Seven deaths in UK among AstraZeneca jab recipients after blood clots

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,137
79,260

Seven deaths in UK among AstraZeneca jab recipients after blood clots​

SATURDAY APRIL 03 2021​

Thailand pic

This picture shows vials of the AstraZeneca Covid-19 vaccine in Paris on March 11, 2021.AFP PHOTO

By AFP

The UK medical regulator said Saturday that out of 30 people who suffered blood clots after receiving the Oxford-AstraZeneca vaccine, seven have died.

The British acknowledgement of deaths comes as several European countries have paused the use of the AstraZeneca jab over a potential link to blood clots.

The UK's Medicines and Healthcare products Regulatory Agency said in a statement that "Out of the 30 reports up to and including 24 March, sadly 7 have died."

The Netherlands on Friday halted vaccinations with the AstraZeneca jab for people under the age of 60 after five new cases among women, one of whom died.

Germany took a similar decision earlier this week.

The European Medicines Agency (EMA), which like the World Health Organization previously declared the AstraZeneca vaccine safe, is expected to announce updated advice on the issue on April 7.

The EMA said again on Wednesday it believes the vaccine is safe and that experts have found no specific risk factors such as age, gender or medical history.

The UK regulator said that the 30 reports of thrombosis, submitted by medics or members of the public via a government website, came after 18.1 million doses of the vaccine had been administered in the country.

Most of the cases (22) were cerebral venous sinus thrombosis, a rare condition when a blood clot forms in the brain.

Eight other cases saw people suffer thrombosis and low levels of blood platelets, which help blood clot.

There were no reports of blood clots from the Pfizer/BioNTech vaccine it said, adding that "our thorough review into these reports is ongoing."

The regulator's website says that on the basis of current data, the benefits of the vaccines against COVID-19 "continue to outweigh any risks".

AstraZeneca said last month following US efficiency trials that its vaccine is 79 percent effective at preventing the disease and does not increase the risk of blood clots.

The UK has administered more than 31 million first vaccine doses, using both the Oxford-AstraZeneca and the Pfizer-BioNTech jabs. People cannot choose which one they get.

The UK in June 2020 ordered 100 million doses of the Oxford-AstraZeneca vaccine and supported its development. It also ordered 30 million doses of the Pfizer-BioNTech vaccine the same year.

Na WHO bado wanakaza fuvu kuwa chanjo hiyo ni salama iendelee kutumiwa.

Shirika la ajabu sana hili.
 
Uingereza umetangaza vifo vya watu saba ambao ni kati ya watu 30 walioripotiwa kuganda damu baada ya kupata chanjo ya AstraZeneca.

Uingereza ilisitisha utoaji wa chanjo kwa wenye umri chini ya miaka 60 ambao ndio waliripotiwa kuganda damu.

Mbali na madhara ya kuganda damu yanayoripotiwa WHO ilisema kuwa hakuna uhusiano wa kuganda damu na chanjo ya AstraZeneca.
 
Huyo Mkurugenzi mwenyewe wa WHO, Muethiopia alikuwa mwajiriwa wa taasisi za Bill Gates, unategemea nini hapo.
Sijawahi kulijua hilo. Alafu hii chanjo si ndio imetengenezwa hukohuko Uingereza walipositisha kutumia?
 
Hizi chanjo bado sana wanalazimisha tu
Leo hii nimeona EU ime-approve chanjo zinazo zalishwa huko Uchina.

Binafsi naona kama Mataifa ya Kiafrika yataona kuna umuhimu wa raia wao kuchanjwa itakuwa vyema kama watanunua chanjo kutoka Uchina na Urusi - chanjo za magharibi zina walakini mkubwa sana.
 
Hayo mambo ya chanjo yalishatushinda, tuliambiwa tufanye mazoezi na nyungu
 
Seven deaths in UK among AstraZeneca jab recipients after blood clots​

SATURDAY APRIL 03 2021​

Thailand pic

This picture shows vials of the AstraZeneca Covid-19 vaccine in Paris on March 11, 2021.AFP PHOTO

AFP-logo

By AFP
More by this Author

The UK medical regulator said Saturday that out of 30 people who suffered blood clots after receiving the Oxford-AstraZeneca vaccine, seven have died.

The British acknowledgement of deaths comes as several European countries have paused the use of the AstraZeneca jab over a potential link to blood clots.

The UK's Medicines and Healthcare products Regulatory Agency said in a statement that "Out of the 30 reports up to and including 24 March, sadly 7 have died."

The Netherlands on Friday halted vaccinations with the AstraZeneca jab for people under the age of 60 after five new cases among women, one of whom died.

Germany took a similar decision earlier this week.

The European Medicines Agency (EMA), which like the World Health Organization previously declared the AstraZeneca vaccine safe, is expected to announce updated advice on the issue on April 7.

The EMA said again on Wednesday it believes the vaccine is safe and that experts have found no specific risk factors such as age, gender or medical history.

The UK regulator said that the 30 reports of thrombosis, submitted by medics or members of the public via a government website, came after 18.1 million doses of the vaccine had been administered in the country.

Most of the cases (22) were cerebral venous sinus thrombosis, a rare condition when a blood clot forms in the brain.

Eight other cases saw people suffer thrombosis and low levels of blood platelets, which help blood clot.

There were no reports of blood clots from the Pfizer/BioNTech vaccine it said, adding that "our thorough review into these reports is ongoing."

The regulator's website says that on the basis of current data, the benefits of the vaccines against COVID-19 "continue to outweigh any risks".

AstraZeneca said last month following US efficiency trials that its vaccine is 79 percent effective at preventing the disease and does not increase the risk of blood clots.

The UK has administered more than 31 million first vaccine doses, using both the Oxford-AstraZeneca and the Pfizer-BioNTech jabs. People cannot choose which one they get.

The UK in June 2020 ordered 100 million doses of the Oxford-AstraZeneca vaccine and supported its development. It also ordered 30 million doses of the Pfizer-BioNTech vaccine the same year.

Screenshot_20210323-185125_WhatsApp.jpg magufuli alishawaambia mkawa mnambishia
Screenshot_20210323-185125_WhatsApp.jpg
 
Sijawahi kulijua hilo. Alafu hii chanjo si ndio imetengenezwa hukohuko Uingereza walipositisha kutumia?
Kweli imetengenezwa Oxford ila bado watu wanaendelea kuchomwa.

Na mimi nimechomwa nina mwezi sasa tangu nichomwe nasubiri ya pili.

Dawa yoyote Ina side effects zake kuna wengi haikuwadhuru na wachache sana imewadhuru.
 
Je, unaamini measures ulizochukua zilisaidia kukukinga na hao virusi? Au immunity yako tu ndio ilikusaidia na sasa umeingiza ugonjwa ndani ya mwili wako kwa mgongo wa chanjo?
 
Je unaamini measures ulizochukua zilisaidia kukukinga na hao virusi? Au immunity yako tu ndio ilikusaidia na sasa umeingiza ugonjwa ndani ya mwili wako kwa mgongo wa chanjo?

Katika maisha yangu nimechanjwa chanjo tatu na hii ni ya nne.

Tatu nilichanjwa home miaka ya nyuma kwa kinga pia.

Kwa kweli sijapata corona bado ila ni maamuzi yangu ndio yamenipelekea kupata chanjo hiyo.
 
Zeneca was ment for Africa believe me, huko walijidunga kwa bahati mbaya tu mpango ni kuua manyani yoote meusi
 
Watu saba wamefariki nchini Uingereza kutokana na damu kuganda mwilini baada ya kupewa chanjo ya Oxford-AstraZeneca, mamlaka ya kudhibiti dawa imethibitishia BBC.

Kwa ujumla wato 30 kati ya milioni 18 waliopewa chanjo hiyo kufikia Machi 24 wamekabiliwa na hali ya damu kuganda.

Bado haijulikani ikiwa ni bahati mbaya tu au athari ya kweli ya chanjo.

Shirika la udhibiti wa Dawa na Bidhaa za Afya linanasema faida ya chanjo zinaendelea kuzidi madhara yake.

Hata hivyo, hali ya kuganda kwa damu kwenye ubongo, kitaalamu "cerebral venous sinus thrombosis" au CVSTs zimesababisha nchi nyingine - zikiwemo Ujerumani, Ufaransa na Canada - kudhibiti utumizi wa chanjo hiyo.

Shirika la Afya duniani na Wakala wa Dawa wa Ulaya wanasema faida za chanjo hiyo huzidi hatari zozote.

RIP JPM
 
View attachment 1742268magufuli alishawaambia mkawa mnambishia View attachment 1742268
Unajua your level of ignorance haina mezani. Neno Astra asili yake ni ya kilatini na lina maana ya STAR

Sasa checki basi ulivyokuwa mjinga zaidi umeonesha translation ya neno Necare badala ya Neca.

Endelea kutizama conspiracy theories. Mnaamini mabeberu wanataka kuwaua wakati kila kukicha mnatumia madawa kutoka kwao. Wapumbavu
 
Watu milioni 30 wamedungwa hio chanjo hapo Uingereza, wamekufa 7 tu tayari watu wanasema ni hio chanjo. hakuna factors nyengine? Siku hizi watu hawatumii dawa wanatumia chanjo tu? hawali kitu wanakula chanjo tu? magonjwa yaliopo saivi hayampati mtu bali ni chanjo tu ndio chanzo?

Chanjo ni set of instructions for your immune system to learn how to fight the virus
 
Back
Top Bottom