Dondosha hapa changamoto yako ya mapenzi ya ujanani tusaidiane kuitatua

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,891
155,895
Nikiwa kijana w miaka 2e nilipata kazi nzuri sana kwenye taasisi moja ya fedha ya mtu binafsi. Mkurugenzi wa taasisi hiyo nilikutana naye kanisani.

Hali yangu ya maisha Ilikuwa ngumu sana, sikuwa na Pesa, elimu ya kutosha wala sikuwa na biashara yoyote. Kanisani sikuwa nadhicu, mavazi yangu yalikuwa chakavu, na viatu visivyofaa. Kila siku kabla ibada haijaanza utaratibu wangu ulikuwa ni kufika mapema sana na nilitumia saa nzima kumuomba Mungu anivushe.

Basi siku moja baada ya ibada kuisha, nilifuatwa na mama mmoja mwenye umri wa zaidi ya miaka 45, akaniambia hajawahi kunikosa kanisani, na amekuwa akiniona nikisali kwa bidii kuliko mtu yeyote mle ndani, hivyo yeye binafsi ameguswa kunisaidia.

Akaniuliza naishi na nani? Nikamjibu kwamba naishi na ndugu yetu ambaye tumetoka kijiji kimoja. Akaniuliza hali ya maisha ya pale nyumbani nikamweleza kuwa ni ngumu sana. Akaomba tuongozane naye hadi home. Tukafika nyumbani tukiwa hatujachoka, kwa Mara ya kwanza nilipanda gari yenye kiyoyozi, hakika safari ilikuwa fupi na nzuri sana, sikutamani tufike mapema.

Tulipofika tulimkuta mjomba akiwa amekaa nje huku amejifunga msuli na ameshika kiwembe akijinyoa nywele za kwapani. Mjomba alishangaa sana kuona nimeletwa na gari zuri sana hadi nyumbani.

Nilimtambulishamgeni wangu kwa mjomba naye mgeni alijitambulisha zaidi na kwa kirefu. Alimweleza mjomba kwamba yeye anaitwa Queen au Shebba kwa jina lingine, na amekuwa akiniona kanisani kuw mimi ni kijana wa tofauti hivyo basi anataka aniendeleze kimasomo na kuhusu kazi, nisijali kwani ataniajiri kwani ameona uaminifu wangu.

Basi tangu siku ile akanichukua nikaishi kwake. Nyumba yake ilikuwa kubwa mno ya ghorofa moja, bustani kubwa na nzuri sana ya maua, bwawa dogo la kuogelea, yaani nyumba ilikuwa nzuri sana. Alikuwa na wafanyakazi watano, wa kike wanne na mmoja wa kiume. Mfanyakazi wa kiume alikuwa akifanya kazi za nje, wadada walifanya kazi za ndani.

Mama (kama alivyokuwa akiitwa na wafanyakazi wake) alinitambulisha kwamba huyu ndio uncle wenu, uncle Buji, mumuheshimu, msimzoee, mumtumikie kwa nidhamu. Mayo weee, kengele ya tahadhari ikalia akilini, sikujua utambulisho ule una maana gani.

Akanipeleka chumbani, chumba kilikuwa kijubwa, sehemu ya kuvalia nguo, bafu kubwa la jacuzzi, chumba kilipambwa kwa nakshi nzuri. Aliniambia nisiogope tutakuwa tunakaa wote chumbani humo, akaniambia nioge, akanifundisha kutumia bafu, shower gel, deodorant, perfume, shaver na vikorokoro vinginevyo.

Akanipeleka madukani, akaninunulia boksa za kutosha, vesti, na nguo nyingi, mabegi matatu. Alinipeleka driving 🚗 school nikajifunza kwendesha gari, kwa hiyo nikawa naye muda wote.

Baada ya miezi mitatu akaniambia hataki niwe na mwanamke mwingine yoyote hivyo, basi kanifanyia dawa sitaweza kutembea na msichana yeyote yule kwani uume hausimami isipokuwa kwake tu.

Mama ameshakoma hedhi, hawezi tena kuzaaa, mimi sina mtoto hata mmoja na nimesha haribiwa uume wangu
 
Nikiwa kijan w miaka 2e nilipata kazi n,uri sana kwenye taasisi moja ya fedha ya mtu binafsi. Mkurugenzi wa taasisi hiyo nilikutana naye kanisa.

Hali yangu ya maisha Ilikuwa ngumu sana, sikuwa na Pesa, elimu ya kutosha wala sikuwa na biashara yoyote. Kanisani sikuwa nadhicu, mavazi yangu yalikuwa chakavu, na viatu visivyofaa.

Kila siku kabla ibada haijaanza utaratibu wangu ulikuwa ni kufika mapema sana na nilitumia saa nzima kumuomba Mungu anivushe.

Basi siku moja baada ya ibada kuisha, nilifuatwa na mama mmoja mwenye umri wa zaidi ya miaka 45, akaniambia hajawahi kunikosa kanisani, na amekuwa akiniona nikisali kwa bidii kuliko mtu yeyote mle ndani, hivyo yeye binafsi ameguswa kunisaidia.

Akaniuliza naishi na nani? Nikamjibu kwamba naishi na ndugu yetu ambaye tumetoka kijiji kimoja. Akaniuliza hali ya maisha ya pale nyumbani nikamweleza kuwa ni ngumu sana. Akaomba tuongozane naye hadi home. Tukafika nyumbani tukiwa hatujachoka, kwa Mara ya kwanza nilipanda gari yenye kiyoyozi, hakika safari ilikuwa fupi na nzuri sana, , sikutamani tufike mapema.

Tulipofika tulimkuta mjomba akiwa amekaa nje huku amejifunga msuli na ameshika kiwembe akijinyoa nywele za kwapani. Mjomba alishangaa sana kuona nimeletwa na gari zuri sana hadi nyumbani.

Nilimtambulishamgeni wangu kwa mjomba naye mgeni alijitambulisha zaidi na kwa kirefu. Alimweleza mjomba kwamba yeye anaitwa Queen au Shebba kwa jina lingine, na amekuwa akiniona kanisani kuw mimi ni kijana wa tofauti hivyo basi anataka aniendeleze kimasomo na kuhusu kazi, nisijali kwani ataniajiri kwani ameona uaminifu wangu.

Basi tangu siku ile akanichukua nikaishi kwake. Nyumba yake ilikuwa kubwa mno ya ghorofa moja, bustani kubwa na nzuri sana ya maua, bwawa dogo la kuogelea, yaani nyumba ilikuwa nzuri sana.

Alikuwa na wafanyakazi watano, wa kike wanne na mmoja wa kiume. Mfanyakazi wa kiume alikuwa akifanya kazi za nje, wadada walifanya kazi za ndani.

Mama (kama alivyokuwa akiitwa na wafanyakazi wake) alinitambulisha kwamba huyu ndio uncle wenu, uncle Buji, mumuheshimu, msimzoee, mumtumikie kwa nidhamu. Mayo weee, kengele ya tahadhari ikalia akilini, sikujua utambulisho ule una maana gani.

Akanipeleka chumbani, chumba kilikuwa kijubwa, sehemu ya kuvalia nguo, bafu kubwa la jacuzzi, chumba kilipambwa kwa nakshi nzuri.

Aliniambia nisiogope tutakuwa tunakaa wote chumbani humo, akaniambia nioge, akanifundisha kutumia bafu, shower gel, deodorant, perfume, shaver na vikorokoro vinginevyo.

Akanipeleka madukani, akaninunulia boksa za kutosha, vesti, na nguo nyingi, mabegi matatu.

Alinipeleka driving school nikajifunza kwendesha gari, kwa hiyo nikawa naye muda wote.

Baada ya miezi mitatu akaniambia hataki niwe na mwanamke mwingine yoyote hivyo, basi kanifanyia dawa sitaweza kutembea na msichana yeyote yule kwani uume hausimami isipokuwa kwake tu.

Mama ameshakoma hedhi, hawezi tena kuzaaa, mimi sina mtoto hata mmoja na nimesha haribiwa uume wangu
Aiseeee bujibuji
 
Na ww tupia kisa chako mkuu
Nikiwa mwanzoni mwa form two, Nilipigwa na baba-kambo nikatoroka nyumbani, nikatembea siku mbili mchana na usiku bila kula. Nikazimia barabarani, nikaokotwa na msamaria mwema akanipa first aid, akaniweka kwenye gari lake, akanipeleka polisi na baadae nyumbani kwake. Akanisomesha kuanzia from two Hadi form six, akaniambia ndiyo mwisho wa msaada wake. chuo nikapata mkopo 100%, ndipo nikaanza kujitegemea hadi now.
 
Nilimpa mimba mtoto wa mjomba nilikuw naishi kwake, ile stress niliyokuwA NAYO AISSEE NI MUNGU TU ALIYENIOKOA NA KITanzi
 
Story imeanza utamuuuu ilpoishia sasa....dohh kwel zali la mentali alilipata prof jay pekeyake!!
Pole
 
Nikienda kugonga demu home kwao wazazi wake walikuwa wameenda msibani, walirudi ghafla nikiwa chumbani kwa binti, nilifunguwa ndani kwa siku mbili, home name tafutwa hadi mocjwari
 
Kuwa marioo napo ni ajira vijana msichoke kukimbilia fursa

Qualifications

Ni bachelor ya science ya mauno au diploma ya ngono
Watakuja kuuliza hizo chance wapi zinapatikana, maake wanaskia tu story za watu kufanikiwa! Walivyo wa ovyo watakuuliza au wajiegeshe maeneo ya Masaki?
Ngoja waje...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom