Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.
Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.
Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.
Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili
Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
Mnamo mwanzoni mwa miaka ya 1700, mji wa Boston, Massachusetts kama ilivyokuwa kwa dunia nzima kipindi hiko, ulikumbwa na ugonjwa mbaya wa Ndui uliosababisha vifo vya watu wengi. Inakadiliwa watu zaidi ya milioni 300 walifariki kwa ugonjwa wa Ndui duniani kote.
Ugonjwa wa Ndui kipindi hiko...
Ukitembelea tovuti ya Amnesty International ukurasa wa Tanzania utakuta wamebandika andiko wakitaka kamati iliyoundwa ya corona itumike kuhakikisha kuwa Watanzania wanachanjwa chanjo ya corona.
Kinachonishangaza ni kuwa mataifa ya nje yanaongeza sana shinikizo kwa mama kuhusu corona. Wanaingia...
Marekani itagawana dozi za Chanjo ya AstraZeneca zipatazo Milioni 60 na Mataifa mengine. Licha ya kuwa Mamlaka hazijatoa idhini ya AstraZeneca kutumika kwa Umma, Marekani imekuwa na akiba ya Chanjo hizo.
Wakosoaji wamekuwa wakiishutumu Marekani kuhodhi Chanjo wakati Nchi nyingine zina uhitaji...
Salamu waheshimiwa.
Nilipata chanjo ya homa ya ini (hepatitis B) dozi ya kwanza tarehe 26/3/2021, nikaambiwa nirudi kupata dozi ya pili baada mwezi mmoja yaani dozi ya pili natakiwa nipewe tarehe 26/4/2021
Kwa bahati mbaya sana nipo mbali na hospitali kwa sasa, ninauliza je nikichelewa wiki...
Kwa miaka karibu 100, hapakuwa na juhudi kubwa katika kutafuta chanjo ya Malaria, bali makampuni yalijikita zaidi kwenye kutengeneza dawa, maana ilikuwa inalipa zaidi.
Ghafla baada ya kuzuka Corona na wakaweza kuja na ‘Chanjo’ ndani ya miezi michache, na baada ya Afrika kuigomea chanjo hiyo...
Sudan Kusini yaharibu chanjo 60,000 Corona.
Sudan Kusini Salva Kiir alipokea chanjo ya corona wiki iliyopitaImage caption: Sudan Kusini Salva Kiir alipokea chanjo ya corona wiki iliyopita.
Sudan Kusini imeharibu chanjo za virusi vya corona aina ya AstraZenica ikisema kuwasili nchini humo...
Umoja wa Madaktari nchini Uganda (UMA) wamepinga suala la kulazimisha watumishi wa Afya na raia kupatiwa chanjo ya COVID19 kilazima. Wametahadharisha kuwa yatakapotokea matokeo yoyote serikali itawajibika.
Uganda imepata upinzani hata kwa wahudumu wa Afya ambao hawajawa tayari kuchoma chanjo...
Mamalaka za Marekani zimesema wanaojitokeza kupata chanjo ya #COVID19 wamepungua sababu ikitajwa kuwa wengi wanasubiri kuona madhara ya chanjo hizo.
Kaunti ya Mercer iliyoko jimbo la Ohio imetolewa mfano kuwa mwezi Januari watu zaidi ya 500 walipokea chanjo ndani ya siku moja, idadi hiyo...
Rais wa zamani wa Peru, Martín Vizcarra amepigwa marufuku kushika wadhifa wa umma kwa muda wa miaka 10 kufuatia madai kuwa aliruka foleni kupokea Chanjo ya COVID19
Bunge iliidhinisha marufuku yake ya muda kwa Kura 86 za kukubali huku kukiwa hakuna aliyepinga. Vizcarra amekutwa na hatia ya...
Hivi karibuni, miji mingi nchini China ikiwemo Beijing, Shanghai na Guangzhou imezindua kazi ya kuwapatia kwa hiari raia wa kigeni chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19, ikiwa ni juhudi za kuwapa wageni haki sawa za kuchanjwa kama wachina.
Kijana Adhere Cavince kutoka Kenya ni mwanafunzi wa...
Ramadhan kareem kwa ndugu zangu waislamu,
Wakuu kuna hiki kitu nimekutana nacho huenda ni kawaida ila kwa miongo zaidi ya mitatu niliyopo hapa duniani ndio naona kwa mara ya kwanza.
Ni hivi, mke wangu kajifungua na ninavyojua (huenda nikawa sipo sahihi) kuna ile chanjo ya begani hua hua mtoto...
- Mengi yanaendelea kuhusu chanjo ya covid ambayo ilitolewa ndan ya miezi michache tu na tukalazimishwa kuchanjwa wote bila kuuliza maswali, sasa taarifa nnayotoka kuskiliza apa ni kwamba achana na wale wa blood clotting, sasa hivi imepiga hatua zaidi izi taarifa zimfikie mbowe
Kile tunachofahamu juu ya vidonge vya damu visivyo vya kawaida vilivyounganishwa na chanjo ya J & J .
Wataalam wanafikiria jinsi ya kugundua haraka na kutibu mgando usio wa kawaida unaosababishwa na dozi za Johnson & Johnson na AstraZeneca.
Wakati mamilioni ya watu wanapata chanjo, waganga...
Kwa hakika maradhi ya corona yameutikisa ulimwengu pakubwa sana. Kama ilivyo kwa maradhi yenyewe kutokueleweka vyema, pia na chanjo zake zimekuwa za kubahatisha sana kiasa kwamba tunaweza tukaziita chanjo za ovyo.
Chanjo 4 kubwa ndizo ambazo zimeshatangazwa na kuuzwa nje ya nchi...
- Nunua chanjo, kama inahitaji ubaridi hakikisha umefungiwa kwenye kifungashio Chenye barafu.
- Safisha vyombo vya maji vya kuweka chanjo yako na ikifaa viache vikauke. Kwa maji ya bomba, kisima na mvua inashauriwa yachemshwe na uyaache yapoe kabisa ndipo utachanganya na chanjo.
- Iwapo...
Mamlaka za Afya Nchini Marekani zimetoa rai ya kusimamishwa kwa matumizi ya Chanjo ya Virusi vya Corona ya Johnson & Johnson, baada ya ripoti za ugandaji damu.
Mamlaka ya Chakula na Dawa (FDA) na Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa (CDC) zimesema zinachunguza visa 6 vya ugandaji damu kwa...
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema amepata chanjo ya #COVID19 ya Astrazeneca alipokuwa nje ya nchi kibiashara
Aidha amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan aharakishe mchakato wa Uchunguzi dhidi ya Corona ili hatua stahii zichukuliwe mapema na kuepusha vifo vinavyoweza kutokea...
Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa.
Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa.
Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
afya
barakoa
changamoto
chanjo
corona
covid
covid 19
covid-19
dunia
gani
kelele
maambukizi
magufuli
maisha
matibabu
rais
siasa
tanzania
ugonjwa
ukweli
upumuaji
uzalendo
viongozi
watanzania
wizara ya afya
Umoja wa nchi za Afrika AU imesitisha mpango wa uagizaji wa dawa ya chanjo Astra Zeneca ambao ni kinga ya ugonjwa wa homa ya mafua wa COVID -19.
Mpango huo wa AU ilikuwa ni kwa kiwanda cha Serum cha nchini India kutengeneza na kusambaza dawa hiyo ya kinga ya Astra Zeneca kwa nchi za Afrika...
Jana rais wetu ameagiza kuundwa task force ya watalaam kuchambua kwa makini masuala haya ya covid 19 na kuishauri serikali hatua sahihi za kuchukua. Pressing issues hapa ni hasa msimamo wetu kuhusu chanjo za covid na utoaji wa takwimu zinazohitajika WHO kila siku. Tujadili faida na hasara au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.