changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nzi kibiashara: Mbinu, changamoto na masoko yake

    Acheni hizo vijana ningekuwa live ningeweka chitchat? Si kunajukwaaa la uvuvi kule
  2. JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa wastaafu kupeana changamoto mbalimbali na connection

    Wastaafu hebu tukutane hapa tupeane taarifa za kupambana mtaani, changamoto mbalimbali na connection mbalimbali na kielekezana na mbalimbali kukabiliana na maisha ya mtaani
  3. A

    JamiiForums Tanzania CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI

    CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI Mwenge catholic university vimeingizwa vyuo viwili hali ya kuwa kipo kimoja tu hivyo vyuo viwili vinavyoyumia jina moja la mwenge catholic university kimoja kina course nne (4) ambazo ni (1) ordinary diploma in holder certificate of secondary...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya system ya TAMISEMI juu ya chuo cha MWENGE CATHOLIC UNIVERSITY

    CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI Mwenge catholic university vimeingizwa vyuo viwili hali ya kuwa kipo kimoja tu hivyo vyuo viwili vinavyoyumia jina moja la mwenge catholic university kimoja kina course nne (4) ambazo ni (1) ordinary diploma in holder certificate of secondary...
  5. I

    JamiiForums Tanzania E-VAT FILLING SYSTEM UNA CHANGAMOTO KUBWA!!!!

    Napongeza marekebisho yanayofanywa na TRA kwenye ukusanyaji wa mapato kwa kutumia njia za kielektroniki. Mabadiliko hayo ni pamoja na mfumo mpya wa kuwasilisha ritani za VAT ambapo mfumo ulioboreshwa na kuanza kutumika kwa mwezi machi 2022 una changamoto kubwa. Kwamba kawaida risiti...
  6. JamiiForums Tanzania Nisaidieni wazo, nimepata changamoto kwenye mfumo wa ajira

    Habarin wana JF, Leo nmejaribu kuingiza particulars zangu nikakumbana na changamoto nikiingiza namba ya form4. Yaani wananiambia Necta particulars doesn't match. Sjiu shida ni nini maana NIDa waliniandika Johni na vyeti vyangu jina ni John. Au utofauti wa herufi I walokosea NIDA ndo na Necta...
  7. JamiiForums Tanzania Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Ndugu zangu naomba tutumie ukrasa huu kujadi tunazo kutananazo kwenye mfumo wa maombi mpaka hivi leo tarehe 21/4/2022 nimefanikiwa kufungua akaunti mbili tu kwa mbinde sana nilicho kigundua ni lazima ufungue akaunti mpya hivyo...utaingiza email yako kisha itafuata utambuzi wa namba ya UTAIFA...
  8. JamiiForums Tanzania Ni kwa nini shughuli za kilimo na ufugaji zimekuwa na changamoto nyingi kuliko matarajio ya watu wengi?

    Juzi nikasema nimpigie rafiki yangu mmoja ambaye sijazungumza naye kwa miezi kadhaa sasa. Mingoni mwa mazungumzo yetu ilikuwa kama ifuatavyo: Mimi: Mambo vipi kaka, habari za siku? Yeye: Salama kaka, vipi unaendeleaje na mishemishe huko ya maisha? Mimi: Salama tu kaka, Mungu anajalia uzima...
  9. JamiiForums Tanzania Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako

    Leo Ijumaa ya Tarehe 8 April, ni siku yangu ya kuzaliwa, nikiwa nimeipiga mingi nikikaribia 60! ambao ndio umri rasmi wa kustaafu, nikiwa tayari ni father of 8 +1= 9, Grand Pa of 6, and about to retire!. Sababu ya makala hii ya leo sio kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa, bali kutoa mbinu za...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kufunguliwa kwa tawi la kiwanda cha Sino-Truck nchini Tanzania kutatatua changamoto ya usafirishaji wa mizigo

    Fadhili Mpunji Mwanzoni mwa mwezi Machi mwaka huu kampuni ya serikali ya China inayotengeneza malori aina ya Sino-Truck, imetangaza kufungua tawi la kiwanda chake nchini Tanzania, likianza kwa uwekezaji wenye thamani ya dola za kimarekani milioni 20, na kutoa ajira kwa watu 500. Hatua hii sio...
  11. JamiiForums Tanzania Je hizi ni changamoto za miaka ya 30s ama ni matatizo ya kiafya?

    Mimi ni wale tuliozaliwa miaka ya mwishoni mwa awamu ya kwanza ya utawala wa mzee Mwinyi. Kwa maana hizo tumeingia miaka ya 30 ama third floor hivi karibuni. Mojawapo ya changamoto nazokabiliana nazo ni kuchelewa kukojoa goli la pili, yaani sasa hivi goli la pili kulitafta ni kama ugomvi, yaani...
  12. JamiiForums Tanzania Changamoto zilizokutana nazo katika kuanza safari yangu ya kuwa mfanyabiashara

    Poleni kwa majukumu ya kila siku, ni matumaini kila mmoja wenu ni Mzima wa afya tele na Mungu aendelee kubariki uzima huo ili kufikia malengo na majukumu ya kila siku. Leo nataka ni share nanyi safari ya nilioanzisha na bado inaendelea ya kuwa mfanyabiashara mkubwa. Kuwa mjasiriamali ni moja...
  13. JamiiForums Tanzania Faida Na Changamoto Za Kuuza Viwanja Au Nyumba Bila Kuwa Na Dalali

    Kuuza bila Dalali ni mauzo ya mashamba, viwanja na nyumba ambayo yanafanyika bila kuhusisha dalali kati ya mwenye nyumba na mnunuzi. Hivyo huwezi kulipia ada ya dalali wa nyumba na ardhi. Kwa kawaida, mauzo ya aina hii hufanyika kwa wawekezaji ambao wanaanza kuwekeza katika nyumba, viwanja na...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli Usemwe: Uongozi wa Rais Samia ni Changamoto

    Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha. Ni majuzi tu nilisafiri kwenda Mozambique. Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei ya mafuta ya kula ikiwa ni nafuu mno. Bei ya mafuta ya Kula ya Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kuhusu matukio mengi ya ajali za barabarani, ukiachana na uzembe wa madereva barabara zetu ni changamoto

    Ukiachana na kuendelea kuwalaumu madereva, bado barabara zetu ni changamoto kubwa kwa usalama wa watumizi wa barabara hizo, barabara nyingi ni ni nyembamba (unforgiving roads )zisizo kuwa na mbadala ambazo zinashindwa kupunguza idadi ya vifo na majeruhi pale ambapo dereva atafanya makosa. -...
  16. JamiiForums Tanzania Story ya kijana mmoja mwenye ndoto kubwa

    Kijana mmoja jina () alihitimu elimu ya chuo kikuu katika chuo kikuu kimoja mkoani Morogoro. Baada ya kuhitimu alikuwa na viji-savings vyake akavitumia kununua kiwanja na shamba hapo hapo mkoani Morogoro. Badae akakodi meza katika soko la Manzese (lililokuwa soko kuu la muda kupisha ujenzi wa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yapaswa kukabiliana kihalisi na changamoto ya ubaguzi wa rangi

    Tarehe 21 Machi ni Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi. Katika miaka ya hivi karibuni, nchi za magharibi haswa Marekani, zimepuuza suala la ubaguzi wa rangi katika nchi zao, na kuchukulia suala hilo kama njia ya kisiasa ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine, kitendo ambacho...
  18. JamiiForums Tanzania Leo kilele cha Wiki ya Maji, tuorodheshe changamoto hapa

    Mgeni rasmi Mheshimiwa Rais mahali ni Mlimani City kauli mbiu ni maji chini ya ardhi hazina isiyoonekana. Ratiba ya shughuli hio hapo katika picha. Ushauri wangu mimi kama mdau wa hii sekta nashauri bodi za Bonde ziachane na mapendekezo ya ada mpya na leseni hasa za visima. Wamiliki...
  19. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Haki za Binadamu Zanzibar, somo latolewa kwa AZAKI jinsi ya kupambana

    Taasisi ya Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini Tanzania (THRDC) imetoa mafunzo kisiwani Zanzibar kwa kujengea uwezo AZAKI visiwani humo juu ya namna ya ufuatiliaji, uandishi wa ripoti za haki za binadamu na utunzaji wa kumbukumbu. “Mafunzo haya yanakwenda kuwajengea uwezo namna ya kufuatilia...
  20. JamiiForums Tanzania Kanuni ya Umoja katika kuwezesha kutatua changamoto kubwa za maisha zinapokujia

    Rejea mada tajwa hapo juu kwenye heading na ninaomba niende moja kwa moja kwenye mada husika. UTANGULIZI Kwanza kabisa unaweza kukubaliana nami kuwa changamoto kubwa zaidi za watu wa maisha ya kati ni kuhudumia matibabu, kupoteza ajira, kuunguliwa na nyumba, misiba na kupatwa na kadhia ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…