Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.
Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.
Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.
Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili
Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
Watu 279 wamepata madhara baada ya kuchoma chanjo ya COVID19 ya Astrazeneca huku watu 7 wakiwa na dalili za hatari na mmoja akiripotiwa kufariki.
Bodi ya Famasia na Sumu(PPB) ya Kenya imeanza uchunguzi wa kifo kilichoripotiwa na majibu yatatoka Ijumaa, Aprili 9, 2021.
Kaimu Mkurugenzi wa PPB...
Tulipopiga kelele kuhusu hili suala tulionekana ni mazuzu, viongozi wa Bakwata walikuwa busy kumsifu na kumtukuza mfalme huku wakisema hili jambo ni story za kitaa. Muda ni mwalimu mzuri, haya wote tuongee lugha moja sasa.
========
Mamlaka za nchini Saudi Arabia zimesema watu waliopata chanjo...
Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo.
Kigwangwalla amesema wataalamu wa Afya wana jukumu la kumshauri Rais Samia na yeye kama mbunge...
Nimewakumbuka hawa watafiti wetu,
Hivi kuna muendelezo wowote juu ya harakati zao za covidol/nimcaf katika kutibu corona.
Vipi msimamo wao juu ya hizi tiba asilia na kupiga nyungu?
Kuna yule mkuu wa mkoa wa Mtwara huko, naye ameshamaliza usajili wa waganga?
Naona wamekuwa kimya kama hakuna...
Afisa Mkuu wa Tiba na Mshauri wa Tiba wa Uingereza, Chris Whitty amesema hakutakuwa na lockdown wataishi na #COVID19 kama mafua.
Ameshauri Serikali yake kujifunza kuishi na #CoronaVirus pia amesema vinavyotajwa kuwa virusi vipya ni uongo.
======
The idea that Covid variants can be stopped...
Seven deaths in UK among AstraZeneca jab recipients after blood clots
SATURDAY APRIL 03 2021
This picture shows vials of the AstraZeneca Covid-19 vaccine in Paris on March 11, 2021.AFP PHOTO
By AFP
The UK medical regulator said Saturday that out of 30 people who suffered blood clots after...
Madagascar imeamua kubadili mtazamo wake juu ya kukabiliana na virusi vya corona na kujumuika na jitihada za kimataifa kupata chanjo ya corona.
"Kuna hatua kadhaa ambazo inabidi kupitia kabla ya kupata chanjo hiyo lakini kujisajili ndio jambo la msingi na hatua muhimu kabla ya kupata chanjo...
* MATUMIZI YA CHANJO KWA KUKU*
👉Kwanza Kabisa ifahamike chanjo Kwa kuku sio chaguo ni lazima kwa usalama wa KUKU wako
👉Pia kuchanja kuku sio Kwa vile unavojiskia Ila Kwa Ratiba maalumu inayowekwa kutokana na umri wa kuku
HATUA ZA KUFUATA ZA KUTUMIA CHANJO IPASAVYO
👉Nunua chanjo, kama...
Mabibi na mabwana pana habari za kutia moyo sana tokea kwa wale magwiji wa tiba ambako mh. Kabudi aliwahi kufuata dawa ya kutibu Corona kwa niaba yetu.
Hatimaye Madagascar rasmi wamejisajili leo kwenye ule mpango maarufu wa chanjo za bure COVAX...
Serikali ya Uganda imeanza mchakato wa kutengeneza chanjo ya Covid 19 kama mataifa mengine duniani.
Mwaka jana Rais Yoweri Museveni alisema wanasayansi wa Uganda wanajaribu kufanya utafiti kuanza kutengeneza chanjo yao na tiba ya Covid-19 ambayo tayari iko kwenye majaribio.
''Ninafanya kazi na...
Wakuu
Nikamtazama bwana Yoweri Museveni wa pale Uganda
Kisha nikamtazama Uhuru Kenyatta
Nikaja kumtazama Paul Kagame , huyu kidogo nikashtuka misimamo yake inarandana sana na Hayati Magufuli nikajiuliza maswali machache ambayo kidogo yanahitaji majibu mengi, huenda hata wewe ukawa...
Hatimaye wakuu wa EA wamepata chanjo ya kujikinga na gonjwa hatari la Corona, isipokuwa Rais wetu Mama Samia.
My Take
Uzi hauhitaji hoja yeyote,ni taarifa tu
Rais wa Kenya na mke wake wamekuwa miongoni mwa Wakenya wa mwanzo kabisa kujipatia chanjo ya Corona
Hii ita motivate Wakenya wengi kupata chanjo na hatimaye kumaliza tatizo la corona nchini mwao .
Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya
Kaa aina ya Horseshoe ni wakongwe kuliko dinosaurs. Wamekuwepo kwa takribani miaka milioni 450.
Zipo aina nne za kaa hao, aina tatu zinapatikana kwenye bara la Asia huku aina moja ikipatikana Marekani
Pamoja na kuwa wameishi kwa mda mrefu lakini pia wamesaidia maisha ya mwanadamu kuendelea...
Nimekuwa nikifuatilia upokeaji wa chanjo ya corona Kenya toka ilipoanza kutolewa, hii ikanifanya nimtafute rafiki yangu wa Kenya kumuuliza kama wanaendelea kuvaa barakoa baada ya chanjo, na cha ajabu nilishtuka kupata jibu kwamba lazima uendelee kuvaa barakoa hata kama una certificate ya chanjo...
Jamani ni ushauri tena tumeshaona kwa muda mfupi tu ni viongozi wangapi wamepoteza maisha mwaka huu tu kwa miezi mitatu. Lakini hatujui ni Watanzania wangapi hasa wenye umri mkubwa na wale wenye matatizo mengine ni wangapi wamepotea. Mimi binafsi nimechanjwa na nilikuwa tayari kupigwa chanjo...
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ambaye pia ni Mbunge wa Kawe amesema viongozi wa dini hawapingi chanjo ya Corona bali wanashangazwa kwa namna chanjo hiyo ilivyotafitiwa kwa muda mfupi sana
Askofu Gwajima amesema watakubali kupokea chanjo endapo patafanyika utafiti wa kutosha utakaobainisha...
BBC Dira ya Dunia inaripoti kuwa zaidi ya nchi 10 zimezuia matumizi ya chanjo ya Corona iitwayo Astra Zeneca inayosababisha damu kuganda kwa baadhi ya watu.
Nchi hizo zimesema inabidi zifanye uchunguzi na utafiti wa kutosha kuhusu usalama wa chanjo hiyo kabla hazijaruhusu tena.
Rais Magufuli...
Serikali ya Rwanda imesema haitasitisha mpango wa kutoa chanjo ya Astrazeneca.
Afisa mkuu wa mamlaka ya afya Dkt. Sabin Nsabimana amewaambia waandishi wa habari kuwa chanjo ya Astrazeneca haina madhara.
Tangu wiki mbili zilizopita Rwanda imetoa chanjo kwa watu wapatao 257,000, ambapo theluthi...
Tangu kuingia kwa Virusi vya Corona wataalamu wa Afya wamepambana kutafuta dawa na chanjo kukabiliana na gonjwa hili hatari bila mafanikio.
Hivi karibuni ziligundulika chanjo mbalimbali ikiwemo ASTRAZENECA ambayo ilipitishwa na Shirika la Afya Duniani kuanza kutumika kwa binadamu ili kupunguza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.