimia mia Serikali kutoagiza Chanjo ya Corona kutoka nje

    Naiunga Mkono Serikali kwa ASILIMIA MIA isiruhusu wala kuagiza CHANJO ya Corona. Hii ni kutokana na taarifa zinazozunguka kuhusu uwezekano wa chanjo kutokuagizwa kuleta hapa nchini. Hii ni kutokana na mwenendo mzima wa hali ya Ugonjwa Duniani ambayo inaweza kutuoatia taswira ya chanjo yake...
  7. Queen Esther

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona ni hiari au lazima?

    Wajumbe GT's hamjambo? Mwenye ufahamu anieleweshe; chanjo ya ugonjwa wa Corona 19 ni lazima au la? Nimeuliza hivyo kwasababu zifuatazo:- 1. Kila mtu anaongea lakwake watu wanashindana kwa kuwafokea Watanzania. 2. Kama chanjo ipo na ukichanjwa hupati, kwanini waliochanjwa wasifurahie maisha...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania COVID-19: Tanzania yakataa chanjo ya kigeni, yalenga tiba ya kiasili

    Na Berna Namata Dodoma, Tanzania Tanzania haitaagiza kinga ya kuzuia maambukizi ya virusi vya corona, Wizara ya Afya imesema. Badala yake, msemaji wa Wizara ya Afya Gerald Chami alisema, serikali inaendelea na shughuli ya kufanyia majaribio tiba za kiasili. “Hakuna mipango ya kuagiza chanjo...
  9. babu M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kizzmekia Shanta Corbett mwanamke mweusi aliyeusika katika ufumbuzi wa chanjo ya Covid 19!!

    Dr. Kizzmekia "Kizzy" Shanta Corbett ni Viral immunologist katika National Institute of Allergy and Infectious Diseases, National Institutes of Health (NIAID NIH) based in Maryland - USA. Ni scientific lead of the VRC's Coronavirus Team. Mchango wake na team yake ulikuwa kwenye SARS-CoV-2...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania WHO kutoa chanjo bilioni 1 kwa ajili ya nchi za kipato cha chini na cha kati

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kuwa wamepata chanjo bilioni 1 kwa ajili ya nchi za kipato cha chini na cha kati. Ghebreyesus alifanya mkutano na waandishi wa habari katika makao makuu ya WHO huko Geneva, Uswizi, akitumia njia ya video...
  11. luangalila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchelewa kwa chanjo ya Corona Afrika

    Wadau, hii habari huenda ikawa sio nzuri kabisaa hasa kwa taifa kama la Kenya, Rwanda ambayo kila kunapokucha wanashindana kuandikisha visa vipya. Sasa kufuatia kuibuliwa kwa chanjo ya Covid, wataalm wanadai bara la Afrika litakuwa la mwisho kupatiwa chanjo hiyo. Hapa wazungu wamewa-betray...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa chanjo ya Corona ya Pfizer na BioNTech wadukuliwa

    Kumetokea shambulizi la kimtandao ambalo limezilenga data za makampuni yaliovumbua chanjo ya virusi vya corona, Pfizer na BioNtech, likiwa ni sehemu ya uhalifu wa kimtandao ambao unayoyalenga Makampuni ya Dawa ya Ulaya (EMA) huko mjini Amsterdam, Uholanzi. Taarifa hiyo imetolewa kwa pamoja na...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Marais Barack Obama, George W Bush na Bill Clinton wajitolea kupata chanjo ya Corona

    Waliokuwa marais wa Marekani Barack Obama, George W. Bush na Bill Clinton wamejitolea kupewa chanjo ya ugonjwa wa corona kwa uwazi kabisa. Watatu hao ambao wawili ni wa chama cha Democrat na mmoja wa Republican wamesema kuwa watapata chanjo hiyo punde tu itakapoidhinishwa na wadhibiti wa...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Putin hataki Chanjo ya COVID-19 ila anainadi kwamba iko salama

    Warusi walitangaza mapema kabisa kwamba wamepata " Vaccine" dhidi ya COVID-19. Na huyu mwamba Putin akasema binti yake moja amepata hiyo chanjo na iko poa. Yeye mwenyewe amekwepa kupata chanjo kwa visingizio kibao. Sasa Obama, Bush na Clinton wao wamesema watapata chanjo ya covid 19 na ma...
  15. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania SoC01 Chanjo ya COVID-19: Yote unayohitaji kufahamu

    Kampuni ya Kitabibu ya Moderna imetangaza nia yake ya kuomba kibali cha kuthibitishwa kwa chanjo yake ya COVID-19 kwa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Marekani. Moderna sasa inaungana na kampuni nyingine mbili za kitabibu zinazosubiri kuthibitishwa kwa chanjo zao na Mamlaka ya Chakula na Dawa...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tafiti zinaonesha Waafrika wanadhani chanjo ya COVID-19 ni kutumika kama majiribio, Red Cross yaonya

    Mkuu wa Shirika la Msalaba Mwekundu, Francesco Rocca amesema kwamba taarifa zisizo sahihi kuhusu chanjo ya COVID-19, zinaweza kusababisha ''janga la pili.'' Rocca, rais wa Shirikisho la Kimataifa la Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu, ameuambia mkutano uliofanyika kwa njia ya video kwamba...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WHO yaitaka Afrika kujiandaa na usambazaji wa chanjo ya corona

    Shirika la Afya Ulimwenguni-WHO, Alhamisi limezisihi nchi za Afrika kuandaa mipango ya kusambaza chanjo za COVID-19 kadri zitakavyopatikana. Utafiti mpya wa WHO uligundua kuwa nchi nyingi za Kiafrika haziko tayari kwa kile kitakachokuwa harakati kubwa zaidi ya chanjo barani humo. Kupanga na...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Virusi vya Corona kuuzwa kwa bei nafuu kwa nchi masikini

    Shirika la UNICEF limetangaza kuhusu mkakati wake wa kusambaza chanjo ya Covid-19 kwa Kenya na nchi nyingine zinazoendelea, limeripoti gazeti la daily Nation nchini Kenya. Chanjo zote zitakazonunuliwa kupitia Covax zitauzwa kwa shilingi 300 za Kenya (takriban dola 3) kwa nchi zinazoendelea...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Marekani kuanza utoaji wa chanjo ya COVID mwanzoni mwa Desemba

    Marekani inataraji kuanza utoaji wa chanjo dhidi ya virusi vya corona mwanzoni mwa mwezi Desemba mwaka huu. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa afisa wa juu wa afya katika serikali ya Marekani. Kuanza kutolewa kwa chanjo kunaweza kuleta mabadiliko makubwa katika mapambano ya virusi hivyo ambavyo...
  20. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Afrika inatakiwa tujenge taasisi yetu ya kutafuta tiba na chanjo

    Habarini wakuu. Iko hivi, utafiti wa dawa hadi ikaingia sokoni ni gharama kubwa sana na una mlolongo mrefu balaa. Hugharimu mabilioni ya dola na makumi ya miaka. Makampuni mengi kabla ya kufanya utafiti wa dawa kwanza huangalia kama italipa? Je wanaoumwa wanaweza kununua dawa? Hii imepelekea...
Back
Top Bottom