chanjo

Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.

Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.

Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.

Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili

Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
  1. Q

    Waziri wa Afya na Naibu wake wataweza kuratibu upatikanaji wa chanjo waliyokuwa wanaipinga?

    Kama mtu umelazimishwa kufanya kitu ulichokuwa hukiamini ni vigumu sana kukitekeleza kwa ufanisi. Kuratibu ni pamoja na Kuagiza, kusafirisha, kutunza, kusambaza na kuhamasisha jamii waliyoiaminisha chanjo hazifai ili ipate chanjo. Kuhamasisha jamii kunawa mikono tiririka. Kuhamasisha watu...
  2. Analogia Malenga

    Griffiths: Hakuna mbadala wa chanjo kwa wanaotaka kusafiri kimataifa

    Bosi wa Uwanja wa Ndege wa Dubai, Paul Griffiths amesema haoni mbadala wa Hati za Kusafiria ‘Passports’ ambazo zitaambatanisha na chanjo za COVID19 ambao hawatakuwa wamechanjwa hawatasafiri Hatua hiyo imekuwa ikikosolewa kuwa inabagua wale ambao hawana uwezo wa kupata chanjo, lakini Griffiths...
  3. B

    Zanzibar: Mahujaji Kupata Chanjo ya Corona

    Mabibi na mabwana inatia moyo sana tunapokuwa na serikali sikivu kama za awamu hii. Madhali haya mambo ni hiari ya mtu, kwanini tupangiane? Wewe hutaki chanjo? Si ubakie bila kuchanjwa? Kwani pilipili usizozila zikuwashe wewe vipi? https://dailynews.co.tz/news/2021-05-14609eaf9137c04.aspx...
  4. R

    Rais, Mama Samia ni kweli tuna utaalamu na wataalamu wa kisayansi kujiridhisha kama chanjo za corona zinafaa au hazifai?

    Simply hatuna wataalamu wa kubaini kama chanjo inafaa au haifai kwetu! Haya mambo siyo rahisi kama wanavyokuaminisha. Hatuna Investigators brochure (IB) za hizo chanjo, then how do you judge the safety of an investigational product? (sidhani kama J&J, Moderna, Pfizer utawalazimisha wakupe hizo...
  5. funaku

    Nashauri kamati ya kumshauri Rais kuhusu chanjo ifuatilie hili pia

    Natambua kuwa Kamati tajwa imepewa hadidu za rejea kadhaa ili kumashauri Rais kuhusu msimamo wa kupokea kukubali chanjo ya Corona au la. Ni wazi kuwa Kamati imepewa maswali na hadidu za rejea kadhaa kuhusu ugonjwa huu. Napenda niwaongezee jambo muhimu la kufuatilia japo linaweza kuwa nje ya...
  6. meningitis

    Maswali muhimu kwa chanjo ya COVID-19

    Yapo maswali muhimu ya kuendelea kujuliza kuhusu chanjo ya kirusi cha corona. Ieleweke kuwa jamii ya virusi vya mafua imekuwepo nchini Tanzania kwa muda mrefu. Hakuna mtanzania ambaye hajawahi kuugua mafua japo mara mbili kila mwaka. Ni ukweli usio shaka kwamba Tanzania na dunia imekuwa...
  7. Kinuju

    Rais Samia: Tanzania haitakubali chanjo ya Corona kabla ya kujiridhisha

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu leo akiwa anahutubia kwenye baraza la Eid amewatoa hofu mashehe na watanzania kwa ujumla kuwa Tanzania siyo uwanja wa majaribio na haitakubali kupokea chanjo ya Corona kabla ya kufanya utafiti wa faida na madhara ya chanjo hiyo kwa watanzania. My take. Chanjo ya...
  8. L

    Chanjo ya China kuidhinishwa na WHO ni muhimu kwa mapambano ya COVID-19 barani Afrika

    India ni nchi inayotengeneza na kutoa chanjo ya Corona kwa wingi zaidi kwa nchi za Afrika kupitia mpango wa COVAX, lakini wimbi jipya la maambukizi ya virusi linalotokea nchini humo litasababisha ugumu kwa utoaji wa chanjo. Kutokana na nchi nyingi za Afrika kumaliza sehemu ya kwanza ya chanjo...
  9. Cannabis

    Wataalamu wasema Askofu Gwajima amepotosha ukweli kuhusu chanjo ya corona

    Dar es Salaam/Dodoma. Wakati Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ikihitimisha mjadala wa bajeti yake jana, baadhi ya wataalamu wamemkosoa Askofu Josephat Gwajima kwa msimamo wake kuhusu chanjo ya corona. Gwajima, ambaye ni mbunge wa Kawe (CCM) alitoa angalizo hilo Mei...
  10. E

    Tanzania hatuhitaji chanjo- tuko "stage" ambayo wengine wakitumia chanjo wanaitafuta

    Nimefuatilia matangazo ya who nimegundua tanzania hatuhitaji chanjo na hili ndilo jambo ambalo wataalamu wetu wanatakiwa kujadili. Who wanasema chanjo itaondoa "lockdown" na mtu aliyepata chanjo anaweza kupata maambukizi, anaweza kuambukiza na hivyo wanasema chanjo inazuia madhara...
  11. K

    Askofu Gwajima ni mpotoshaji sana suala la Chanjo za COVID-19

    Sijawahi kuanzisha uzi hapa lakini baada ya kusikiliza clip ya Gwajima jana nilikereka sana na uongo wake. Hakuna Shirika linaitwa emergency drug authorization USA kuna FDA Food and Drug Administration sio Flag and Drug Administration na ndio Regulatory Authority pekee ya vaccine drug and food...
  12. Geza Ulole

    DRC to return AstraZeneca vaccines to UNICEF

    Summary The decision was made to ensure usage of the vaccines before the expiry date on June 24. The DRC has not issued a vaccination plan to support a mass vaccination campaign and has an insufficient number of vaccination sites. The Democratic Republic of Congo says it will return to the...
  13. J

    Dkt. Kigwangalla: Uchumi wa dunia utakua kwa kasi baada ya COVID-19 kudhibitiwa, tuchangamkie CHANJO sasa

    Mbunge wa Nzega vijijini Khamis Kigwangalla amesema utafiti unaonyesha uchumi wa dunia utagrow kwa kasi mara tu baada ya COVID-19 kudhibitiwa. Tanzania siyo kisiwa hivyo tuungane na dunia katika mapambano na tuanze utaratibu wa kufuatilia Chanjo sasa ili tusiachwe nyuma, amesema Dr Kigwangalla...
  14. Analogia Malenga

    WHO: Mtu 1 kati ya 500 anaweza kupata chanjo ya Ugonjwa wa COVID-19 kwa Nchi zinazoendelea

    Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ni Mtu 1 kati ya 500 kutoka Nchi za kipacho cha chini ndio ana uwezo wa kupatiwa Chanjo ya COVID19 ikilinganishwa na Nchi zilizoendelea ambapo mtu 1 kati ya 4 amepata Chanjo. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) António Guterres amesema hakuna...
  15. Analogia Malenga

    Mkataba wa EU na AstraZeneca kumalizika Juni, EU imeanza maongezi na Pfzer

    Kamishna wa Umoja wa Ulaya anayehusika na Soko la Ndani, Thierry Breton amesema umoja huo haujarefusha mkataba wa kuendelea na chanjo ya Covid-19 ya ubia wa makampuni ya Kiingereza na Kisweden ya AstraZeneca. Breton ameiambia televisheni ya Ufaransa "France International" kwamba hawajarefusha...
  16. funaku

    Tuache kuwa madalali na soko la chanjo ya Covid 19

    Ni vizuri Serikali badala ya kutaka kununua chanjo ya Covid 19 ambayo haijakamilisha hatua muhimu za ufanisi ni vyema ikatoa fedha kwa wanataaluma wetu waliopo nchini wafanye utafiti wa kubuni chanjo ya Ukimwi na Hatimaye Covid 19. Itasikitisha sana tukiingizwa mkenge wa kununua au kukopeshwa...
  17. beth

    Chanjo ya China ya Sinopharm yapata idhini ya WHO

    WHO imetoa idhini ya dharura kwa Chanjo dhidi ya COVID19 iliyotengenezwa na Kampuni ya China ya Sinopharm. Imeshauri itolewe kwa dozi mbili kwa walio na miaka 18 na kuendelea. Japokuwa Chanjo hiyo tayari imetolewa kwa Mamilioni ya watu China na sehemu nyingine, idhini ya WHO ni mwongozo kwa...
  18. beth

    Canada yaidhinisha Chanjo ya Pfizer kutumika kwa watoto wenye miaka 12-15

    Canada imeidhinisha matumizi cha Chanjo ya Pfizer katika kupambana na Virusi vya Corona kwa Watoto wenye umri kati ya miaka 12 na 15. Inakuwa Nchi ya kwanza kutoa idhini kwa walio na umri huo. Mamlaka imesema Chanjo ni salama na inafanya kazi inapotumika kwa walio na umri mdogo. Tayari Canada...
  19. FRANCIS DA DON

    Kampuni ya Pfizer yasema inatarajia mapato ya dola bilioni 26 mwaka huu kutokana na mauzo ya Chanjo ya Corona

    Wanatarajia chanjo yao kuwa ‘income booster’ kwa miaka mingi ijayo; na wanatarajia kuingiza jumla ya mapato ya dollar bilioni 26 kwa mwaka huu peke yake. ======= Pfizer coronavirus vaccine revenue is projected to hit $26 billion in 2021 with production surge By Christopher Rowland May 4, 2021...
  20. Webabu

    Venezuela kutumia chanjo ya Cuba inayoitwa Abdala

    Waziri wa afya wa Venezuela Carlos Alvarado amesema nchi yake itaanza majaribio ya hatua za mwisho ya mojawapo ya chanjo za corona zilizotengenezwa na mshirika wake Cuba na ambayo imeonesha mafanikio mazuri mpaka sasa.Chanjo hiyo inaitwa Abdala jina linalotokana na msahiri mwanamapinduzi wa...
Back
Top Bottom