chanjo

Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.

Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.

Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.

Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili

Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
  1. TODAYS

    JamiiForums Tanzania San Diego, Marekani: Sokwe kupewa chanjo dhidi ya COVID-19

    Tuendelee juwa na subra, kwenye bustani ya wanyama ya sandiego huko San Diego, nyani na sokwe ndiyo wanyama wa kwanza kupatiwa chanjo tofauti na binadamu kwa kupokea chanjo ya COVID-19. Habari hii inakuja baada ya masokwe wanane katika bustani hiyo ya wanyama waliopimwa na kujaribiwa kukutwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Corona haina kinga kwa maana ya Chanjo - Jikinge kwa hali na mali chukua tahadhari

    Ndugu wananchi wenzangu napenda kuwaambia tu na huko mitandaoni kumejaa habari na jipya,jamaa amepata chanjo za dozi mbili kasafiri amerudi kupimwa ameoneka positive almanusura azimie. Hizi chanjo zipo kwenye majaribio na safari hii zinapelekwa direct kwa binadamu, ndio ikasemwa haata...
  3. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Chanjo au majaribio ya dawa ya COVID-19 (Clinical Trial )

    PFizer ni kampuni kubwa na maarufu ya tafiti ya madawa nchini Marekani na maarufu pia kufanya majaribio ya Dawa zake barani Afrika. Katika kutafuta Chanjo ya Korona 2020 wameshirikiana na Kampuni ya Ujerumani BioNTech (Pengine katika Kujikosha) huku wakidai Chanjo yao ina ufanisi wa 95% Na...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya chanjo za corona yaweza kurudi sifuri

    Imeelezwa kuwa mafanikio yaliyopatikana ya hivi karibuni dhidi ya corona covid 19 iliyoitesa dunia kwa zaidi ya mwaka yanweza yote kupotea. Sababu ya kwanza ni kutokana na watu wengi kulegeza tahadhari dhini ya ugonjwa huo na sababu ya pili ni kutokana na kuwa kile kirusi cha awali...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Malawi waanza kupokea chanjo za Corona

    Nchi ya Malawi nayo leo imepokea Shehena ya Chanjo kwa ajili ya raia wake ili kujikinga na Ugonjwa hatari wa Corona . Natoa wito kwa serikali ya Malawi kuwahurumia watanzania wa mpakani ili nao wapewe fursa ya kuchanjwa wakitaka , hasa wale wa vijiji vya Njisi , Kasumulu , Isaki , Kabanga na...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nchi karibu zote duniani sasa zinapigana kumbo kuagiza chanjo dhidi ya ugonjwa wa Corona

    Naam sasa nchi zimeamuka, nchi mbali mbali duniani zinapeleka oda zao kupata chanjo ya CORONA. teyari jirani zetu Kenya chanjo hiyo imetua nchini mwao kwa GULF air majuzi. Nchi zingine zimeenda mbali zaidi hazitoruhusu wageni kuingia nchini mwao pasi na kupata chanjo hiyo ya Corona Pia shirika...
  7. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya wa kwanza (Mkurugenzi Mtendaji wa Wizara ya Afya) apokea chanjo dhidi ya Corona

    Nitafikiwa lini jameni, hebu tuambiwe wapi tupange foleni, sisi tumeelimika na tunafuata mbinu za kisayansi, hatupo radhi kutolewa kafara kwa misingi ya imani ya mtu mmoja, jameni dini zipo nyingi na kila mtu ana imani yake na Mungu wake, ila serikali ipo kwa ajili ya kuongoza kwa misingi ya...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Nchi zote duniani sasa zinapigana kumbo kuagiza chanjo ya Corona

    Naam sasa nchi zimeamuka, nchi mbali mbali duniani zinapeleka oda zao kupata chanjo ya CORONA. Tayari jirani zetu Kenya chanjo hiyo imetua. Nchi zingine zimeenda mbali zaidi hazitoruhusu wageni kuingia nchini mwao pasi na kupata chanjo hiyo ya Corona mfano Saudi Arabia, Imetangaza wazi kabisa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Arusha: Watoto 104,000 wachanjwa chanjo ya kichocho na minyoo

    Jumla ya watoto 104,000 wenye umri kati ya miaka 5 hadi 14 wamechanjwa Chanjo ya kichocho na minyoo mkoani Arusha. Source Upendo tv Maendeleo hayana vyama!
  10. Cannabis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umoja wa Madaktari wa Kikatoliki Kenya watoa tamko la kupinga chanjo ya corona

    Umoja wa Madaktari wa Kikatoliki nchini Kenya umetoa tamko la kupinga utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 kwa madai ya kulinda afya za watu na utakatifu wa maisha. Tamko hilo limesema wanaona kuna nia isiyo njema na upotoshaji katika zoezi zima la utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa...
  11. Mr Putin

    JamiiForums Tanzania Rwanda wasambaza chanjo kwenye hospitali za mikoa

    Ndege ya Qator na KLM zilizobeba chanjo,zilipofika tu!wa katumia Helicopters kusambza kwenye hospitali za mikoa.
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wenzetu waanza kupewa kadi za kuthibitisha wamepata chanjo ya Corona kama Jumuiya ya Kimataifa inavyoelekeza

    Kama wote mlivyokwisha sikia kwamba kuna maeneo bila kuwa na ushahidi kwamba umechanjwa ili kujikinga na Corona hutakanyaga wala kutia pua yako, basi nchi zilizostaarabika na kuamua kufuata mwongozo wa WHO zimeanza kuwapa kadi za uthibitisho wa chanjo raia wake waliochanjwa ili wawe huru...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Watengeneza chanjo bandia ya Covid-19 walivyonaswa Afrika Kusini, China

    Polisi nchini China na Afrika Kusini wamekamata maelfu ya dozi bandia za chanjo ya Covid-19 na kuwakamata wahusika, Polisi wa kimataifa, Interpol wameeleza. Polisi wamewakamata watu 80 kwenye kiwanda nchini China kwa madai ya kutengeneza chanjo bandia , ambapo dozi 3,000 zilibainika tayari...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Changamoto: Mazrui aapishwa kuwa Waziri wa afya Zanzibar; Je, Zitto Kabwe atamshawishi alete chanjo za Corona?

    Waswahili husema mchawi mpe mwanao amlee. Nassor Mazrui ameapishwa leo kuwa Waziri wa Afya wa SUK Zanzibar. Zitto Kabwe ambaye ni KC wa ACT Wazalendo siku zote amekuwa mstari wa mbele kuponda namna Serikali inavyoshughulikia suala la Corona na amekuwa akitumia zaidi mitandao ya kijamii hasa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Siwalaumu wanaokimbilia chanjo kwa sababu hata namna bora ya kutumia barakoa hawajui!

    Ukiangalia watu wetu wengi hapa nyumbani barakoa wanayo moja kuna wakati anaivaa na wakati mwingine anaivua na kuiweka ama mfukoni au kwenye pochi. Wale wanaotumia za " kujishonea wenyewe" ndio shida zaidi kwa sababu haifuliwi hadi week end. Kwa utamaduni huu usitegemee watu hawa kuhoji...
  16. Buyaka

    JamiiForums Tanzania Marekani: Maaskofu wa Kanisa Katoliki wapinga chanjo ya Covid-19 ya Johnson & Johnson

    OFISI KUU ya Mafunzo ya Imani ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Marekani. Pamoja na maaskofu wa dayosisi kadhaa nchini humo wamewaonya wana kondoo wao kuepuka chanjo ya Covid-19 inayozalishwa na kampuni ya Johnson and Johnson kwa sababu imekiuka misingi ya maadili ya kanisa kuanzi...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rwanda wapokea chanjo ya Covid-19 kupitia Covax

    Rwanda inapokea awamu ya kwanza ya chanjo ya Covid 19 yenye dozi zipatazo 240,000 za Astra Zenneca kutokea za Oxford. Dozi hizo zinatarajiwa kufika nchini humo siku ya jumatano asubuhi. Aidha, awamu ya pili ya ya upokeaji wa chanjo hizo inatarajiwa kuwa na jumla ya dozi 171,480.
  18. Jackal

    JamiiForums Tanzania Wakati Ghana inapokea chanjo Za AstaZeneca, Angela Merkel ajiandaa kuzitupa chanjo hizo milioni 1.3

    Angela Merkel Prepared To Let 1.3million Doses Of AstraZeneca Vaccine Go To Waste German Chancellor Angela Merkel when asked on Wednesday 24 if she would have the AstraZeneca vaccine to set an example, after it was reported that only 15 percent of the doses sent to her country had been accepted...
  19. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Saudia yasema "Mwaka huu ni wale Waislamu waliopata chanjo ya COVID-19 pekee ndiyo wataruhusiwa kuhiji Makka/Madina"

    Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Zitto Kabwe. Ameichagiza BAKWATA kuishikiniza serekali ya awamu ya 5 iruhusu chanjo kwa Watanzania ili waweze kutekeleza hii nguzo muhimu sana kwa Waislamu. Hili ni la kwako mzee wetu Mufti Zuberi.....kabiliana na swahiba wako asiyetaka chanjo ili Mungu aendelee...
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tuache utani, tunataka chanjo ya COVID-19!

    Wanasayansi wana wajibu mkubwa katika kulinda Afya ya Jamii. Wajibu mkubwa zaidi ni madaktari walio wizara ya Afya. Kujifukiza ni hatua moja tu katika kupambana na gonjwa hili baya la covid19. Sasa ni wakati wa kuacha utani, wananchi tunataka chanjo! Kenya wamepata Uganda wameoata Rwanda...
Back
Top Bottom