#COVID19 NIMRI na chanjo/tiba ya Covid-19 mbona kimya?

wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
3,984
4,131
Nimewakumbuka hawa watafiti wetu,

Hivi kuna muendelezo wowote juu ya harakati zao za covidol/nimcaf katika kutibu corona.

Vipi msimamo wao juu ya hizi tiba asilia na kupiga nyungu?

Kuna yule mkuu wa mkoa wa Mtwara huko, naye ameshamaliza usajili wa waganga?

Naona wamekuwa kimya kama hakuna Covid kabisa.

Hata kigogo naye kama ameshamaliza orodha yake ya wenye covid.
 
Ohoooo utakula kassa weweee, sijui bupiji, nyungu, covidol, nimrcafe hizo zote zilikuwa ni project za kitapeli na uongo, watu wengi tuu walipoteza maisha kwa kuingizwa chaka. Madagascar baada ya kusikia jiwe kavuta wamejisalimisha WHO kuomba msaada wa kupambana na Covid, ile dawa yao ya kienyeji wameitupia kapuni
 
Tangu yule muongo aondoke hakuna tena usanii.

Nimewakumbuka hawa watafiti wetu,

Hivi kuna muendelezo wowote juu ya harakati zao za covidol/nimcaf katika kutibu corona.

Vipi msimamo wao juu ya hizi tiba asilia na kupiga nyungu?

Kuna yule mkuu wa mkoa wa Mtwara huko, naye ameshamaliza usajili wa waganga?

Naona wamekuwa kimya kama hakuna Covid kabisa.

Hata kigogo naye kama ameshamaliza orodha yake ya wenye covid.
 
Wako hapa:

2721819_Jafo.png

Wewe waulizia juice za jambo - jamukaya mkuu?
 
Tafiti zinahitaji pesa nyingi sana hao NIMRI wamekumbatiwa na wanasiasa hakuna wanachojua nilipoona kabudi kachukua ndege wameenda kufata Novida madagaska nilishangaa sana hiyo kazi ilikua ya wataalamu ndio waende kule wakipima wakiona juice wanaachana nayo wanakuja kimya kimya sio kama yule mzee alivyojishushia heshima Duniani...
 
Hawa wana lipwa mishahara hewa tu. Yaani hata tafiti hadi waambiwe!!
 
Nimewakumbuka hawa watafiti wetu,

Hivi kuna muendelezo wowote juu ya harakati zao za covidol/nimcaf katika kutibu corona.

Vipi msimamo wao juu ya hizi tiba asilia na kupiga nyungu?

Kuna yule mkuu wa mkoa wa Mtwara huko, naye ameshamaliza usajili wa waganga?

Naona wamekuwa kimya kama hakuna Covid kabisa.

Hata kigogo naye kama ameshamaliza orodha yake ya wenye covid.
Wao wanatumia dawa za mzungu,hawajawahi kua hata na akili ya kutengeneza dawa
 
Back
Top Bottom